jong afrikaanse
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 705
- 1,032
Winning when it matters most is the character of the Champion. Ushindi wa game ya leo na ya next week utaguarantee ubingwa by almost 80%.Tuna miaka 10 hatujawahi kumfunga spurs away na katika game Kama 10 tumetoa draw only 2 times ,so anything can happen najua tutawazidi kwa kumiliki mpira but defenders wetu na wasiwasi nao sana kwenye counter attacks za spurs inabidi leo watulie mambo ya kukabia juu yanaweza yakatuumiza but tusubiri game muhimu ambayo itatoa direction season hii ukiachana na next game vs Manchester United lazima tupate 3 points leo ili next week tunaenda kumaliza mchezo tunakuwa juu zaidi ila leo ikitokea negative results tutaenda game ijayo vs Manchester United pressure ikiwa juu na watu wazima tukaanguka so game ya leo sio rahisi hata kidogo in my opinion
Hii drama tuliifanya msimu uliopita. Chukua Guimaraes tukaona 40M nyingi Partey akaumia na leo tupo hapa.Ukweli ni kwamba usajili wa Mudryk kwenda Chelsea unaweza kuaffect mbio za ubingwa kwa Arsenal msimu huu cuz naamini wachezaji pekee wa kusajiliwa Arsenal km rotation ya Saka/ Martinelli ni Mudryk ambaye kaenda Chelsea, waliyobaki ni Raphinha & Rafa leao.
Raphinha / Leoa ni vigumu kuwasajili kwa dirisha hili, hivyo binafsi nadhani kwa budget yetu ni bora tusubiri nxt window tupate winger mzuri zaidi but we should pay the price, tuwe tayari kuukosa ubingwa ikiwa long term injury itawapata wachezaji km Saka / Martinelli. Kumkosa Mudryk kunaweza kuaffect progress yetu msimu huu tu km injury itatokea kwa our natural wide players ila hakuwezi kuaffect project ya Arsenal kubang, kamwe.
80% umeweka kubwa sana.Winning when it matters most is the character of the Champion. Ushindi wa game ya leo na ya next week utaguarantee ubingwa by almost 80%.
Baada ya game hizi mbili ndo nitaconclude kuhusu maturity ya wachezaji wetu kwenye big stages na kuanzia hapo ndio either ntamuunga mkono mkorea au nitabaki na ninachokiamini toka mwanzo wa msimu ambacho ni "best achievement we are capable of, is top four qualification."
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Miaka 10 haijatimia bado.Tuna miaka 10 hatujawahi kumfunga spurs away na katika game Kama 10 tumetoa draw only 2 times ,so anything can happen najua tutawazidi kwa kumiliki mpira but defenders wetu na wasiwasi nao sana kwenye counter attacks za spurs inabidi leo watulie mambo ya kukabia juu yanaweza yakatuumiza but tusubiri game muhimu ambayo itatoa direction season hii ukiachana na next game vs Manchester United lazima tupate 3 points leo ili next week tunaenda kumaliza mchezo tunakuwa juu zaidi ila leo ikitokea negative results tutaenda game ijayo vs Manchester United pressure ikiwa juu na watu wazima tukaanguka so game ya leo sio rahisi hata kidogo in my opinion
Nisahihishe kama nimekosea
Hazard hajawahi kufunga magoli zaidi ya 15 kwenye ligi akiwa Chelsea.
Alipofunga magoli zaidi ya 15 ndiyo Madrid wakamfuata.
Au haiko hivi?
Assists zaidi kuliko yeye mwenyewe kuscoreKwa kweli sikufuatilia hizo stats zake. Atakuwa mingoni mwa wafungaji bora wao hadi sasa nadhani. Alikuwa mchezaji muhimu mwenye kasi na ubunifu. ALicombine viuri na wengine na alitoa burudani. Alikuwa mgumu kumkaba na aliwapa Chelsea fouls, nadhani na penalties pia. Pale ilipobidi liweza kuwa mbeba team 'game changer/protagonist' hali ikiwa ngumu. Nakumbuka kuna game alitufunga baada ya kukokota mpira mbele ya halfway line, Coquelin akajaribu kumkaba akajikwaa kwake na kuanguka, akauburuza mpaka kumkuta na kumtoka Koscielny na kupiga bonge la bao.
Na assists pia. Alikuwa hatari hata hivyoAssists zaidi kuliko yeye mwenyewe kuscore
Kwangu mimi kama tukishinda hizi game 2 basi tutawiden the gape na UTD na City, pia confidence level itakuwa juu hivyo kutengeneza possibility kubwa ya kupata pts vs City kwenye game zote. Kwa average teams nadhani kwa sasa wanatuhofia that's why tunawadefeat in their own fear (take example of West Ham also Brentford)80% umeweka kubwa sana.
