isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,562
Sadly this season rule Premier League yellows cards doesn't work in other tournaments which are the Emirates FA Cup and Carabao Cup.Hata wakipata mechi inayofuata ni ya FA
Hili jukwaa linachangamsha sana.
Hapo kwenye Arsenal NDOO umesahau ilitakiwa uanze na KO ndio italeta uhalisia, yaani ilitakiwa isomeke:
Arsenal KONDOO
Haaland KIATU
# Hatucheki na Kima
Benchi World cup limemuharibia , nadhani atarudi sawa kuanzia Sasa,Another thing Saliba is not good on quick long balls from opponents! He couldn't make offside against Manchester United by staying in a highline, the same as a reckless tackle versus Westham United and the same long ball from Brighton!
I've watched the Magpies playing style they use long balls when pressed to the centre and they switch plays too often to the wings (Almiron and Saint-Maxim).
Saliba must concentrate more on playing balls that trap players into an offside position.
Kipindi hicho Nyukesto ilikua tiamaji tiamaji, sasa hivi Newcastle imekamilika kila idara wapo kikazi zaidi ndio maana watu wenye uono wa mbali kama mimi tulishawaweka kwenye Title Contender mapema kabisa tokea mechi yao ya 3 kwenye Epl.Eddie Howe doesn’t like facing Arsenal.View attachment 2468019
Saliba ana nafasi kubwa ya kupata YellowGabriel Jesus, Bukayo Saka na William Saliba each have 4 yellow cards. Today's game against Newcastle is the 19th fixture mark.
We have Tottenham Hotspurs, and Manchester United next — If Saka and Saliba get booked today they'll miss the Spurs game. if they'll make it card-free after 90 mins then they'll be hoarded and start over in the round 2 fixtures — the first against Tottenham.
Saliba and Saka should avoid cards today.
Kumbe ndio hivi mwaka huu!Sadly this season rule Premier League yellows cards doesn't work in other tournaments which are the Emirates FA Cup and Carabao Cup.
Who is suspended or close to a ban in Premier League and FPL?
The Scout highlights players who will miss or are close to missing matcheswww.premierleague.com
Endelea kupiga ramliKipindi hicho Nyukesto ilikua tiamaji tiamaji, sasa hivi Newcastle imekamilika kila idara wapo kikazi zaidi ndio maana watu wenye uono wa mbali kama mimi tulishawaweka kwenye Title Contender mapema kabisa tokea mechi yao ya 3 kwenye Epl.
Saa 10:45 sio mbali, tulieni msubiri kipigo kwa mbwa koko kutoka kwa another side of United.
Eddie Howe. (Newcastle Coach)Kipindi hicho Nyukesto ilikua tiamaji tiamaji, sasa hivi Newcastle imekamilika kila idara wapo kikazi zaidi ndio maana watu wenye uono wa mbali kama mimi tulishawaweka kwenye Title Contender mapema kabisa tokea mechi yao ya 3 kwenye Epl.
Saa 10:45 sio mbali, tulieni msubiri kipigo kwa mbwa koko kutoka kwa another side of United.
Flano endelea kutusumbua tuHili jukwaa linachangamsha sana.
Hapo kwenye Arsenal NDOO umesahau ilitakiwa uanze na KO ndio italeta uhalisia, yaani ilitakiwa isomeke:
Arsenal KONDOO
Haaland KIATU
# Hatucheki na Kima
Eddie Howe. (Newcastle Coach)
(Kila Kocha Hafurahii Akutane Na Arsenal Ya Sasa Hivi, Angetamani Akutane Na Arsenal Ya MiakaIliyopita, Kuna Timu Nyingi Bora Msimu Huu Ila Ikikutana Na Arsenal Wao Ndo Wanakutawala Kila Kitu Na Huwezi Kumlaumu Kocha Au Mchezaji Kisa Umepoteza Kwa Arsenal)
#Lipowazi
Newcastle ya zilipendwa hiyo, sio hii ya sasaArsenal have won their last 10 straight Premier League games at home to Newcastle United.
WWWWWWWWWW
#ARSNEW
Of course you're rightAnother thing Saliba is not good on quick long balls from opponents! He couldn't make offside against Manchester United by staying in a highline, the same as a reckless tackle versus Westham United and the same long ball from Brighton!
I've watched the Magpies playing style they use long balls when pressed to the centre and they switch plays too often to the wings (Almiron and Saint-Maxim).
Saliba must concentrate more on playing balls that trap players into an offside position.
Yaan Arse888 ina mashabiki wenye uelewa mduchu sana. Ukiwasikia wanavyojadili hapa ni kwamba hawatokaa wafungwe milele na timu yoyote ya dunia hii, Arteta ndio kocha dunia hii hakuna. Eti Pep alikua anamtegemea Arteta pale City hahaha.....
Hazijui hizi ng'ombe hata big 4 ni hati hati.