Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Second leg tunawanyonya na Mudriky atawakambalamba 😃😃😃
 
Jakob Kiwior spending the afternoon at London Colney finalising his move and meeting his new Arsenal team-mates. Finishing touches being put on the transfer. Busy couple of days at Arsenal.
Baada ya kumkosa Mudryck sasa hivi mpango mkakati ni kumsajili Kwiyo, huyo Kwiyo ingependenza zaidi akaenda Spurs au Anfield kwa Makwiyo wenzake.
 
Tetesi za mchezaji kwenda Arsean zikianzia kwa Romano naona kama kitumbua kimeingia mchanga
 
Huyu jamaa wa kazi gani?sioni umuhimu wa RB kwa sasa at least ingekuwa DM position
 
Declan Rice ameshakubaliana na Arteta kuja Arsenal mwezi June ,anaamini Arteta atamsaidia kuwa DM mzuri,

Westham wanamtaka MCtominay kutoka man u kama mbadala wake


Declan Rice is favouring a move to Arsenal over Chelsea as he’d like to work with Mikel Arteta. [@JacobSteinberg] #afc

The prospect of moving to the Emirates Stadium & working under Mikel Arteta appeals to Declan Rice. He has seen Arteta turn Arsenal into title contenders this season & would be confident of the Spaniard’s coaching making him a better midfielder. [@JacobSteinberg] #afc
 
.@FabrizioRomano on his YT channel

“Ivan Fresneda was not in the starting 11 today with Valladolid because of the negotiations with Arsenal. Arsenal are now speaking seriously on the Fresneda deal”
 
Juve have offered vlahovic to interested clubs. Personally I wouldn’t like to see Arsenal involved in the battle for his acquisition. Alionyesha dharau wakati tunamhitaji. With Trosard, our current flanks and AMs, inatosha
Yaani hata usihofie Arsenal hua haimfuati mchezaji aliyeonyesha dharau mwanzo.

Alianza Zaha na wa mwisho ni Aouar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…