Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii game wachezaji waliingia kwa hofu sana na ndio sababu imekuwa game ngumu na mbaya kuliko game zilizopita ambazo man u alikuja Emirates

Laiti kama wangecheza kwa Ku relax kama game zingine basi hii mechi ingekuwa rahisi sana, anyway acha vijana wajue ugumu wa kushikiria Bomba pale juu
 
Rudini kusoma hapa
 

Nilishasema Vegas katika Betting hawajawahi kukosea kupanga odds.
Manchester United alipewa odds 4.10 ni ngumu sana kutoboa ilikuwa wazi lazima arsenal ashinde
 
Msimu wa tano hapo Emirates ktk EPL hujawahi pata hata droo,so uwezo wako umeishia hapo sema shukuru zilikiwa Chache, Eriksen kapunguza mbili na De Gea moja. Huna timu ya kuizuia Arsenal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…