Come on kijana,moja ya makosa makubwa ambayo hamna jinsi ya kuyasahihisha ni kutangulia kucheza na city huku arsenal tunawaangalia.
Kwanini?
Kimsingi aproach mliyokuja nayo leo haitokuwa na tofauti na mtakayokuja nayo dhidi ya mechi yetu.hapo ndipo shida inapoanzia,techinically kuna maeneo wachezaji wenu wamebadilika ila tactically hapo ndipo mechi itakapochezewa.