Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi kuna uhusiano wowote wa Simba ikishinda na Asernal anashinda? Asipoangali anakula wiki huyu dogo
 
Kwao huko Putin anawanyunyuzia tu mioto kutoka mawinguni, lazima awe chawa kwelikweli ili afanikiwe kuondoka kwenye uwanja wa vita, la sivyo yule comedian anaweza kuamrisha wachezaji wote waende frontline kwenye mapambano.
Kabisaaaa hiyo point asee,now naelewa why anafanya hvo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…