Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unajua kujipa moyo brother
 
Walikuwa wanacheza kama wamekremisha maelezo, mtu anapata mpira yupo kwenye nafasi ya kushoot, anapiga pasi pembeni, mtu ana receive mali, bila kutizama nyuma anipiga pasi ya pembeni wakati
Alikuwa na uwezo wa kuturn, wwanacheza kama wako programmed vile.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tajiri hajielewiView attachment 2481179
Amepanick, kila mchezaji anamtaka

Yeye ndo scout, yeye ndo sporting director

Dirisha kubwa katumia £300M kasajili mabeki ambao ni uchochoro tu, kwenye ligi wana goal difference ya sifuri
 
Maajabu yake wakikutana na sisi hawatacheza ujinga huu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tajiri hajielewiView attachment 2481179
Boehly-Eghbal ni wajinga sana, unakataa kutoa 100M kwa enzo na kutafuta cover ya james unaenda kubid 100 kwa player ambae yuko desperate kujiunga na team nyingine. Ni ukos3fu wa akili.

Sajili kiungo na rb huko ndio kunashida sana

Waache recruitment team ifanye kazi yake
 
Muache tajiri atumie pesa yake
 
Alifanya hivi kwa Raphinha

Raphinha anaitaka Barca. Ila deal ikifeli yuko tayari kwenda Arsenal.

Boehly akaenda kukubaliana na Leeds kabla ya mchezaji.

Kilichotokea tunakijua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…