verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,121
- 6,184
Hapo ulipo una I'd zaidi ya 2, hatuna huo muda kufatilia wewe kuji-burnNilichosema, ndio nimemaanisha mkuu, wala sitabadilisha chochote.
Leta hiyo id, nyingine bc!Hapo ulipo una I'd zaidi ya 2, hatuna huo muda kufatilia wewe kuji-burn
Hatutegemei form mbaya ya mtu, kila mtu ashinde mechi zake ,hiyo ndio EPL ,Kweli kuimba kupokezana,siku hizi hata gooners mnajadili kwa kimombo halafu KOPS wanasema kiswahili tu.
Ila nawashauri punguzeni matumaini ya kuchukua ubingwa maana ndio nusu ya msimu imeisha na hamna gap la point 15-20 dhidi ya timu inayowafukuzia. Sana sana mnategemea form mbaya ya city,united,chelsea,liverpool ili muweze kubeba ubingwa.
Achana nae, huyo ameshindwa kuzuia hisia zakeWewe jamaa hueleweki kabisa
Kuna muda unakuwa UYOGA kuna muda unakuwa SUMU
wewe ni mshabiki wa Timu gani aise
Duh wameisha hao, ila si watuuzie Federico chiesa ??Juve kakatwa point 15 anashuka had nafasi ya 11
Mambo ya FFP
Mbona hata Arsenal tupo kwenye form mbayaKweli kuimba kupokezana,siku hizi hata gooners mnajadili kwa kimombo halafu KOPS wanasema kiswahili tu.
Ila nawashauri punguzeni matumaini ya kuchukua ubingwa maana ndio nusu ya msimu imeisha na hamna gap la point 15-20 dhidi ya timu inayowafukuzia. Sana sana mnategemea form mbaya ya city,united,chelsea,liverpool ili muweze kubeba ubingwa.
Hata Odegaard aliporud baada ya mkopo wa Arsenal, alimpiga bench sana ,ndio maana akamwambia atafute timu ya kupata nafasi ya kucheza, ikasaidia kumpata kwa £30mCaro Ancelotti siyo mzuri kulea vipaji.
Kimmich alitaka kufia kwa Carlo na wengine wengi tu.
Kwahiyo siyo ajabu Camavinga kustruggle pale.
Uamuzi ni wake
Walimchukua mkopo wenye obligation ya kumnunua jumla kwa €40m .Duh wameisha hao, ila si watuuzie Federico chiesa ??
Sema yule jamaa ni balaa na nusu 🔥, tungempata kwenye hii title race basi ilikuwa ni super bingoWalimchukua mkopo wenye obligation ya kumnunua jumla kwa €40m .
Sidhani kama wanaweza kumuuza Chiesa
Mimi nimemuelewa,tufanye tuna Injuries za wachezaji nane wa kikosi cha kwanza including ile front three yetu je tungeweza kua hapo tulipo kweli huenda labda tungekua kule kule tunapokuaga wa 6,7, hivi!!! Nafikiri hiviKlopp huwa mtu wa lawama sana,hata akifungwa hakosagi wakumlaumu ,hivi mmemuelewa hapa?
Klopp:
"Arsenal deserve where they are but cut out five players and three of their offensive players, nobody would wonder where they are (in the table)."
Whites - CedricMimi nimemuelewa,tufanye tuna Injuries za wachezaji nane wa kikosi cha kwanza including ile front three yetu je tungeweza kua hapo tulipo kweli huenda labda tungekua kule kule tunapokuaga wa 6,7, hivi!!! Nafikiri hivi
Hapo ulipo una I'd zaidi ya 2, hatuna huo muda kufatilia wewe kuji-burn
Klopp mapema sana msimu ukiwa unaanza nafikiri tukiwa tunajiandaa kucheza mechi na majogoo. Alizungumzia pia usajili wa Jesus na Zincheko.Klopp huwa mtu wa lawama sana,hata akifungwa hakosagi wakumlaumu ,hivi mmemuelewa hapa?
Klopp:
"Arsenal deserve where they are but cut out five players and three of their offensive players, nobody would wonder where they are (in the table)."
Hatuko nyuma sana, Klopp yeye mwenyewe kaondoka Sadio tu ? Sasa na kwake utoe hao wachezaji nane anaowasema kwetu.Mimi nimemuelewa,tufanye tuna Injuries za wachezaji nane wa kikosi cha kwanza including ile front three yetu je tungeweza kua hapo tulipo kweli huenda labda tungekua kule kule tunapokuaga wa 6,7, hivi!!! Nafikiri hivi
Mimi nimemuelewa,tufanye tuna Injuries za wachezaji nane wa kikosi cha kwanza including ile front three yetu je tungeweza kua hapo tulipo kweli huenda labda tungekua kule kule tunapokuaga wa 6,7, hivi!!! Nafikiri hivi