Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa hivi tunamtaka Maxence Melo 😂 mwambieni Boss
 
Arseblog wanasema mkataba wa Mudy ni miaka nane na nusu (daah, ukwepaji wa FFP kama alivyosema Castr). Kama mshahara nao ni 200p/w, mbona wanatufanya tusijutie kabisa kumkosa? Acha kijana ale maisha.
Acha janja janja wewe unaongea utadhani hela ipo mfukoni kwako sisi mashabiki tuna kaka furaha tu hayo mambo ya hela nyingi tuwaachie maboss.
 
Huyu Tajiri Miluzi tulianza kwa kumuita Todd Bahili. Jamaa amebadilika sana yaani ndani ya muda mfupi. Anatuoshea mbaya.
 
Wadau Arseblog wanatoa povu haswa. Ila waelewe ni mchezo ulivyo. Hasira zetu tuzimalizie kwa Spurs sasa
 
The Arsenal line-up to take on Spurs in the North London Derby this afternoon...

Mikel Arteta picks an unchanged line-up from the draw at Newcastle last time out in the league, so once again Eddie Nketiah leads the line with Saka, Martinelli & Ødegaard behind him.

Thoughts?
 
tuombe mechi iishe vizuri bila majeruhi kwa wachezaji ;matokeo sio jambo l muhim sna
kwa sasa.. fixture ya arsenal ipo ngumu sna
kwa hizi mechi zijazo.
 
Hii mechi n muhimu sana kushinda maana ata tukifungwa haitawafanya arteta na edu wasajili, wale jamaa mipango yao wanaijua wenyewe m sitashangaa wasipo sajili kabisa..

Chamsingi tushinde tuendelee kuyaweka matumiani yetu hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…