Rogers luyangi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 552
- 948
Haya mambo ndo tulikua hatuyataki. Sisi tunataka wote watimie!Casemiro yellow card anakosa mechi dhidi ya Arsenal
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Watatuletea visingizio?Hili jambo ndo tulikua hatulitaki. Sisi tunataka wote watimie!
Hawachelewi kutoa sababu.. lakini bado ni wa kufungwa tu, hakuna namna.
Lazima wakae tena kwa kutuliaHawachelewi kutoa sababu.. lakini bado ni wa kufungwa tu, hakuna namna.
Baada ya game ya jana, EtH alihojiwa kuhusu casemiro kumiss mechi ijayo ana maoni gani?Hawachelewi kutoa sababu.. lakini bado ni wa kufungwa tu, hakuna namna.
Mnajipa moyo sana ,sisi hatuongei sanaBaada ya game ya jana, EtH alihojiwa kuhusu casemiro kumiss mechi ijayo ana maoni gani ? Akajibu last time aliwafunga bila casemiro !
Nyie Kima kifo chenu jumapili kiko palepale, endeleeni tu kujifariji kwa kukosekana uwepo wa Casemero.
Nadhani wanajiamini Kwa sababu inaonekana conversion rate yao ya hizo counters wanazopata ni nzuri. Wanasema wao pass 3 goli. So wanajua wakimpa Rashidi counter moja tu through on goal aatatupia halafu wao wapaki tu basi wasubiri counter ingine.Eti anabeza backline ya Arsenal ,
Hivi kuna backline ngumu kama ya Arsenal ukitoa ya newcastle ?
Kelele zote hizi wanatamba na kaunta ,ambayo anategemewa mtu mmoja Rashford
Tumecheza na spurs wataalamu wa kaunta wana mtu tatu Son Kane na Kulu , na hawakufanya la maana .
Dah kaunta kwao ni mmoja Rashidi makame, tumecheza na Spurs wana watu zaidi ya watatu wa Kaunta ,Nadhani wanajiamini Kwa sababu inaonekana conversion rate yao ya hizo counters wanazopata ni nzuri. Wanasema wao pass 3 goli. So wanajua wakimpa Rashidi counter moja tu through on goal aatatupia halafu wao wapaki tu basi wasubiri counter ingine.
Takwimu za Casemiro na Thomas Partey msimu huu kwenye Epl, nani ni mkali zaidi hapo?Mnajipa moyo sana ,sisi hatuongei sana
Tunaweka kumbukumbu ,usije kusema ulikuwa umelewaTakwimu za Casemiro na Thomas Partey msimu huu kwenye Epl, nani ni mkali zaidi hapo?
THOMAS PARTEY
Michezo: 15
Mabao: 2
Assist: 0
Nafasi alizotengeneza: 13
Clean sheets: 8
Tackles: 34
Interception: 17
Clearances: 23
Duels won: 72
CASEMIRO
Michezo: 15
Mabao: 2
Assist: 3
Nafasi alizotengeneza: 14
Clean sheets: 5
Tackles: 46
Interception: 18
Clearances: 29
Duels won : 92
Tulivyowagonga round ya kwanza kisingizio chenu kilikua ni Partey, Jumapili tunawagonga tena na huyo Kitchen Party wenu, andaeni mapema kabisa visingizio vya kumlaumu refa safari hii.
Takwimu za Casemiro na Thomas Partey msimu huu kwenye Epl, nani ni mkali zaidi hapo?
THOMAS PARTEY
Michezo: 15
Mabao: 2
Assist: 0
Nafasi alizotengeneza: 13
Clean sheets: 8
Tackles: 34
Interception: 17
Clearances: 23
Duels won: 72
CASEMIRO
Michezo: 15
Mabao: 2
Assist: 3
Nafasi alizotengeneza: 14
Clean sheets: 5
Tackles: 46
Interception: 18
Clearances: 29
Duels won : 92
Tulivyowagonga round ya kwanza kisingizio chenu kilikua ni Partey, Jumapili tunawagonga tena na huyo Kitchen Party wenu, andaeni mapema kabisa visingizio vya kumlaumu refa safari hii.
