Newcastle undefeated in 13 consecutive matches since Liverpool defeat on 31 Aug 2022 at AnfieldAmbangile
Arsenal v Newcastle
.Hii imekutanisha timu mbili ambazo zipo imara haswa kiufundi, kimbinu , utimamu wa kimwili , matamanio ya kupambana uwanjani ... leo kasoro kitu kimoja tu , Arsenal walitaka kucheza boli , kuacha mpira utembee wakati Newcastle waliona njie nyingine ya kupata chochote ni kupoteza muda
.Vitu ambavyo nilivyoviona kwa mara kwa mara
1: Almiron & Joelinton umakini wa kurudi nyuma kusaidia ulinzi kutoruhusu mabeki wao wawili wa pembeni wawe 1 Vs 1 dhidi ya ( Saka na Martinelli )
2: Xhaka na Zinchenko wanavyobadilishana nafasi ya namba 8 wa kushoto mmoja akipanda mwingine anashuka waki offer vertical pass kutoka kwa Partey na beki Gabriel ( yani wanakuwa eneo ambalo inaruhusu ipigwe pasi ya mbele nyuma ya kiungo cha Newcastle )
3: Newcastle mstari wao wa ulinzi haupo chini sana wala haupo juu sana , kwanini ? kuepuka runs nyuma yao dhidi ya utatu wa Arsenal , na pia juu hawa press sana wanawaacha Saliba na Gabriel kuwa na mpira huku wakifunga kwenye midfield
4: Idadi ya wachezaji Arsenal wanaotumia kushambulia hasa kwenye line ya mwisho ya ulinzi ya Newcastle haipungui watu 6 ... ujasiri wa hali ya juu.!
.Eddie Howe alikuwa ameanza kupress kwa 4-3-3 lakini Arsenal kuna nyakati walikuwa wanaishinda hiyo press na ndio maana akaamua kubadilisha kukabia katikati sio juu sana wala chini kwa shape ya 4-5-1 na kumuacha Wilison pekee mbele, ilikuwa ngumu kwa Arsenal kuwafungua Newcastle walizuia vizuri sana
NOTE
1: Nyie hawa Arsenal wapo fit ukifanya masihara wanakutoa damu , muda wote wako busy tu uwanjani
2: Newcastle mechi ya 6 mfululizo hii bila kuruhusu wavu wao kuguswa ( clean sheets 6 mfululizo )
3: Namuelewa Arteta kuchukia dhidi ya mbinu ya Newcastle kupoteza muda hata mimi ningemaindi lakini pia ningekuwa Eddie Howe fresh tu kwasababu nataka kujitetea[emoji3]
4: ATAKAYEMALIZA JUU YA ARSENAL NI BINGWA
FT : Arsenal 0-0 Newcastle
Asante kwa hizi taarifa, maana kuna mashabiki humu wanavyochambua ile game na Newcastle utasema Arsenal haawakufanya kitu kabisa uwanjani, wanadai wachezaji walikua poor kabisa. Kuna mijitu bure kabisa, mpira wenyewe haijui, ooh martinel hakuwa na maamuzi! takataka kabisaKWAKWELI KWA ILE PERFORMANCE VS NEWCASTLE ,KUNA TIMU KIBAO HAZITACHOMOKA
Pep Guardiola:
"The advantage of Arsenal is he [Mikel Arteta] hasn't to win the #PL from 20 points in front in November. The way they played vs Newcastle impressed me a lot. They dropped two points but they didn’t drop quality [with which] they played. This is my feeling..."
