Uzuri hii miaka miwili Arteta na Edu hawasikilizi Mashabiki kabisa
Oooh tuna Leno Ramsdale wa nini na bei kubwa
Tunazidiwa na hata na Aston villa wanamnunua Buendia ,mara maddison mzuri tunasubiria mchezaji ambaye madrid hawauzi(Odegaard)
Zinchenko wa nini hana namba city mara Jesus alikuwa haanzishwi
Tangu summer Tielemans jamaa wame mute hawasikilizi kabisa
Mimi Arteta hata akisema anamnunua sancho au Pullisic nitaheshimu naona wanaangalia wanaoendana na mifumo yao
Yaani mpaka Ramsdale akazima data na kufunga social media accounts zake zote kisa matusi ya washabiki
,
Mara ooh Ben white hana namba Brighton 50 ya nini si bora wanunue Dunk ukisiliza mashabiki unapotea kabisa