Unatafuta bwana sasa eh!Mchezaji kavutiwa na project ya Chelsea kawakataa yani
Hawa Chelsea na bosi wao wote hawana akili.
Yani wanakubali kulipa €10 mil+Full salary coverage+Taxes kwa mchezaji ambae atakaa kwa mkopo tena kwa miezi 6 tu!
Huu ni uchizi sijawahi ona..
Na hapo hawana uhakika kama mchezaji ata fit kwenye EPL au la.
We pimbi kukataliwa si kawaida nyinyi nani kwaniUnatafuta bwana sasa eh!
Usajili kamari.. Joao ni mchezaji mzuriHawa Chelsea na bosi wao wote hawana akili.
Yani wanakubali kulipa €10 mil+Full salary coverage+Taxes kwa mchezaji ambae atakaa kwa mkopo tena kwa miezi 6 tu!
Huu ni uchizi sijawahi ona..
Na hapo hawana uhakika kama mchezaji ata fit kwenye EPL au la.
😂😂
Sema jengineWe pimbi kukataliwa si kawaida nyinyi nani kwani
Kwa hiyo Arse88 mlivyokua mnamtaka na nyie mlikua machizi?Hawa Chelsea na bosi wao wote hawana akili.
Yani wanakubali kulipa €10 mil+Full salary coverage+Taxes kwa mchezaji ambae atakaa kwa mkopo tena kwa miezi 6 tu!
Huu ni uchizi sijawahi ona..
Na hapo hawana uhakika kama mchezaji ata fit kwenye EPL au la.
😂😂
Strategically tukifungwa ukumbuke tunafungua milango ya haters kujenga confidence kuwa nyuma tuliwabahatisha. Hivyo Arteta anataka kuzidisha heshima muda wote, bira kujali tunacheza na nani. Anachozingatia ni wapi tulipo na majirani watuoneje?Sasa Arteta badala angepumzisha key players kama wakina Saka,Martinelli etc yeye anaendelea kuwachosha kwenye hili kombe la mbuzi
And let me tell you, ishu sio Arsenal kukataliwa.. ishu ni kwamba Arsenal hatukuwa convinced kutoa 10 mil kwa mkopo wa miezi 6.We pimbi kukataliwa si kawaida nyinyi nani kwani
Tulimtaka lakini sisi sio machizi kama nyie wa kutoa 10 mil kwa mkopo wa mchezaji, tena kwa miezi 6.Kwa hiyo Arse88 mlivyokua mnamtaka na nyie mlikua machizi?
Kwa vile kawakataa, sahz ndio manasema kuwa ni uchiz, je angewakubali msingemchukua? kukataliwa ni sehemu y maisha bro,hakuna ambaye hakataliwi. ndio nyie mkikataliwa na demu mnaanza makashfa kibaaao na kutaka kuwapiga.Tulimtaka lakini sisi sio machizi kama nyie wa kutoa 10 mil kwa mkopo wa mchezaji, tena kwa miezi 6.
Nyie ndio wapumbavu pekee wa kutoa hiyo hela duniani kote!
Atawasaidia kwenda Conference league mwakaniHawa Chelsea na bosi wao wote hawana akili.
Yani wanakubali kulipa €10 mil+Full salary coverage+Taxes kwa mchezaji ambae atakaa kwa mkopo tena kwa miezi 6 tu!
Huu ni uchizi sijawahi ona..
Na hapo hawana uhakika kama mchezaji ata fit kwenye EPL au la.
Daaaah!!!!!!Hiii mashabiki wa Arsenal tunalia kindani ndani.Tulimtaka lakini sisi sio machizi kama nyie wa kutoa 10 mil kwa mkopo wa mchezaji, tena kwa miezi 6.
Nyie ndio wapumbavu pekee wa kutoa hiyo hela duniani kote!