Kabla ya game dhidi ya Newcastle tulikua na 51% za ubingwa. Baada ya ile game tukashuka mpaka 46% matokeo ya jana ya City na yetu leo dhidi ya Spurs yanaweza leta namba tofauti ila siyo 80%
Hao akina nelson, lokonga achana naoSaka ana Nelson
Naona fans wengi wanalalamika depth ya team, ila kwa mtazamo wangu naona tunalack sufficient confidence level in our sub players. Hii inapatikana via winning na kuwaintegrate slowly into winning teams.
Kama tukiendelea kuwa na muendelezo wa matokeo ya kushinda hawa kina Lokonga, Vieira na Nelson watabadilika sana, na kubadili mawazo ya wengi.
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Guimares sio holding midfielder, umekuwa off humu ushalose streak.Hii drama tuliifanya msimu uliopita. Chukua Guimaraes tukaona 40M nyingi Partey akaumia na leo tupo hapa.
Shida ni kwamba bado hatuna kiungo na hatuonyeshi kama tuna mpango wa kusajili ila tunatarajia miujiza.
At this point tukiwekeza vizuri we have a chance in title race. Huo ndiyo ukweli
Ila anaweza kukuchukulia mpira kukupelekea mbele, kukupa pasi za rula, ananyumbulika vizuri tofauti na Lokonga na ElnenyGuimares sio holding midfielder, umekuwa off humu ushalose streak.
Ffp haiwezi tumika hapa kwakua Roman wakati anaiuza timu madeni yote yalifutwa. Hivyo kwenye ffp Chelsea ilionekana iko 0.
Ffp inaangalia mapato yako na matumizi kila baada ya miaka 3. Na kwakua deni lilifutwa hii inamaanisha ffp inaona Chelsea katumia 500M na hana negative.
Ujanja mwingine ni amortization mfano dili la Mudryk ni 105M na mkataba ni miaka 7 ukiigawa hii 105 kwa miaka 7 utaona actually hii inamaanisha kila mwaka inalipwa 10.4M so bado wanakua hawajaiingilia FFP.
Swali hili liliwafaa Barca ambao tunajua wana deni la 1B ila walikua wanasajili non stop
That doesn't make him a holding mid, he's a second phase merchant. Perfect suit to Xhaka's LCM.Ila anaweza kukuchukulia mpira kukupelekea mbele, kukupa pasi za rula, ananyumbulika vizuri tofauti na Lokonga na Elneny
Winning when it matters most is the character of the Champion. Ushindi wa game ya leo na ya next week utaguarantee ubingwa by almost 80%.
Baada ya game hizi mbili ndo nitaconclude kuhusu maturity ya wachezaji wetu kwenye big stages na kuanzia hapo ndio either ntamuunga mkono mkorea au nitabaki na ninachokiamini toka mwanzo wa msimu ambacho ni "best achievement we are capable of, is top four qualification."
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Nilisema huyu ametumika au amefanya kazi yake.Fabrizio Romano anashambuliwa wanasema kafanya udalali[emoji23][emoji23]
Uzembe ni wa Edu na sio Fabrizio management ikubali imeteleza tuangalie what next siku zinaenda za deadline huku tuna two big competitions (EPL and Europa league)ambazo zote this season tunazitaka huku tukiwa na strong 11 starting squad na weak bench kwa kipindi hiki ikifika March muda wa kukimbizana kumaliza EPL na Knock out ya Europa ndio tutakuja kuona umuhimu tena wa usajili kama last season tulivyoikosa top 4Nilisema huyu ametumika au amefanya kazi yake.
Bora wewe ulivyomkweliDah ila tuache utani jamani ukiwa na boss kama tajiri milunzi raha sana lina mwaga tu hela aise mpaka nimelitamani Manchester tulivyo chacha saizi.
Maneno ya kujifariji 🤣🤣🤣Kivipi roho ituume kwa mchezaji ambaye hatujawahi kumuona?
Nilikunja kwa Locatelli na Vlahovic kwakua niliwaona na nilijua wakija watakua msaada lakini Mudryk hata sijawahi mjua kabla ya hili saga.
Na ofa yetu Arsenal bado ilikua kubwa kwaajili ya mchezaji anayekuja kua backup. Narudia tena kwa hapa tulipo tukisajili mid mkali na winger wa kawaida mi sina tatizo na mtu.
Odegaard namba ya Saka anacheza bila shida.
Hazard alikuwa Bora zaidi kipindi Cha mourinho ndio alikuwa na goals nyingi na assist msimu ujao ndio akaja Conte. Hazard alikuwa afungi magoal mengi lakini alikuwa anaibeba mechi kwa mabega yake yaani kiufupi alikuwa anadominate mechi wa wachezaji wa aina hii hawapo sasa hivi kwa asilimia kubwaNisahihishe kama nimekosea
Hazard hajawahi kufunga magoli zaidi ya 15 kwenye ligi akiwa Chelsea.
Alipofunga magoli zaidi ya 15 ndiyo Madrid wakamfuata.
Au haiko hivi?