juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Summer wanaondoka hao. Hata kwa bei ya hasara kai ni 50/50Boss wenu amekua kichaa, anamwaga hela tu! Ni vile Kama anasikilizia tu akisikia Kuna mchezaji mzuri pahala anazama mazima!
Kuja kuwa-offload kina Kai, hakimu, pulisic itakuwa kazi sana
Usajili ni gampling, anaweza flop au asiflop. Asipoflop tumeulaAnyway kwa mtazamo wa kishabiki arsenal tumefeli kupata tulochotaka na hili hakuna haja ya kulionea aibu.it was a battle and we failed.
Ila kuna mambo ya kujiuliza nje ya ushabiki.
Mchezaji kutoka ligi ya poland anastahili pesa hiyo?
Je mchezaji aliyenunuliwa kwa bidding war kwenye mshahara ataweza kuendana na sera za mishahara za klabu? maana kuna waliotayari kumpa mshahara mkubwa ili wampate
Hebu tazama pending za mikataba ya perfoming players kama saka,saliba,martinell ambazo naamini zinacheleweshwa na sera za malipo za klabu unafikiri ujio wa mchezaji kama mudrik ungeathiri vip muendelezo wa mazungumzo ya mikataba mipya.(kutokana na mshahara ambao angedai)
Je ushawahi kujiuliza athari anayoipata mchezaji pale anaponunuliwa kwa gharama kubwa halafu akachelewa ku adapt na kudeliver?
Nataka niwaambie kitu guys
1-mkurugenzi wa shaktar ameshinda vita ya kupandisha thamani ya mchezaji wake kwa bei aliyoitaka.
2-mchezaji atafanikiwa kupata mshahara mnono anaoutaka kutokana na team zilivyo desperate kwenye soko
3-fabrizio romano,charles watts na david oumstain wamefanya kazi ya shaktar iwe rahisi kwa kujua au kutojua au yote mawili
4-wakala wa mudrick amefanya kazi yake vizuri na hapa mendez atajifunza kitu.(klabu inapata inachotaka na mchezaji amepata anachotaka)
5-moral of mudrick saga ni ndogo na kubwa na inatufundisha mambo mawili kwenye medani ya usajili. Mosi twende kimya kimya kama tulivyofanya kwa vieira au tunapotangaza kumtaka mtu wazi tusitumie muda mrefu kwenye mazungumzo ili kuepusha biding war.
6-we know what we want at reasonable price
7-Tusiamini claim ya mchezaji kwamba anaipenda klabu tukapumbazika.pesa na mapenzi ni ndugu wa damu.
8- There is always plan A,B,C.Tusubiri watatuletea nani
Welcome epl mudrick the home of gladiators and not heroes.try to survive
Kumbe koulibaly ni wazamaniWewe ndi huelewi, idara zote tunasajili sio Mykhailo tu
Timu inasukwa upya.
Wa zamani watakaobaki ni wachache sana
Takataka zote tunatupa Dumpo mkaokote huko
Hizo takataka mziwahi kule dampo
- Pilisic
- Cheek
- Mendy
- Chalobah
- Jorginho
- Kovacic
- Auba
- Koulibaly
- Ziyech
- Broja
- Galagher
- Azpilicueta
- Lukaku
TULIZA HASIRA BRO. Wamarekani wanatumia pesa yao si yakoKumbe koulibaly ni wazamani
Hii timu vichwa maji sana
Anyway kwa mtazamo wa kishabiki arsenal tumefeli kupata tulochotaka na hili hakuna haja ya kulionea aibu.it was a battle and we failed.
Ila kuna mambo ya kujiuliza nje ya ushabiki.
Mchezaji kutoka ligi ya poland anastahili pesa hiyo?
Je mchezaji aliyenunuliwa kwa bidding war kwenye mshahara ataweza kuendana na sera za mishahara za klabu? maana kuna waliotayari kumpa mshahara mkubwa ili wampate
Hebu tazama pending za mikataba ya perfoming players kama saka,saliba,martinell ambazo naamini zinacheleweshwa na sera za malipo za klabu unafikiri ujio wa mchezaji kama mudrik ungeathiri vip muendelezo wa mazungumzo ya mikataba mipya.(kutokana na mshahara ambao angedai)
Je ushawahi kujiuliza athari anayoipata mchezaji pale anaponunuliwa kwa gharama kubwa halafu akachelewa ku adapt na kudeliver?
Nataka niwaambie kitu guys
1-mkurugenzi wa shaktar ameshinda vita ya kupandisha thamani ya mchezaji wake kwa bei aliyoitaka.
2-mchezaji atafanikiwa kupata mshahara mnono anaoutaka kutokana na team zilivyo desperate kwenye soko
3-fabrizio romano,charles watts na david oumstain wamefanya kazi ya shaktar iwe rahisi kwa kujua au kutojua au yote mawili
4-wakala wa mudrick amefanya kazi yake vizuri na hapa mendez atajifunza kitu.(klabu inapata inachotaka na mchezaji amepata anachotaka)
5-moral of mudrick saga ni ndogo na kubwa na inatufundisha mambo mawili kwenye medani ya usajili. Mosi twende kimya kimya kama tulivyofanya kwa vieira au tunapotangaza kumtaka mtu wazi tusitumie muda mrefu kwenye mazungumzo ili kuepusha biding war.