Lokonga kaka, tusipepese machoIla Hawa vichaa tutawapiga mpaka watueleze walitushindaje game ya kwanza Ili nyau wengine wasijaribu kudesa
Sura yako utaiweka wapi j'pili hii nduguTakwimu za Casemiro na Thomas Partey msimu huu kwenye Epl, nani ni mkali zaidi hapo?
THOMAS PARTEY
Michezo: 15
Mabao: 2
Assist: 0
Nafasi alizotengeneza: 13
Clean sheets: 8
Tackles: 34
Interception: 17
Clearances: 23
Duels won: 72
CASEMIRO
Michezo: 15
Mabao: 2
Assist: 3
Nafasi alizotengeneza: 14
Clean sheets: 5
Tackles: 46
Interception: 18
Clearances: 29
Duels won : 92
Tulivyowagonga round ya kwanza kisingizio chenu kilikua ni Partey, Jumapili tunawagonga tena na huyo Kitchen Party wenu, andaeni mapema kabisa visingizio vya kumlaumu refa safari hii.
Kaka zungumzia football sio statistics the way casemiro anacheza ni tofauti kabisa na partey..partey anawez shine popote bila kutegemea wengn sabb anauwezo wa kushika dimba kwa aspects tofaut tofaut ukilinganisha na casemiro ambae akiiba mali hana uwezo wa kufanya mikimbio inayoleta madhara au kupass mipira mirefu....Takwimu za Casemiro na Thomas Partey msimu huu kwenye Epl, nani ni mkali zaidi hapo?
THOMAS PARTEY
Michezo: 15
Mabao: 2
Assist: 0
Nafasi alizotengeneza: 13
Clean sheets: 8
Tackles: 34
Interception: 17
Clearances: 23
Duels won: 72
CASEMIRO
Michezo: 15
Mabao: 2
Assist: 3
Nafasi alizotengeneza: 14
Clean sheets: 5
Tackles: 46
Interception: 18
Clearances: 29
Duels won : 92
Tulivyowagonga round ya kwanza kisingizio chenu kilikua ni Partey, Jumapili tunawagonga tena na huyo Kitchen Party wenu, andaeni mapema kabisa visingizio vya kumlaumu refa safari hii.
Atakuambia Casemiro ni bora kuliko Busquet😂😂Kaka zungumzia football sio statistics the way casemiro anacheza ni tofauti kabisa na partey..partey anawez shine popote bila kutegemea wengn sabb anauwezo wa kushika dimba kwa aspects tofaut tofaut ukilinganisha na casemiro ambae akiiba mali hana uwezo wa kufanya mikimbio inayoleta madhara au kupass mipira mirefu....
Sijui kama unaikumbuka invincibles waliimbwa wachezaji wengi lkn mchezaji muhimu zaid na usajili bora ulikuwa gilberto silva lkn hakuwa mchezaji wa statistics bali kurahisisha na kuongeza ufanisi sasa huyo casemiro ni mkamiaji huwezi mfananisha na baller partey ni kuukosea mpira heshima....
Kama ilivo busquet pale barcelona huwez mkuta et ana assist sijui magoli sabb anatimiza yale majukumu yake muhimu sasa kama mchezaji anafanya timu icheze na kumiliki mpira attafanya tackling za hatari za nini kama anasuply mipira kwa uhakika na anasimama kwenye eneo sahihi na kumpa uhuru xhaka na odegaard wacheze kwa uhuru tatizo nini??
Mfumo anaocheza arsenal sasa wachezaji hawaingilian majukumu kbx mtazame zinchenko vs shaw ni mfumo wa man u shaw anachez beki ya kupanda na kushuka ila zincheko anacheza kama middle zaid...
Partey mlinganishe na rodry sio huo mfupa mkavu casemiro huyo rodry mwenyewe alikuwa anakula mbao pale atletico sabb y uwepo wa partey...
Welcome emirates
#COYG