Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Yaani ile mechi ya OT imewapa kiburi Sana, japo ile mechi ilikuwa mwanzoni ,sikuondoa matarajio ya kugombea ubingwaMan city tukimnyuka game moja...na tukamuacha point 12 nyuma hatupati kamwe
Asepimbi unahangaika na Chelsea ambao wanatengeneza long term project winning team ya mafanikio baada ya miaka miwili au mitatu mbele ilihali wamechoka kubeba makombe ya EPL, FA, CARABAO, UEFA CHAMPIONS LEAGUE, UEFA SUPER CUP & WORLD CLUB CHAMPIONS LEAGUE kinyemela kwa staili ya timua timua Makocha hovyo kisha baada ya miaka miwili tu wanahaha tena kutafuta Kocha mzuri na wachezaji wazuri.ChelKenge mtoe kabisa hata kugombea top 6,
Amebaki manyumbu Yana mdomo Sana, wanasema wanapigania ubingwa Sasa [emoji1787][emoji1787]
Wewe timu inashinda ushindi ambao upo karibu na kufungwa au sare
Man city amekuwa predictable ,Jana 2nd half wanapiga Kross tu KUMTAFUTA halland , pia Winga zao hasa Grealish amekuwa predictable kukabika ,Man city tukimnyuka game moja...na tukamuacha point 12 nyuma hatupati kamwe
Chelsea ameingia kwenye msitu wa Igita amekutana na wakina Mzee Msisi wa Msisiri na Adumba Garagarauka.Chelsea droo
Aliletaga maneno ,wakahitaji sare wasishuke daraja ,tukawalamba pale Emirates , wakaenda championshipAccording to Deeney duhView attachment 2466096
Why hadi leo anatuchukia?amejaa chuki sana sawa hata kama tukimaliza third tukaenda champions league ni achievement piaAliletaga maneno ,wakahitaji sare wasishuke daraja ,tukawalamba pale Emirates , wakaenda championship
Toka hapo jamaa ana chuki sana
Ila huyo waliyemtarget leicester ni fundi sana dogo,anajuaShakhtar Donetsk winger Mykhailo Mudryk, 21, has agreed personal terms on a five-year contract with Arsenal. (Sport Arena)
Arsenal may be able to sign Leicester City and Belgium midfielder Youri Tielemans, 25, with the Foxes making a £20m bid for a possible replacement in 22-year-old Azzedine Ounahi, who plays for Angers and Morocco. (Express)
Arsenal striker Folarin Balogun may leave the club, with AC Milan interested in signing the 21-year-old, who is on loan at Reims. (Calcio Mercato - in Italian)
Yule MoroccoIla huyo waliyemtarget leicester ni fundi sana dogo,anajua
Hii timu nimeanza kuishabikia kitambo kabla ya Timu zenu za Man city na Chelsea hazijapata hata kikombe kimoja Cha EPL 🤪Ww mzee unashabikia hii timu ugonjwa wa moyo arsenyani
Mzee unapotea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NdioYule Morocco
Anajua balaa,anavaa no.8Ndio