Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Sasa wachezaji 8 hiyo sio timu tenaMimi nimemuelewa,tufanye tuna Injuries za wachezaji nane wa kikosi cha kwanza including ile front three yetu je tungeweza kua hapo tulipo kweli huenda labda tungekua kule kule tunapokuaga wa 6,7, hivi!!! Nafikiri hivi
Camavinga sio kwamba ameshuka kiwango chini ya huyu Don Carlo ila inakuwa kama wanawaonea aibu akina Modric na Kroos kuwakalisha bench dogo acheze first team.Caro Ancelotti siyo mzuri kulea vipaji.
Kimmich alitaka kufia kwa Carlo na wengine wengi tu.
Kwahiyo siyo ajabu Camavinga kustruggle pale.
Uamuzi ni wake
Kweli mnafanya vema msimu huu ila muamuzi mzuri kwenye huu msimu ni game zenu mbili dhidi ya Pep,bahati nzuri kwake na mbaya kwenu ile game dhidi ya spurs ni kama imemuamsha sasa.Hatutegemei form mbaya ya mtu, kila mtu ashinde mechi zake ,hiyo ndio EPL ,
Chelsea ,man u ,liverpool wote wamewekeza msimu huu , kama liverpool mmenunua CF kwa €80m ,
Kila mtu ashinde mechi zake, Round ya 2 inakuja ,
Kiwango anacho hiyo ni kweli ila chini ya Carlo ni sahihi zaidi kukutana naye ukiwa tayari kwenye peak kuliko kukutana naye wakati unahitaji kukuzwa.C
Camavinga sio kwamba ameshuka kiwango chini ya huyu Don Carlo ila inakuwa kama wanawaonea aibu akina Modric na Kroos kuwakalisha bench dogo acheze first team.
Ni game changer mzuri sana na ile world cup kama asingecheleweshwa kuingia,Argentina walikuwa wanakubali mapema tu.
Ikumbukwe pia yeye na Tchounameni (kama speeling ziko sawa) waliletwa kuwa next generation ya Madrid baada ya Luka na Kroos. Mwenzake imekuwa bahati baada ya Case kutimka.
Kipindi hicho hatukua na majeruhi na tulikua huko nafasi ya 6,7Mimi nimemuelewa,tufanye tuna Injuries za wachezaji nane wa kikosi cha kwanza including ile front three yetu je tungeweza kua hapo tulipo kweli huenda labda tungekua kule kule tunapokuaga wa 6,7, hivi!!! Nafikiri hivi
"Hujacheza na city home and away"City Kevin siyo yule vigilant wa miaka yote, una Haaland sawa but Haaland anajua kuscore tu hajui kitu kingine, huweza cheza 1,2 na Haaland, huwezi tarajia Haaland awe na skills za 1 v 1 zaidi ya kukimbia.
City imejikaba ya kwamba scorer ni huyu, kwa Arsenal scoring imegawiwa kwa wote hatuna mchezaji maalumu wa kufunga na hii system inatulipa.
Wakati msimu unaanza hawakusema wako kwenye form mbaya walisema Arsenal anacheza na average teams. Wakadai October ni kipimo, simply kwakua kwenye ratiba alikuepo Liva. Wakati tunacheza na Liva hakukua na hao majeruhi tulicheza na Virgil na Firmino na wakafa.
October ikapita wakadai kombe la dunia ni kipimo, wanatoa visingizio vya kitoto utadhani Arsenal pekee ndiyo wachezaji wake wataenda WC.
And this is us after WC. Dont fall for their shit
We jamaa bhn, "ile game ya Spurs ni kama imemuamsha" kwa hiyo sisi inatupunguzia nini? au unahisi tuliwapa dawa ya usingizi mlale?Kweli mnafanya vema msimu huu ila muamuzi mzuri kwenye huu msimu ni game zenu mbili dhidi ya Pep,bahati nzuri kwake na mbaya kwenu ile game dhidi ya spurs ni kama imemuamsha sasa.
Kweli mnafanya vema msimu huu ila muamuzi mzuri kwenye huu msimu ni game zenu mbili dhidi ya Pep,bahati nzuri kwake na mbaya kwenu ile game dhidi ya spurs ni kama imemuamsha sasa.
