King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,318
- 5,997
Mbona arsenal mnawaza sana kwa umri wa huyo dogo Manchester united tumebeba ericksen akiwa na 30 na.Trossard bado anacho cha kudeliver kwa umri wake
Sasa nyinyi si hamjielewiMbona arsenal mnawaza sana kwa umri wa huyo dogo Manchester united tumebeba ericksen akiwa na 30 na.
Nyie mnaojielewa na vituko vyenu vyenye umri mdogo mbona tuliwashona oldtrafford bao 3.Sasa nyinyi si hamjielewi
Sa mbona si tushawapiga mara kibao tu kabla ya hizo tatuNyie mnaojielewa na vituko vyenu vyenye umri mdogo mbona tuliwashona oldtrafford bao 3.
Ndio tunazungumzia msimu huu wa ligi basi kama vipi! Kesho c itafik tutaona, kama hamtapigika tena kwa mara ya pili.Sa mbona si tushawapiga mara kibao tu kabla ya hizo tatu
Nna amini atafanya vyema kwa nafasi anayochezaMbona arsenal mnawaza sana kwa umri wa huyo dogo Manchester united tumebeba ericksen akiwa na 30 na.
Man utd iliyoisumbua arsenal ni ya sir furgeson tu hawa makocha wengine hamna kitu, tungoje kesho tuone kama huyu ten haag atarudia alichokifanya OTNyie mnaojielewa na vituko vyenu vyenye umri mdogo mbona tuliwashona oldtrafford bao 3.
Yupo vizur arsenal tumezingua sana kuchelewa chelewaIla jamani mudryk mtu wakuu.
SawaNdio tunazungumzia msimu huu wa ligi basi kama vipi! Kesho c itafik tutaona, kama hamtapigika tena kwa mara ya pili.
Wakumbushe hawa Kima kua kesho ndio ile siku yao ya kutambaa kwa magoti.Kesho hiyoView attachment 2490279