Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sema timu zenye hazina uefa hata moja hizi akili zinakuwa hazipo.
 
Shida arsenal iyo Jumamosi kimoyo moyo mnataman man utd ashinde,maake Pep akipunguza tu gap ya point mbili mmekwisha..

So hata msijitese jitokezeni mseme TUNAOMBA MAN UTD ASHINDE JUMAMOSI
Mzee kwa sasa tumeamua kila mtu ashinde match zake, haya mambo ya dua mbaya kwa mtu tumezifanya kwa zaidi ya miaka 14 na bado hazikuweza kusaidia tupate UBINGWA. CITY Ashinde zake na sisi tushinde zetu, tutaewana mwisho wa Msimu May Huko...
 
Shida arsenal iyo Jumamosi kimoyo moyo mnataman man utd ashinde,maake Pep akipunguza tu gap ya point mbili mmekwisha..

So hata msijitese jitokezeni mseme TUNAOMBA MAN UTD ASHINDE JUMAMOSI
Arsenal kwa sasa anaiogopa Man Utd zaidi kuliko anavyoiogopa City.
Hii kasi tunayokuja nayo imeshaanza kumtia kiwewe, hapo kileleni hana amani kabisa, muda wote anaweweseka akiogopa Utd kuja kumyang'anya tonge mdomoni.
 
Arsenal kwa sasa anaiogopa Man Utd zaodi kuliko anavyoiogopa City.
Hii kasi tunayokuja nayo imeshaanza kumtia kiwewe, hapo kileleni hana amani kabisa, muda wote anaweweseka akiogopa Utd kuja kumyang'anya tonge mdomoni.
Fanyeni homework zenu. Kila mtu ashinde match zake, hamna kasi yeyote zaidi ya fixture ilikuwa imekaa vyema kwe u. Sasa mnarudi mlikotoka, mkabanane na Chelsea kule chini
 
Shida arsenal iyo Jumamosi kimoyo moyo mnataman man utd ashinde,maake Pep akipunguza tu gap ya point mbili mmekwisha..

So hata msijitese jitokezeni mseme TUNAOMBA MAN UTD ASHINDE JUMAMOSI
Hakuna kitu kama hicho.

Hakuna timu ambayo hatuipendi kama Man Utd thus tutakua upande wa City na sababu kubwa ni kwamba mnajiona kama mshakaa vizuri kumbe mna safari ndefu, yani ushindi dhidi ya bottom teams ndo umewapa jeuri.
Tena kwa kuwasifia wachezaji wenu ndo mnaongoza. Leo hii mnakufuru kwa kusema Casemiro ndo best holding midfielder EPL kweli? Eti Rashford ndio top scorer wa mashindano.. dah!

Hii ni kufuru hii.

Na mnaenda mbali zaidi kwa kusema mnataka ubingwa!!

Timu ile ndo ya kugombania ubingwa kweli!
 
Arsenal kwa sasa anaiogopa Man Utd zaodi kuliko anavyoiogopa City.
Hii kasi tunayokuja nayo imeshaanza kumtia kiwewe, hapo kileleni hana amani kabisa, muda wote anaweweseka akiogopa Utd kuja kumyang'anya tonge mdomoni.
Arsenal hii iiogope Man Utd???.. labda kama hujui mpira.

Leo hii muulize Guardiola, achague kucheza na Arsenal au Man City, halafu jibu baki nalo.

Kuhusu ubingwa kama mnavyoojinadi sasa, naomba tukutane baada ya mechi 3 ukiwa na msimamo wa ligi, uutupie hapa kisha ndo tuanze kudiscuss ishu ya ubingwa.
 
Best CDM epl Ni lokonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…