Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tumetumia zaidi ya miaka 10 kumsubiri mpinzani wa kweli wa Lionel Messi katika kinyang'anyiro cha tuzo ya Ballon D'or.
Asante sana mkombozi Marcus Rashford, unayoyafanya sasa hayawezekani kwa mwanadamu mwengine wa kawaida ingawa Arsenyani kila siku kabla ya kulala wanakuombea dua mbaya uvunjike miguu yote miwili uwe unatembelea magongo.
 
[emoji23][emoji23]minyumbu bana et rashd awe mpinzan wa messi ivi mnafkriaga kwa kutumia kiungo gan[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ni vilabu 3 pekee vilivyoshinda Kombe la Dunia la Klabu ya Fifa nchini Uingereza.
1.Chelsea.
2.Liverpool.
3.Manchester United.

Ni klabu 5 pekee ambazo zimeshinda Uefa Champions League nchini Uingereza.
1.Liverpool.
2.Manchester United.
3.Chelsea.
4.Nottingham Forest.
5.Aston Villa.

.ni vilabu 5 pekee vilivyoshinda Uefa Europa League nchini Uingereza.
1.Liverpool.
2.Chelsea.
3.Tottenham Hostpur.
4.Manchester United.
5.Ipswitch Town.

Ni klabu 5 pekee ambazo zimeshinda Uefa Super Cup nchini Uingereza.
1.Liverpool.
2.Chelsea.
3.Manchester United.
4.Nottingham Forest.
5.Aston Villa.
.
.
.
.
.kama unatafuta klabu ndogo kama Manchester City na Arsenal kwenye orodha hii, samahani huwezi kuzipata[emoji849][emoji849][emoji849]..
 
[emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958]
 
Sababu uliyoitoa ni uongo sababu yenu ya kuto kuipenda man u ni hii acheni janja janja.
 
Wa Ukraine ,wanasema hakuna wakumuweka benchi Mudrky pale Arsenal


A new neymar

[emoji2788]| Ukrainian football coach Vyacheslav Hroznyi on Mudryk:

“He will play right away [in the starting XI at Arsenal].

“Now there is no one stronger than Mudryk in this position at Arsenal.” [UA-Football] [emoji1255][emoji837][emoji836]️ #afc
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…