Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mikel Arteta is a man where even the finest of details matter. Everything has to be perfect.

In the dressing room ahead of the North London Derby, Arsenal posters were put up which read IDENTITY & UNITY. Another one of Mikel Arteta’s genius ideas.

Our manager…
 
|| Arsenal wametoa ruhusa kwa Fulham kuzungumza na Cedric :

[Kupitia - @SkySportsLyall].

|| Arsenal are ready to bid €20m (£17.6m) for Valladolid RB, Ivan Fresneda and beat Newcastle to his signature [Via - @Pucela_Fichajes].

Arsenal wasingeipa Fulham ruhusa ya kuzungumza na Cedric kama dili la Fresneda halijafikia pazuri .Kuna taarifa kuna klabu imetoa ofa ya €10m+€5madd ons .

Kwa maoni yangu. Pia ninaamini Newcastle ndio klabu ambayo imetoa ofa ya €10m+€5m kwa Fresneda, na Arsenal wanajipanga kupeleka ombi rasmi la €20m.,kama taarifa zinavyodai.
 
Charlie Patino ni Granit Xhaka successor na 3.0 yaani mara tatu ya Granit. Charlie Patino arudishwe kwenye kikosi msimu mpya July.

Charlie Patino akipewa nafasi atakuwa kiungo mmoja mkubwa duniani kuwahi kutokea na kushuhudiwa chini ya jua.

Arteta akiendelea kuona na kutumia mastaclass formula sioni Lokonga akiendelea kuwa Arsenal — another good player for mid table and farmers league teams.
 
Huyo mtoto anajua sana ,Uchezaji wake ukimuangalia kama Frenkie De jong,

Barcelona walimfata wamchukue ,Ikabid Arsenal wa trigger miaka 2 kwenye mkataba wake ,hivo mkataba wake unaisha 2025 ,kisha Arsenal wakaanza nae mazungumzo ya mkataba mrefu , alihusishwa na Madrid pia


Lokonga project imemuacha ,sababu walimuhamisha kutoka no.6 awe no.8 , lakini amekuwa slow sana.
 
Fulham are closing in on Cedric and hope to find an agreement by the end of the week for the player.

He is 60k per week wages at Arsenal

(Simon Jones @MailSport )
 
Kuna Sheria , ukipata kadi za njano 3 mfululizo unakosa mechi Moja inayofuata.

Ukipata kadi za njano 5 ndani ya mechi 19 za mwanzo unakosa mechi Moja inayofuata...lkn ukimaliza mechi 19 za round ya Kwanza ukiwa na kadi 4 za njano unafutiwa kadi hizi round ya pili unaanza upya kuhesabu kadi mpya.

SAKA,SALIBA ,JESUS,MAGALHAES wote Wana kadi za njano 4 kila mmoja....

Kwanini hawajawai kukosa mchezo?....jibu ni kwamba hizi kadi hazijapatikana kwenye michezo iliyofuatana.


Hii case now haina pressure sana kwetu maana tumeshavuka vigongo vingi na wakizipata hizo kadi itakuwa vs united.

United wao kama Fred na Casemiro Watapata kadi za njano Leo vs crystal palace hawa hawatakuwepo nao vs Arsenal
 
Daaaaaaah!!!
Kuna siku moja nikasikia mchambuzi mmoja anasema ugumu na urahisi wa hii mechi, Azam na timu gani sijui, upo mikononi mwa Azam.Wakiamua game itaisha mapema, wasipoamua game itakuwa ngumu.

Nikasema hiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Leo Kati akicheza scoty na ericksen mbona fresh tu ? Fred na Case waje Emirates kuwaadhibu sAwa sAwa
 
Sijui watu mnajua ni kwa kiasi gani hii Arsenal iko vizuri.

Newcastle walikuja wakawa na idea ya kufanya highline press, dakika 10 baada ya hilo jaribio Edie Howe akaona isiwe kesi. Akawaweka Joelinton na Almiron kwenye wingback na kupaki zake basi
Eddie howe alikuja na 4-3-3 kama anavyofanya mechi zake zote,

Dah alipoona moto mkali ,akabadili na kucheza 5-4-1

Hiyo mechi niliifurahia sana ,Intensity ,speed ,commitment

Ndio mechi Pep Guardiola anasema ilimtisha na kuamini Arsenal hawashushi Standard ,anasema alitegemea tutaanza kushusha standard ila alipoiangalia aliingiwa na ubaridi

Ilikuwa Saka akiwa na mpira anakuja Burn na Joelenton wanamzunguka ,the same upande wa martinell ,Almiron na Trippier .
 
O

Ona hizi bhangi, tulibebwa wapi sasa nyie arsenyonyo fans, baadhi yenu kama wew huwa mnamatatizo.

Aliyekua offside ni nany! Na aliyefunga goli ni nany! hivi uliangalia hiyo gemu au unamanisha kubebwa kiaje.
Goli la Bruno mlibebwa uongo dhambi
Rushford kimazingira alinfluence na kuwahadaa mabeki wakati yuko offside. Nenda kasome sheria za mpira. Hata ile nia ya kutaka kucheza mpira ukiwa offside inahesabiwa offside. Rushford alikuwa anaucheza ule mpira hadi alipopigiwa kelele na Bruno

Hiyo timu yenu nani asiyejua ndio timu inayoongoza kubebwa EPL tangu enzi za Fegie
 
Daaaaaaah!!!
Kuna siku moja nikasikia mchambuzi mmoja anasema ugumu na urahisi wa hii mechi, Azam na timu gani sijui, upo mikononi mwa Azam.Wakiamua game itaisha mapema, wasipoamua game itakuwa ngumu.

Nikasema hiiiiiiiiiiiiiiii.
Huyo hatari tupu.
 
CEDRIC ANAONDOKA , FRESNEDA ANAINGIA

Cedric open to joining Fulham if Arsenal allow him to leave. Fulham discussing both loan and permanent options with Arsenal. Arsenal have made contact with reps of Fresneda. Valladolid would like the RB to be loaned back for rest of the season

(@sr_collings)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…