6-we know what we want at reasonable price
7-Tusiamini claim ya mchezaji kwamba anaipenda klabu tukapumbazika.pesa na mapenzi ni ndugu wa damu.
8- There is always plan A,B,C.Tusubiri watatuletea nani
Welcome epl mudrick the home of gladiators and not heroes.try to survive
Koulibaly mmemchukua lini?TULIZA HASIRA BRO. Wamarekani wanatumia pesa yao si yako
Sisi ni mashabiki tu
Kwani Koulibally ni kijana au umenielewa vibaya niliposema wa zamani pole sana. Wa zamani kwa umri na kuwepo kwenye timu. Wasioperform wote tunawaondoa. Hata Havertz atatoka mshahara anakula mkubwa halafu haleti matunda yanayoitakiwa
Hongereni majiraniVita vimeisha
View attachment 2481310
Hapo arsenal kaweka msimamo pesa ndio hiyo kama hamtaki ni freshVita vimeisha
View attachment 2481310
Unaamini kuna mpuuzi wa kuja Arsenal hapo?Wewe ndi huelewi, idara zote tunasajili sio Mykhailo tu
Timu inasukwa upya.
Wa zamani watakaobaki ni wachache sana
Takataka zote tunatupa Dumpo mkaokote huko
Hizo takataka mziwahi kule dampo
- Pilisic
- Cheek
- Mendy
- Chalobah
- Jorginho
- Kovacic
- Auba
- Koulibaly
- Ziyech
- Broja
- Galagher
- Azpilicueta
- Lukaku
Arsenal wamefanya indirect transfer market. Nafikiri wameamua kustick na project yao. Lengo lao halikuwa kusajili mchezaji wa kuwapa ubingwa msimu huu, isipokuwa wapate mchezaji kwa reasonable price si ajabu hata wasisajili tena wakastick na Emile Smith Rowe tumeona kwa Dusana na Raphinah.Anyway kwa mtazamo wa kishabiki arsenal tumefeli kupata tulochotaka na hili hakuna haja ya kulionea aibu.it was a battle and we failed.
Ila kuna mambo ya kujiuliza nje ya ushabiki.
Mchezaji kutoka ligi ya poland anastahili pesa hiyo?
Je mchezaji aliyenunuliwa kwa bidding war kwenye mshahara ataweza kuendana na sera za mishahara za klabu? maana kuna waliotayari kumpa mshahara mkubwa ili wampate
Hebu tazama pending za mikataba ya perfoming players kama saka,saliba,martinell ambazo naamini zinacheleweshwa na sera za malipo za klabu unafikiri ujio wa mchezaji kama mudrik ungeathiri vip muendelezo wa mazungumzo ya mikataba mipya.(kutokana na mshahara ambao angedai)
Je ushawahi kujiuliza athari anayoipata mchezaji pale anaponunuliwa kwa gharama kubwa halafu akachelewa ku adapt na kudeliver?
Nataka niwaambie kitu guys
1-mkurugenzi wa shaktar ameshinda vita ya kupandisha thamani ya mchezaji wake kwa bei aliyoitaka.
2-mchezaji atafanikiwa kupata mshahara mnono anaoutaka kutokana na team zilivyo desperate kwenye soko
3-fabrizio romano,charles watts na david oumstain wamefanya kazi ya shaktar iwe rahisi kwa kujua au kutojua au yote mawili
4-wakala wa mudrick amefanya kazi yake vizuri na hapa mendez atajifunza kitu.(klabu inapata inachotaka na mchezaji amepata anachotaka)
5-moral of mudrick saga ni ndogo na kubwa na inatufundisha mambo mawili kwenye medani ya usajili. Mosi twende kimya kimya kama tulivyofanya kwa vieira au tunapotangaza kumtaka mtu wazi tusitumie muda mrefu kwenye mazungumzo ili kuepusha biding war.
6-we know what we want at reasonable price
7-Tusiamini claim ya mchezaji kwamba anaipenda klabu tukapumbazika.pesa na mapenzi ni ndugu wa damu.
8- There is always plan A,B,C.Tusubiri watatuletea nani
Welcome epl mudrick the home of gladiators and not heroes.try to survive
Kuwa timu kubwa kinahitaji heal,Arsenal tutabaki na wachezaji wetu wa bei rahisiMamamaye Arsenal tumemkosa dogo namna hii very painfully
Labda misimu miwili mbele (huu na ujao)"Majirani pambaneni mbebe ndoo msimu huu, tuko upande wenu. Wanaume tukianza ligi msimu ujao hatutaacha hata kikombe cha mbuzi inazagaa zagaa.
Take this as a warning"
Player yoyote yule akiwa linked na team za England price yake mpk hapo ishapanda, Team kama wolves,Notting forest wanasajil mchezaj kwa £50M. Or ufanye kama Brighton wanavyofanya sasaSoko limeharibika siku hizi... Huyu mudryk angetakiwa na dortmud bei isingekuwa huko..
Ni kucheza kamari tu, unaweka hela ussajiki ukitiki sawa ukibuma unafumba macho.