Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mbona juz hapa alichukua ,na Bado akaliendeleza akashinda na ku draw moja , wakampa Eddie Howe, akashinda Tena mechi 4 ndio hii amechukua
Kumbe alishaishinda hiyo jinx na ni wasiwasi wa bure tu? basi kuna teams zitapata taabu sana.
 
New direct contacts will take place in the next hours for Mudryk deal. Arsenal will discuss with Shakhtar about add-ons structure after €70m bid plus €25m
#AFC

Arsenal want to get it done as soon as possible, player insisting too - personal terms already agreed.
 
Edu Gaspar yupo Poland kaka toka Jana ...kule hana ndugu kilichompeleka ni jambo Moja tu...(Majibu soon na jezi yako safiiiiii )
 
Mechi hii ya leo ya City vs Utd tuitumie kama homework maana Man Utd leo wanashambulia kwa kushtukiza.Tukifanikiwa hapa tutawapiga nyingi sana.
 
Watu wanaangalia majina ya timu na matokeo ya Livescore ila sio mpira unaochezwa uwanjani, hii city siioni kama inaweza kuzuia Arsenal kutwaa ubingwa hapo March mwishoni
Partey na xhaka tu
Wanauwezo wa kuidhibiti midfielders wote wa city
Namaanisha kdb, bernado na rodri

Na pia walishaonesha huo uwezo msimu uliopita vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…