Nalijua hilo vizuri mno, ndio maana hua nasema mara kwa mara contenders wa msimu huu ni Man City na Newcastle, nyiyi AsaniWali tunasubiri kuwaona kwenye mechi za mwisho mkipambania kuingia top4.
Nalijua hilo vizuri mno, ndio maana hua nasema mara kwa mara contenders wa msimu huu ni Man City na Newcastle, nyiyi AsaniWali tunasubiri kuwaona kwenye mechi za mwisho mkipambania kuingia top4.
Vita gani sasa hio unayoizungumzia hapa wakati wewe mwenyewe ulisema kwa kinywa chako kua wakala wa Felix, Jorge Mendez hawezi kukubali tena kufanya biashara na Man Utd baada ya ule mgogoro wa Ronaldo?Atletico wamekubali kumtoa Felix kwa Mkopo Hadi mwisho wa msimu
Vita inaenda Sasa Kati ya man u na Arsenal
Atletico now open to loaning Felix till the end of the season
(@partidazocopetier1)
Mimi ni Arsenal ila jamaa huwa unanifurahisha sana hahaha!Hizi kauli za kukata tamaa baada ya kuona uhalisia wa mambo ulivyo Arsenyani wenzako hawapendi kuzisikia, sasa hivi utaanza kuporomoshewa matusi na kuitwa mamluki.
Jukwaa hili kila kitu kinachoongelewa humu hata kama ni cha kufikirika unatakiwa ukisupport kwa nguvu zote, ndio maana mashabiki wa Arsenyani hua tunawaita misukule.
Hata ukiambiwa Arsenal 5 - 0 Newcastle unatakiwa useme Tawireeeee.
Hizo Ni few factors zinazoweza kuzuia Dili, Lakini sio Sababu zenye nguvu Kama mchezaji akitaka kwenda sehemu anayotakaVita gani sasa hio unayoizungumzia hapa wakati wewe mwenyewe ulisema kwa kinywa chako kua wakala wa Felix, Jorge Mendez hawezi kukubali tena kufanya biashara na Man Utd baada ya ule mgogoro wa Ronaldo?
@Flano Ni Arsenal mwenzetu ,Kule unyumbuni alidanganywa tu akiwa mdogo , soon ataungana na sisi humu kusheherekea UbingwaMimi ni Arsenal ila jamaa huwa unanifurahisha sana hahaha!
Upo sahihi ndio maana mshikaji anashinda humu, kuliko hata kule kwa manyumbu.@Flano Ni Arsenal mwenzetu ,Kule unyumbuni alidanganywa tu akiwa mdogo , soon ataungana na sisi humu kusheherekea Ubingwa
Ile summer tuhesab ile hela imepotea. Sahiv tunahakikisha deal zote tunakamilisha mapema + Uwepo wa new recruitment team sidhan kama tunasajil tena kwa mihemko. Ndio maanaHizo Ni few factors zinazoweza kuzuia Dili, Lakini sio Sababu zenye nguvu Kama mchezaji akitaka kwenda sehemu anayotaka
Kuna Article nilisoma hiyo Ni moja ya Sababu ,nyingine Ni Felix kutaka kucheza mpira mzuri
Ila tayari Kuna habari kutoka Telegraph inasema Baada ya ATM kulegeza masharti tajiri wa Chelsea kavamia Dili
Tajiri muhaho kavamia dili la Felix
Todd Boehly is believed to be willing to move fast for a deal, with Spanish sources expecting a loan offer plus option or obligation. (@mcgrathmike)
Huyu jamaa Tajiri wa Chelsea Ni mwehu. ..,yaan kesho anaweza akamaliza biashara ,labda Felix akatae
Hii January kashatumia nadhan €130m inafika , kachukua nkuku 60 , Datro fofana 10 , Santos 20 , anamlizia Beki wa Monaco 40
Hapo summer katoka kutumia €300m
Maamuzi yanabaki kwa mchezaji sasa
Labda kwenye psNewcastle anakufa mapema Sana ,utanikumbusha
Tajiri wenu yule kwake hasara rohoIle summer tuhesab ile hela imepotea. Sahiv tunahakikisha deal zote tunakamilisha mapema + Uwepo wa new recruitment team sidhan kama tunasajil tena kwa mihemko. Ndio maana
Badiashile usajil wake probably utakuwa umependekezwa na Lawrance Stewart ambae anajiunga kama Technical director mwez feb akiungana na Christopher Vivel ambae amejiunga recently
Nkunku ni kwa ajili ya summer,
Daaaahhhh bwana mdogo hebu nitake radhi kwanza.@Flano Ni Arsenal mwenzetu ,Kule unyumbuni alidanganywa tu akiwa mdogo , soon ataungana na sisi humu kusheherekea Ubingwa
Mkuu unaiwazaga sana Manchester united sana mkuu naona toka enzi za kichapo cha goal 8 zile zilienda na akili zako zote mkuu.
Kwani uongo nimeongea hapo?Mkuu unaiwazaga sana Manchester united sana mkuu naona toka enzi za kichapo cha goal 8 zile zilienda na akili zako zote mkuu.
Mkuu ichi kipigo kilishaenda na akili zako kabisa hivi mkuu Aaron Arsenal hii siku ulijisikia vipi maana naona imekuachia jeraha kubwa sana moyoni mkuu!View attachment 2459163
Tajiri wenu yule kwake hasara rohosio pesa
Yaani hii January hamna hamna kashamwaga Kama €100m+