Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Sasa Martial ballon d'Or atashinda lini?Ofa hii wanaenda kukubali
€70m guarantee + add ons
Full package €85-100m
Kwasasa wanajadili structure ya ulipaji add ons ,
Maana Unaweza kukuta add ons Kama ile ya martial had ashinde ballon dor
Ligi ya UkraineWa Ukraine ,wanasema hakuna wakumuweka benchi Mudrky pale Arsenal
A new neymar
| Ukrainian football coach Vyacheslav Hroznyi on Mudryk:
“He will play right away [in the starting XI at Arsenal].
“Now there is no one stronger than Mudryk in this position at Arsenal.” [UA-Football]️ #afc
Hahaha tuli Emirates stadiumMmeanza kunena kwa lugha
Mudryk is a deal done, hofu yangu ni replacement ya Partey huyu ndo mwenye timu yake anahitaji mtu wa kucover nafasi yakeJe Kuna wachezaji mbadala ya Mudryk au wa nafasi zingine tunaowasaka dirisha hili? Naona kama tunamfukuzia mtu mmoja tu na wenyewe wana kaza mpaka nadhani mwishowe hatutasajili mchezaji yeyote.
Kuna mzee mmemsajili kutoka uturuki nasikia kwa mkopoLigi ya Ukraine
Kaije tulebe kyomaAnyegere muno
Naamini Rice anakuja nxt summer, ningewaza locatelli lkn sidhani km tunaweza kurudi nyuma.Mudryk is a deal done, hofu yangu ni replacement ya Partey huyu ndo mwenye timu yake anahitaji mtu wa kucover nafasi yake
Viungo wavunja kuni ,siwapendi ,napenda DM Kama Partey ,Rodri , Gorginho , FDJ ,Naamini Rice anakuja nxt summer, ningewaza locatelli lkn sidhani km tunaweza kurudi nyuma.
Hii habari sasa nimechola kuisoma, kama anakuja na aje vinginevyo wanahabari watupumzishe sasa
Miaka ya karibuni wachezaji wetu hawajapata hii tuzo kabisavs. Chelsea
️️ vs. Wolves
vs. West Ham
️vs. Brighton
Martin Ødegaard has been named the Premier League November / December Player of the Month.View attachment 2479395
Kwenye transfer market zipo aina mbili direct/indirect contact na ndiyo maana kwa Mudryk , Arsenal wanafanya indirect contact transfer market. Lakini pia Arsenal wanaangalia vigezo vingi hawajaingia kichwa kwenye huo usajili.Kutoka ligi dhaifu ya Ukraine kuja kucheza ligi ngumu EPL na kuperfom kuna changamoto kidogo,,,, thou inawezekana pia
Kuna baadhi ya wachezaji watahitaji muda wa kuadapt na wengine hawahitaji muda wakifika tu wanakiwasha!
Hii ligi Ni competitive sana, wengi tumeona wakuja kutoka huko farmer's league na kuchemka vibaya mno !
Mudryk Ni mchezaji mzuri Sana, ana skills za kutosha, stats zake Ni nzuri pia ! Shida Ni moja tu Moto anaouwasha kule ataweza kuuwasha the same/above akija EPL ?
Usajili Ni kamari, wacha tuone, maana mzigo mnaoutoa Ni mkubwa 70m plus adds on, na hapo mmesubmit tu, shaktar hawajakubali,,,, wanawatega muongeze !!!