OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Mapema tu apo City 3-1 ChelseaMnampa City
Feb ikiisha Arsenal akiwa na moto huu huu sina la kuongezaLigi imeanza sasa
Hawa jamaa walivyo na maneno watasumbua mnoFeb ikiisha Arsenal akiwa na moto huu huu sina la kuongeza
Sisi Chelsea hatukondi bado tunajenga timu
Mpigeni Manchester City Thursday tupo upande wenu msituangusheIle spiriti ya jana ya Arsenal na Arteta sio ya kubaki top 4 tu. Ile ni ya ubingwa.
Hao wanaoibeza Arsenal totally hawajui football. Sasa hizi timu mbili tu ndizo zenye hiyo spirit ya kushinda kila mechi
1) Arsenal and
2) New Castle
Hata kwa city sioni hiyo spirit
Congratilations Arsenal fans
Msimu huu mtanenepa sana, yale magonjwa ya moyo mwaka huu yote yataponywa.
Natamani hiyo spirit irudi kwetu Chelsea
Mimi niko upande wenu angalau kwa mwaka huu ili kuwasuport muangushe utawala wa kipara.
Kazeni buti hadi ubingwa
Mkae pia kibingwa bingwa muache matusi kwenye majukwaa ya wengine
Feb ikiisha Arsenal akiwa na moto huu huu sina la kuongeza
Sisi Chelsea hatukondi bado tunajenga timu
Yaani unaongea kiurahisi rahisi kabisa, hizi Kenge zilizopoteana chini ya yule Mhollywood wao Harry Potter ndio zimfunge Mwasiti?Mpigeni Manchester City Thursday tupo upande wenu msituangushe
Mapema tu apo City 3-1 Chelsea
Xhaka alikuwa mzito leo, Odegaard hakuwa na mechi nzuri. Tumeshindwa kutumia nafasi nyingi sana.
Anyway, we take one game at a time. Chelsea ajitahidi kumfunga city ili gap liwe point nane.
Ubingwa wa epl kwa arsenal upo palepale.
Flano
Newcastle nimekubali wako well organized. Hatujashinda ila hatujapoteza mkuu. Mpira umepigwa, bahati yao
We kima acha kuifananisha Man U na vitu vya kijingakijingaArsenal ikiwa ya kawaida man u iweje
Tukiweka ushabiki pembeni game ya jana ilikua moto sana.
Unatazama mbugi huku unaenjoy, mchakamchaka mwanzo mwisho.
Mechi za kibabe namna hii tumezoea kuziona wakikutana Chelsea Vs Liverpool.
Mkuu Aaron Arsenal a.k.a chambuzi lenye linatokea arsenal ikishinda tu.
Manchester tulivyotoka draw na Newcastle ulidhania sisi wabovu sana na kunukuu.
Kama Newcastle imepelekewa moto na manyumbu hivi sisi arsenal kwa ball letu lile tutapiga goli nyingi sana.
Hivi mkuu ujui Newcastle kapoteza game moja tu dhidi ya Liverpool arsenal ni timu ya kawaida sana.
Shida ya xhaka kiila siku naimba hanyumbuliki, kuna mipira aliipata, angekuwa mnyumbulifu huenda tungeongea mengine.. Midfielder ngumu kama inakula mawe.. π πXhaka alikuwa mzito leo, Odegaard hakuwa na mechi nzuri. Tumeshindwa kutumia nafasi nyingi sana.
Anyway, we take one game at a time. Chelsea ajitahidi kumfunga city ili gap liwe point nane.
Ubingwa wa epl kwa arsenal upo palepale.
Shida ya xhaka kiila siku naimba hanyumbuliki, kuna mipira aliipata, angekuwa mnyumbulifu huenda tungeongea mengine.. Midfielder ngumu kama inakula mawe.. π πXhaka alikuwa mzito leo, Odegaard hakuwa na mechi nzuri. Tumeshindwa kutumia nafasi nyingi sana.
Anyway, we take one game at a time. Chelsea ajitahidi kumfunga city ili gap liwe point nane.
Ubingwa wa epl kwa arsenal upo palepale.
Hatuna timu ya kumfunga cityMpigeni Manchester City Thursday tupo upande wenu msituangushe