Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
I don't need your excuses, endelea kulia na magazeti yako, "ooh tuna majeruhi" timu gani haina majeruhi?Huna akili tena jipige kifuani zaidi ya mara 3 mfululizo ukijipongeza ulivyo Mpumbavu.
Lini Man City ilizidiwa pesa za usajili kwa timu yoyote pale EPL tangu Pep Kipara aje?
Inamaana Man City walikuwa ni wabovu kuliko Man Utd, Liverpool, Chelsea na Tottenham ndiyomaana ilikuwa ikitumia kitita kirefu kwa usajili kila mwaka hadi ilifikia hatua FIFA walitaka kuishtaki Man City kwa kutumia pesa za usajili kuliko kipato chao?
HP kaikuta Chelsea ikiwa nafasi ipi na ina Wachezaji wapi wa kuleta matokeo chanya?
Kipi kilichonfukuzisha TT ikiwa Chelsea ilikuwa na Wachezaji bora kimatokeo?
Timu ipi 2022/2023 iliyopatwa na Majeruhi wengi zaidi ya Chelsea FC?
Unawaaibisha washabiki wenzio wa Arsenal kuonekana hawana maana sababu tu ya akili zako kukosa afya za akili.
Najua unamatokeo. Next time acha kupiga ramli, mambo ya kishirikina ya nini!?Tuna miaka 10 hatujawahi kumfunga spurs away na katika game Kama 10 tumetoa draw only 2 times ,so anything can happen najua tutawazidi kwa kumiliki mpira but defenders wetu na wasiwasi nao sana kwenye counter attacks za spurs inabidi leo watulie mambo ya kukabia juu yanaweza yakatuumiza but tusubiri game muhimu ambayo itatoa direction season hii ukiachana na next game vs Manchester United lazima tupate 3 points leo ili next week tunaenda kumaliza mchezo tunakuwa juu zaidi ila leo ikitokea negative results tutaenda game ijayo vs Manchester United pressure ikiwa juu na watu wazima tukaanguka so game ya leo sio rahisi hata kidogo in my opinion
Nilisema anything can happen hii ni football [emoji460] dear bro/sister haujui English?hakuna game rahisi kwa sasa na ukisoma between the lines utajua nilichomaanisha wala usingekuja na quote hii tulifungwa na Manchester United na kutoa draw vs Southampton ambazo game hizo hazikuwa tight kama ya Jana Spurs second half alikuja wa moto but pia pongezi kwa Ramsdale aliamka vizuri sana aliokoa michomo ya hatari mmojawapo wa SessgnonNajua unamatokeo. Next time acha kupiga ramli, mambo ya kishirikina ya nini!?
Nilimskia bro tusubiri tuoneArteta kasema Bado wapo sokon
Alete watu wawili ,Winger na Kiungo ,
Tembo katulia anakula utawala kileleniYule tembo aliye juu ya mti lkagoma kushuka na anazidi kupata uzoefu.
Good morning our doubters
Asernal kumaliza ya Nne au Tano kabisa. Sijui itakuaje jamani
Sometimes mpira ni zaidi ya mapenzi, hata Wright jana kasema. Dogo alikuwa akilipwa 4k, arsenal wakaja na 5pk, cheltako wakaja na 100k. Hata ingekuwa wewe ungeenda wapi?Wameikataa Arse888 masikini, hivi naomba kama kuna mwenye statement ya Mudryk akisema anaipenda Arse88, au ni hii misukule ilikua inajitekenya yenyewe.
Mana kama mchezaji angekua anipenda timu angefanya kama Raphina kwenda baca.
[emoji23][emoji23][emoji23] acha maisha yaendeleeHakuna kitu mmeumia Kama Gunners kumkosa huyo mudrky,,,
Ni vile tu,, maisha yanaendelea !
Binafsi sioni akifanikiwa pale darajani, mfumo wenu unammbeba zaidi !
Siku hizi mapenzi pembeni , hela ndio kila kitu !
Siku hizi kupata wachezaji wafia timu wenye mapenzi Ni ngumu Sana ,,,, zamani walikuwepo kina Gerrard, Giggs, Puyol, Scoles n.k !