Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Skieni nyie kunguni wa arse8. Sisi tuna build timu yetu yani tunasuka kikosi cha kuja kuinyanyasa epl na uefa pamoja na mbanga zingine kwa misimu isiyopungua kumi. Yani tutahakikisha epl tunaikamata kwa misimu kumi halafu ndio tuwaachie nyie matakataka kama tunavyowapa eyataimu nao munashaini tu kwa sababu wanaume tuko chimbo tunajenga na kusuka kosi la dunia.
 
Ulichovuta usitudie tena...
 
Bange nibangue
 
Hili huwa nawaambia jamaa zangu mtaani Nketia ni poacher anajua kukaa maeneo ya kufunga na ni Finisher mzuri pia kuliko Jesus.ila over all parfomance ndio inayomsumbua na consistency pia .
Wanaoangalia mpira Sana ndio watakuelewa hapa

Nketiah anamzidi Jesus kwenye Finishing, nilikuwa nakataa hiki kitu ,ila nimeangalia game zao nikakubaliana na hiki kitu

Uzuri wa Jesus Ni full package

Anazunguka uwanja mzima dakika zote 90

Ana Skills


Dribbling


Workrate


Leadership


Pressing


Positional play yake Ni ya Hali ya juu

Pep aliwahi sema Jesus Ndiye Defender/striker Bora kuwahi kumuona.

Mechi nyingi unamkuta anaanzisha move za magoli chini kabisa kwenye Dimba

Utamkuta pembeni ,ana act winger mwenye skills kabisa

Mwisho utamkuta Central ,hapo finishing yake ndio ipo chini

Nketiah ana vingi vinashabihiana na Jesus ,but kaachwa mbali Sana
 
Anakuaje na consistency without game time? He needs minutes, Doubt him at your own risk
Nimeangalia ile turning wakati anafunga lile goli nikahitimisha rasmi tunamhitaji either kama starter au squad player.
Zile turning zilinikumbusha RVP na TORRES,dogo anabalaaa lake sema ndo hivyo tu ila umri unamruhusu kujiboresha
 
Ila wakati dunia inamuimba partey dogo odegaard anakitu cha balaaa sana kwenye miguu na macho yake.
Ile pass ya goli la kwanza la saka mabeki walibaki wanashangaaa na wengine walishika vichwa kabisa.tactically na technically dogo ni gifted.
Kwa mbali captain ode ananikumbusha alexander hleb au nasri aliye form. Kitu pekee anatakiwa kuboresha ni physical game yake
 
Hizi ndoto nyevu bado mnazo kumbe
 
Physicality yake inaongezeka game after game
Kama umemcheki jana aliwin duels nyingi tu
 
Najiuliza alikua anapiga shuti ama daaah
 
It is between Arsenal,Chelsea and United for Joao Felix as PL is his most likely destination. Loan with purchase option is seen a solution

(@partidazocope tier 1
)
 
Vita imebaki Sasa Arsenal,man u na Chelsea kwa Felix ,

Mkopo wenye masharti ya kumnunua jumla

Unalipa £8-9m loan fee

Unamlipa full salary 250k per week

Wiki ijayo itajulikana anaenda wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…