Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa arsenal miaka ya leo mnaleta umbinde kama wa enzi za wenger tu kweli nimeamini arsenal ni timu level za Fulham aise.

Yani club mchezaji wa bei nyie kumchukua ni pepe kale tu sasa miaka ya leo utampata nani kama utaki kumwaga hela.

Saizi pound 100 hesabu kama 50 tu acheni umbinde saizi amna cha mahaba na club sijui nini saizi wachezaji wanataka hela.
 
Umemaliza kila kitu.

Hii hali ya sasa ikipita tu tukawa tumesettle hizi kelele za usajili zote zitaisha
 
Wanaamini watapata mchezaji sababu ya kupendwa team ina miaka karibu 10 haijashiriki UEFA na kikosi Chao cha wachezaji 13

Team sub ina Lokonga na Elneny haf inataka ubingwa,labda kama ubingwa ni mechi 20
 
Kama bodi ya Arsenal iliamini hatutakiwi kutoa 100M basi acha iwe.

Tangu Arteta aje tumekosa wachezaji wengi kwaajili ya ofa yetu kua ndogo, Aouar, Martinez, Vlahovic, Locatelli, Maddison na leo tuko hapa
Pia Edu hapendi saaana wachezaji wa kugombania sana. Anataka anayeonesha kutamani kujiunga na project yake na kuipambania. Vigeugeu hapendi. Edu alisema alishapiga chini usajili wa m/wachezaji Kwa sababu walionesha kutaka pesa au mengineo zaidi ya kuipagania arsenal na falsafa zake. (Kuna mdau alisema huku kuwa Mudy ni mkimbizi anakimbia vita hivyo hata Southampton wangemtaka angesifu na kuabudu aende huko, na shaktar nao wanahitaji mshiko wa kununulia nchi yao bunduki (utani mbaya sana huu, sorry Kwa kuukumbushia).

On to the next one.

What does it mean for us?:

Kama sisi hatukurupuki kusajili na tunasaka profile mahususi Kwa kuimarisha team, kumfuatilia Mudryk Kwa kiasi hiki inaanisha tulimhitaji sana na huenda hatujaona sokoni mwingine kama yeye. Hivyo ni wazi hili ni pigo kubwa kwetu.
Project yetu Sasa itapungua Kasi.
Au....Kwa sababu imesemekana sisi tumekaza kuwa hatutaongeza ofa yetu zaidi, tumeshatable final offer yetu either Kwa maana ndiyo pesa tuliyo nayo au tunaona thamani ya mchezaji Iko chini kuliko tulivyooffer hivyo hatuwezi kuzidisha. Liwalo na liwe.

Sasa Kuna uwezekano wa kumaliza msimu na kikosi hichi hichi kilichopo
 
Hua nashangaa timu kama Napoli au Dortmund wanaingia chimbo wanakuletea mtu wa 16M na anawasha moto mpaka chelsea et el watakuja kutoa 100M

Kwamba Arsenal scouting yetu haina connection sana au?
 
Hua nashangaa timu kama Napoli au Dortmund wanaingia chimbo wanakuletea mtu wa 16M na anawasha moto mpaka chelsea et el watakuja kutoa 100M

Kwamba Arsenal scouting yetu haina connection sana au?
'English Tax Theory'. Mchezaji akitakwa Kwa 20m Italy, huyo huyo ni 60m England. Tena Kwa top 4 teams ni 80. Last season au summer tu hapa Mudryk alikuwa aende Brighton Kwa 25m. Miezi kadhaa baadae Arsenal wanamtaka, bei ya mwamba imegonga 80m. Ila kupata kitu Cha ukweli Kwa bei poa pia inawezekana kama Liverpool walivyompata Gakpo
 
Mi nachukulia Gakpo kama Calvalho tu kama Calvalho hajawafaa hata Gakpo ataonekana wa kawaida. Walilamba bingo kwa Diaz
 
Mkuu, tulia kwanza!!Hapa nazungumzia kiushabiki kwanza

Mpaka hasira za kukosa tunda kimasihara zitoke.

Mostly of Arsenal supporters tumefura mda huu, kutokana na hii habari.

Kausha kwanza
Unadeal na mtumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…