Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yaani nyie ni Kima kwelikweli, Mnajizungusha weeeee halafu mwisho wa siku mnarudi palepale kwenye €100 million.
Bahati yenu huyo mchezaji ana mapenzi na Arsenyani, la sivyo mpaka muda huu angekua tayari ameshavaa jezi ya timu nyingine.

Usajili ni kama kamari, kilichotukuta kwa Pepe
 
Usajili ni kama kamari, kilichotukuta kwa Pepe
Jk alishawaambia ukitaka kula na wewe ukubali kuliwa.
Shida wala sio Pepekale wenu, shida ni huyo tajiri wenu Kroenke ana mkono wa birika.
Kwa hapo mlipofikia ili kupata muendelezo wa mafanikio huyo bosi wenu anatakiwa afungue pochi, akitegemea ile sera ya mzee Wenger £20m asajili wachezaji 6 mtarudi kulekule mlipotoka.
 
Flano 😃😃😃 tupo mbele ya project mkuu. Imetumika akili kubwa kumpeleka chaka Chelsea kwa Joao Felix alafu sisi tukabaki na mpango wetu.
 
Nyinyi misukule ya Arteta mnakaribishwa Old Trafford saa 11:00pm mje mjionee timu kubwa zaidi duniani jinsi inavyotandaza soka la kuvutia na kukongo nyoyo za mashibiki wa soka duniani kote, huenda kuna mambo mkajifunza yakawasaidia kuendelea kusalia kwenye top4 na kufanikisha ile ndoto yenu ya kucheza Uefa kabla ya 2030.

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha
 
Enzi imewaisha, nyie na Chelsea tofauti ni rangi ya Jezi tu
 
Ni kichaa tu ataangalia mechi za Man u, wenye akili tunaangalia mpira mzuri kutoka kwa pep & Mikel, hawa wote walikuwa regista, wote wamepita La masia Barcelona, we kocha wako alicheza timu gani? Pep wannabe who's older than pep himself
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…