Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi nipo tofauti kidogo
Leo Chelkenge afe tu, akifa za kutosha (mkono) itakua poa
Kelele za kenge zimekua too much ukiachana na hali ngumu aliyonayo

Ikitokea sare /draw itakua POA ZAIDI

Haiwezi kutokea Kengez akapata matokeo leo

Tunabeba Ndoo kwa mfumo huu huu kila mtu ashinde mechi zake
 
Hii ya Cesc kurudi Kama Kocha U18 Kule na kina jackwilshere

Mmeichukuliaje?
Project ya Arsenal inavutia Cesc kwona arudi nyumbani ni mtu ana njaa ya mafanikio. Ingawa maoni ya wengi wanamuona kama "snake". KSE pamoja na Edu wanahitaji watu wakujitoa na wenye njaa.

Binafsi safi sana mkuu Aaron Arsenal
 
Mkuu sijui utajiteteaje na kwenye mechi na man u maana umepiga domo kweli Newcastle ulisema utapiga goli nyingi sababu man u aliipelekea moto vipi sasa wewe umeshinda?
 
Project ya Arsenal inavutia Cesc kwona arudi nyumbani ni mtu ana njaa ya mafanikio. Ingawa maoni ya wengi wanamuona kama "snake". KSE pamoja na Edu wanahitaji watu wakujitoa na wenye njaa.

Binafsi safi sana mkuu Aaron Arsenal
Sawa sawa ,jamaa hajawahi kutoa shit Kama van persie

Naona karudi kiroho Safi, hata alivyotoka Barca aliomba kurudi ,Wenger akamgomea ndio akaenda Chelsea
 
Binafsi naomba Chelsea washinde ,hata kusogea juu wasogee ,sio Hawa manyua

Ona Sasa Hivi Baada ya papatu papatu wanakwambia wanataka ubingwa

Sasa kiuhalisia ,BINGWA kwa ule mpira kweli?tukiongewa wanasema tuna chuki

Mimi nijuacho soon wanarudi chini

Chelsea hawana madhara
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…