Aliyoyaongea yote Pundit wetu Mzee Ambigile Mwasapile ni sahihi kabisa ila alichokosea ni hapa:Ambangile
Arsenal v Newcastle
.Hii imekutanisha timu mbili ambazo zipo imara haswa kiufundi, kimbinu , utimamu wa kimwili , matamanio ya kupambana uwanjani ... leo kasoro kitu kimoja tu , Arsenal walitaka kucheza boli , kuacha mpira utembee wakati Newcastle waliona njie nyingine ya kupata chochote ni kupoteza muda
.Vitu ambavyo nilivyoviona kwa mara kwa mara
1: Almiron & Joelinton umakini wa kurudi nyuma kusaidia ulinzi kutoruhusu mabeki wao wawili wa pembeni wawe 1 Vs 1 dhidi ya ( Saka na Martinelli )
2: Xhaka na Zinchenko wanavyobadilishana nafasi ya namba 8 wa kushoto mmoja akipanda mwingine anashuka waki offer vertical pass kutoka kwa Partey na beki Gabriel ( yani wanakuwa eneo ambalo inaruhusu ipigwe pasi ya mbele nyuma ya kiungo cha Newcastle )
3: Newcastle mstari wao wa ulinzi haupo chini sana wala haupo juu sana , kwanini ? kuepuka runs nyuma yao dhidi ya utatu wa Arsenal , na pia juu hawa press sana wanawaacha Saliba na Gabriel kuwa na mpira huku wakifunga kwenye midfield
4: Idadi ya wachezaji Arsenal wanaotumia kushambulia hasa kwenye line ya mwisho ya ulinzi ya Newcastle haipungui watu 6 ... ujasiri wa hali ya juu.!
.Eddie Howe alikuwa ameanza kupress kwa 4-3-3 lakini Arsenal kuna nyakati walikuwa wanaishinda hiyo press na ndio maana akaamua kubadilisha kukabia katikati sio juu sana wala chini kwa shape ya 4-5-1 na kumuacha Wilison pekee mbele, ilikuwa ngumu kwa Arsenal kuwafungua Newcastle walizuia vizuri sana
NOTE
1: Nyie hawa Arsenal wapo fit ukifanya masihara wanakutoa damu , muda wote wako busy tu uwanjani
2: Newcastle mechi ya 6 mfululizo hii bila kuruhusu wavu wao kuguswa ( clean sheets 6 mfululizo )
3: Namuelewa Arteta kuchukia dhidi ya mbinu ya Newcastle kupoteza muda hata mimi ningemaindi lakini pia ningekuwa Eddie Howe fresh tu kwasababu nataka kujitetea[emoji3]
4: ATAKAYEMALIZA JUU YA ARSENAL NI BINGWA
FT : Arsenal 0-0 Newcastle
We jamaa bhana 😆😆😆Aliyoyaongea yote Pundit wetu Mzee Ambigile Mwasapile ni sahihi kabisa ila alichokosea ni hapa:
"ATAKAYEMALIZA JUU YA ARSENAL NI BINGWA "
Nina uhakika kuna timu zaidi ya 2 zitakazo maliza juu ya Arsenal, je Epl ya msimu huu kutakua na mabingwa zaidi ya wawili?
Oyaaahh muiteni basi Aaron ArsenalWe jamaa bhana [emoji38][emoji38][emoji38]
Lampard, Gerard, Arteta etc.Kwanini viungo wanapenda kuwa makocha wa mpira? Wilshere X FabregasView attachment 2469915
Xavi, Nuri sahin, Xabi Alonso & CarzolaLampard, Gerard, Arteta etc.
Dah ndio maana Mimi matokeo Kama haya nakaaga kimya kwanza watu waoongee kwanzaAsante kwa hizi taarifa, maana kuna mashabiki humu wanavyochambua ile game na Newcastle utasema Arsenal haawakufanya kitu kabisa uwanjani, wanadai wachezaji walikua poor kabisa. Kuna mijitu bure kabisa, mpira wenyewe haijui, ooh martinel hakuwa na maamuzi! takataka kabisa
Sio kusifia ,ule Ukweli halisi,Ugopa Sana mtu anayekusifia ,Tena mbele ya media ....[emoji1786][emoji1786][emoji1786]
Vieira,Ljungberg,zidane,Xavi, Nuri sahin, Xabi Alonso & Carzola
Huyo Ni Mali ya Arsenal[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hatimae hangover imeisha.
Jukwaa lilikua limepoa hili, habari za Mudryk tulikua hatuzipati tena.
Vipi Shakhtar wamefikia wapi juu ya chezaji letu la Ballon d'Or?