Ten Hag ndio mrithi halali wa Sir Alex Ferguson, anachokifanya sasa hivi ndio mwendelezo wa pale alipoishia Sir Alex, hivyo mnatakiwa kuwa wavumilivu kama kipindi kile mlichokua mnamvumilia vipigo vya babu.Man utd iliyoisumbua arsenal ni ya sir furgeson tu hawa makocha wengine hamna kitu, tungoje kesho tuone kama huyu ten haag atarudia alichokifanya OT
Kwani kufika kesho si yamebaki masaa machache tu.Ten Hag ndio mrithi halali wa Sir Alex Ferguson, anachokifanya sasa hivi ndio mwendelezo wa pale alipoishia Sir Alex, hivyo mnatakiwa kuwa wavumilivu kama kipindi kile mlichokua mnamvumilia vipigo vya babu. View attachment 2490306
Labda sio man utd tunayoijua sisi.Ten Hag ndio mrithi halali wa Sir Alex Ferguson, anachokifanya sasa hivi ndio mwendelezo wa pale alipoishia Sir Alex, hivyo mnatakiwa kuwa wavumilivu kama kipindi kile mlichokua mnamvumilia vipigo vya babu. View attachment 2490306
SawaMan utd iliyoisumbua arsenal ni ya sir furgeson tu hawa makocha wengine hamna kitu, tungoje kesho tuone kama huyu ten haag atarudia alichokifanya OT
Yule dogo alipaswa, kuja kwenu kabisaSorry For This Arsenal Fans..
Scouting na Board Ya Arsenal wako Another level aisee
Nimemuangalia Mudryk kwa Dakika Kadhaa nikajua kwanin Tulipambana na kufika Dau Kubwa Vile
This Guy Akipata Kocha Mzuri na Project yenye Akili Kubwa Ana Potential Kubwa Sanaa..
Sijapenda Kabisa Huyu Mtu Kwenda Chelsea ila NitaAngalia Game Zao Kwa Ajili Yake kama Tulivyo mkosa Hazard Nikawa Napenda Kuangalia Game Zao Kwa Ajili Yake
Dogo anajua sanaIla jamani mudryk mtu wakuu.
Afadhali tumemchukua, natumai kwnye hii project italeta matunda.Sorry For This Arsenal Fans..
Scouting na Board Ya Arsenal wako Another level aisee
Nimemuangalia Mudryk kwa Dakika Kadhaa nikajua kwanin Tulipambana na kufika Dau Kubwa Vile
This Guy Akipata Kocha Mzuri na Project yenye Akili Kubwa Ana Potential Kubwa Sanaa..
Sijapenda Kabisa Huyu Mtu Kwenda Chelsea ila NitaAngalia Game Zao Kwa Ajili Yake kama Tulivyo mkosa Hazard Nikawa Napenda Kuangalia Game Zao Kwa Ajili Yake
Afadhali tumemchukua, natumai kwnye hii project italeta matunda.
Kila nikifikiria endapo mngempata mudryk na jinsi mlivyo sasa aah mbona watu tungekoma.