King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,018
- 5,127
Nyie maboya ongezeni euro 16, ili mpate kuchukua kituko mlichoking'ang'ania mda mrefu.Arsenal make new Mykhailo Mudryk transfer bid worth club-record £84MILLION as Gunners hope Shakhtar finally play ball
Pep kesho akiwagonga 4-0 ,hutajipitisha humuSawa mchambuzi uchwara, vipigo vikianza huwa unapotea humu Kama nyigu.
Ucjali dawa ya pep ipo jikoni inachemshwa, na ten hag mda c mrefu atapewa anywe. Afu cku hizi umekua na adabu, maan sikusikii ukisema arsenal kuifunga man United mpaka unaomba man fisi itufunge.Pep kesho akiwagonga 4-0 ,hutajipitisha humu
Amecheza mechi 12 kwenye ligi msimu huu so ana goli 7 na assist 7 .Uefa ana goli 3.sasa ulitaka auzwe bei gan alafu we ni shabiki wa man u ulinunua sancho kwa 100 kapitwa magoli hadi na Nketiah hahahahahaNyie maboya ongezeni euro 16, ili mpate kuchukua kituko mlichoking'ang'ania mda mrefu.
Hio nafasi ya 4 yenyewe umewapendelea, kati ya Tottenham na Liverpool mmoja wao ndio atakaa hapo 4, hawa Kima Europa inawahusu tena msimu ujao.Msimamo wa ligi mpaka kufikia May
1: Manchester United
2: Manchester city
3: Newcastle United
4: Arsenal
Sasa manyumbu timu ya kutisha?Ucjali dawa ya pep ipo jikoni inachemshwa, na ten hag mda c mrefu atapewa anywe. Afu cku hizi umekua na adabu, maan sikusikii ukisema arsenal kuifunga man United mpaka unaomba man fisi itufunge.
Uzuri hata mashabiki wenzako, wanakujua wew ni mshabiki wa arsenal, Kutokana na upepo unavyovuma mambo yakiwa mabaya kwa vipigo mfululizo uwa unajipiga burn.Sasa manyumbu timu ya kutisha?
Sisi Tunataka mbondwe kesho, halafu Tunawangoja Emirates
Xhaka huwa anawataman Sana pale Emirates
Hicho mnacholetewa mtakuja kujuta maana ni kituko kitakachofanya mlalamikie kocha na uongozi mzima.Amecheza mechi 12 kwenye ligi msimu huu so ana goli 7 na assist 7 .Uefa ana goli 3.sasa ulitaka auzwe bei gan alafu we ni shabiki wa man u ulinunua sancho kwa 100 kapitwa magoli hadi na Nketiah hahahahahaView attachment 2480002
Huyu Aaron Arsenal hana tofauti yoyote na OllaChuga Oc pale timu zao zinapokung'utwa.Uzuri hata mashabiki wenzako, wanakujua wew ni mshabiki wa arsenal, Kutokana na upepo unavyovuma mambo yakiwa mabaya kwa vipigo mfululizo uwa unajipiga burn.
Tunakuja hapo Emirates kuwanyoosha tena, maana nyie ni mbio za vijiti mkijitahidi sana mtabakia nafasi ya 4 au kujiunga Europe msimu ujao.
Naona hii form ya kuwafunga timu za mkiani imewadanganyaUzuri hata mashabiki wenzako, wanakujua wew ni mshabiki wa arsenal, Kutokana na upepo unavyovuma mambo yakiwa mabaya kwa vipigo mfululizo uwa unajipiga burn.
Tunakuja hapo Emirates kuwanyoosha tena, maana nyie ni mbio za vijiti mkijitahidi sana mtabakia nafasi ya 4 au kujiunga Europe msimu ujao.
Vipigo vyenu vimewadia mtapigwa mfululizo si ligi tu hadi FA ili mpambanie nafasi ya 4 au Europe msimu ujao.Naona hii form ya kuwafunga timu za mkiani imewadanganya
Mnakuja kuzurula humu ,
Kesho Mkipigwa 4-0 , nadhan utakata mguu kuja humu
Unamjua huyu?Huyu Aaron Arsenal hana tofauti yoyote na OllaChuga Oc pale timu zao zinapokung'utwa.
Kijana mdogo tayari ushakuwa mchawiHicho mnacholetewa mtakuja kujuta maana ni kituko kitakachofanya mlalamikie kocha na uongozi mzima.
Naona unatafuta umaarufu ,Mimi nishakupuuzaKama huwa wajipiga burn, utanionaje Sasa, wew subiria mda utaongea na nitakutafuta humu humu. Aron mchambuzi uchwala.
Umaarufu kwa boya kama, wew ulienishobokea kuniquoteNaona unatafuta umaarufu ,Mimi nishakupuuza
FlanoAmecheza mechi 12 kwenye ligi msimu huu so ana goli 7 na assist 7 .Uefa ana goli 3.sasa ulitaka auzwe bei gan alafu we ni shabiki wa man u ulinunua sancho kwa 100 kapitwa magoli hadi na Nketiah hahahahahaView attachment 2480002