Nyie arsenal ni wachumba tu kwa city ,mtapigika kama mbwa nyie ,We jamaa bhn, "ile game ya Spurs ni kama imemuamsha" kwa hiyo sisi inatupunguzia nini? au unahisi tuliwapa dawa ya usingizi mlale?
Kelvin De Bruyne toka kwenye WC hakuwa yule mwenye ari ya ushindi. Haaland kwenye mechi na ya Utd ni mipira 12 tu ndiyo iliyomfikia.City Kevin siyo yule vigilant wa miaka yote, una Haaland sawa but Haaland anajua kuscore tu hajui kitu kingine, huweza cheza 1,2 na Haaland, huwezi tarajia Haaland awe na skills za 1 v 1 zaidi ya kukimbia.
City imejikaba ya kwamba scorer ni huyu, kwa Arsenal scoring imegawiwa kwa wote hatuna mchezaji maalumu wa kufunga na hii system inatulipa.
Wakati msimu unaanza hawakusema wako kwenye form mbaya walisema Arsenal anacheza na average teams. Wakadai October ni kipimo, simply kwakua kwenye ratiba alikuepo Liva. Wakati tunacheza na Liva hakukua na hao majeruhi tulicheza na Virgil na Firmino na wakafa.
October ikapita wakadai kombe la dunia ni kipimo, wanatoa visingizio vya kitoto utadhani Arsenal pekee ndiyo wachezaji wake wataenda WC.
And this is us after WC. Dont fall for their shit
Arsenal kuwafinga City wala sio hoja, City wameanza kufungwa na Arsenal toka hujazaliwa, we're the best itw rn, tutakufunga km mbwa koko. Jipange.Nyie arsenal ni wachumba tu kwa city ,mtapigika kama mbwa nyie ,
Sijui ni Lin umemfinga city wewe kwenye ligi mwaka wa 7 huu
Anaongea kishabiki, nimeona ameandika Arsenal wanaongoza ligi cuz timu zingine zina form mbaya, United wana form mbaya? City wana form mbaya? Newcastle?Kuna mechi 19 bado, mechi mbili hazikufanyi bingwa. Labda tuseme mechi ya Liverpool (A), Aston Villa(A), M City (A), BHA (H) , M Utd (H).
Kwa Epl kila mechi ni ngumu, shinda kila mechi kwa high performance at the end of the day utakuwa umejiweka kwenye nafasi nzuri.
Unapata wapi jeuri ya kusema unachukua point 6 Kwa timu ambayo mwaka wa 7 hujawahi kuchukua point hata 3+ ,.....Arsenal kuwafinga City wala sio hoja, City wameanza kufungwa na Arsenal toka hujazaliwa, we're the best itw rn, tutakufunga km mbwa koko. Jipange.
Huyo Klop anaongea vitu vya kufikirika ili nini? Anachnganyikiwa! ?Klopp anamaanisha Liverpool ipo chini sababu ya majeruhi, Arsenal tunastahili kuwa hapo cuz tunacheza vizuri ila Arsenal tungekuwa na majeruhi hasa wachezaji watatu wa mbele tusingekuwa tunaongoza ligi, yupo right. Imagine Arsenal without Saka, Saka is our very important player. Mzigo wa chance creation ulikuwa mgongoni kwa saka kwa miaka mingi till MØ alivyoturn up, hata sasa naamini Saka akiumia tutashake kwenye sekta ya ushambuliaji.
Ulipotea na mwenzako FlanoSiku ya Aaron Arsenal kupotea jf imekalibia round hii hakuna kukimbia mkuu tuachie na namba ya simu kabisa maana tunakujua kwa kukimbia.View attachment 2489651
Hizo anazofanya ni ramli tuKlopp anamaanisha Liverpool ipo chini sababu ya majeruhi, Arsenal tunastahili kuwa hapo cuz tunacheza vizuri ila Arsenal tungekuwa na majeruhi hasa wachezaji watatu wa mbele tusingekuwa tunaongoza ligi, yupo right. Imagine Arsenal without Saka, Saka is our very important player. Mzigo wa chance creation ulikuwa mgongoni kwa saka kwa miaka mingi till MØ alivyoturn up, hata sasa naamini Saka akiumia tutashake kwenye sekta ya ushambuliaji.