Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mwanzoni lilikuwa wazo la Arteta kumtumia Zinchenko kama beki wa kushoto wa Manchester City. Zinchenko alikuwa amewasili Uingereza kama kiungo mshambuliaji, na hakuwa amesahau kile Arteta alimfanyia huko Manchester.

(@SamJDean)- Telegraph
 
Tangu Zinchenko alipoingia kwenye kikosi cha Arsenal, amekuwa mmoja wa wachezaji wenye sauti kubwa kwenye kikosi .

Ujumbe wake kwa wachezaji-wenza : wana uwezo wa kushinda ligi hii na hawapaswi kuogopa chochote

(@SamJDean)- Telegraph
 
Arsenal this season With and without Oleksandr Zinchenko


In the Premier League this season, Zinchenko averages more successful passes and progressive passes per game than any other Arsenal player


(@SamJDean )

telegraph.co.uk/football/2023/…
 
Viungo wavunja kuni ,siwapendi ,napenda DM Kama Partey ,Rodri , Gorginho , FDJ ,

Nipe ubora wa Rice kwa mpira hasa huu tunaocheza ambao unahitaji DM awe na accuracy kubwa Sana ya upigaji pass kuliko kufanya tackling
Rice anacheza timu yoyote duniani ht Barcelona, unataka kuaminisha umma Rice hana pass accuracy? You're so annoying!
Your browser is not able to display this video.
 
Arsenal tunatakiwa kufanya usajili wa Douglas Luiz.

Luiz ni Defensive Midfielder na anaweza kucheza kama CM na CLB kwenye uhitaji. Usajili wa Luiz ni sawa na ingizo la wacheji wawili kwa mpigo maana anaweza ku-offer zaidi.

Luiz anaweza kucheza kama back-up ya Partey, Kucheza nafasi ya Xhaka na kucheza nafasi ya Gabriel tukiwa na uhitaji.
 
Huyo acha acheze Aston villa, kwenye position ya Partey tunahitaji mchezaji established, kimo km partey, physical prowess, mental side of the game, aje kufundishwa how to control games thru technical emphasis + Juego de posicion ya kiespaniola, Declan Rice kwangu ni mtu sahihi, naamini tutakuwa na pesa nxt summer. Unajua partey & Rodrigo mbali ya kuwa na vipaji lakini wamepata bahati ya kufundishwa na makocha wa kiespaniola ambao walikuwa wanacheza position hizohizo.
 
Arsenal ilishaachana nae huyu Luiz, na aliongeza mkataba mrefu ,
 
Arteta on Mykhaylo Mudryk: “There are some interests on things we'd like to do to improve the team. We're a bit short in certain areas, we are trying”.
#AFC

“Gabriel Jesus? He’s in the right place in terms of the time we set for him, but he’s still a bit far”, he added.
 
Je Kuna wachezaji mbadala ya Mudryk au wa nafasi zingine tunaowasaka dirisha hili? Naona kama tunamfukuzia mtu mmoja tu na wenyewe wana kaza mpaka nadhani mwishowe hatutasajili mchezaji yeyote.
Tulieni mpigwe nyundo ya kichwa huyo Ni pepe part 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…