Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,385
I guess we're going for this dude next summer.View attachment 2461285
Asetako kama mpo seriously na kombe la epl hvi ngoja tuone msije piga nyeto mbeleni
Newcastle ni vile sheria tu za mapato na manunuzi ndio zinawabana, wakishakaa sawa hawa waarabu wa Saudia watafanya kufuru zaidi ya Man Utd na Man City.Mimi ndio maana nawakubali sana Newcastle
Basi kama ndio hvyo msimu ujao atachukua ubigwa kama sio ujoa ni wa 024/025Newcastle ni vile sheria tu za mapato na manunuzi ndio zinawabana, wakishakaa sawa hawa waarabu wa Saudia watafanya kufuru zaidi ya Man Utd na Man City.
#Kataa wahuni
Kwani msimu huu anachukua nani? Arse88 au?Basi kama ndio hvyo msimu ujao atachukua ubigwa kama sio ujoa ni wa 024/025
Picha kwa hisani ya watu wa Marekani.Nyie misukule, nawakumbusha tu. msimu huu nafasi yenu ni ya sita au ya saba. Hapo mlipo ni tembo juu ya mti.
Usipende kuwazoea Wanaume watakusikisha ukuta halafu urudi Nyumbani miguu upande...Asetako kama mpo seriously na kombe la epl hvi ngoja tuone msije piga nyeto mbeleni
Imagine Arsenal inakukondesha😂😂Nyie misukule, nawakumbusha tu. msimu huu nafasi yenu ni ya sita au ya saba. Hapo mlipo ni tembo juu ya mti.
Usipende kuwazoea Wanaume watakusikisha ukuta halafu urudi Nyumbani miguu upande...
Hata siwawazii kabisa, mana ubingwa hamuwez kubeba.Imagine Arsenal inakukondesha😂😂
Manyumbu na machelkenge mtaumia mwaka huu!
Haya utabeba wewe.Hata siwawazii kabisa, mana ubingwa hamuwez kubeba.
Sijui kwann Viungo type hii siwakubaliI guess we're going for this dude next summer.View attachment 2461285