computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Newcastle huyu huyu?last season akatuvua nguo?inawezekana may be sababu Arsenal pia ipo juu kwa kiwango but Newcastle hii ambayo imepoteza one game na tena dk ya 98 vs Liverpool sio ya kuipuuzia hata kidogoNewcastle anakufa mapema Sana ,utanikumbusha
Hizi kauli za kukata tamaa baada ya kuona uhalisia wa mambo ulivyo Arsenyani wenzako hawapendi kuzisikia, sasa hivi utaanza kuporomoshewa matusi na kuitwa mamluki.Newcastle huyu huyu?last season akatuvua nguo?inawezekana may be sababu Arsenal pia ipo juu kwa kiwango but Newcastle hii ambayo imepoteza one game na tena dk ya 98 vs Liverpool sio ya kuipuuzia hata kidogo
Sijaipuuzia ,ila game zao naangalia , Arsenal unayoisema ilikuwa na Nuno tavares, Cedric ,beki holding mbele nketiahNewcastle huyu huyu?last season akatuvua nguo?inawezekana may be sababu Arsenal pia ipo juu kwa kiwango but Newcastle hii ambayo imepoteza one game na tena dk ya 98 vs Liverpool sio ya kuipuuzia hata kidogo
Kihalisia Newcastle huwa Ni mteja wa Arsenal miaka nenda RudiHizi kauli za kukata tamaa baada ya kuona uhalisia wa mambo ulivyo Arsenyani wenzako hawapendi kuzisikia, sasa hivi utaanza kuporomoshewa matusi na kuitwa mamluki.
Jukwaa hili kila kitu kinachoongelewa humu hata kama ni cha kufikirika unatakiwa ukisupport kwa nguvu zote, ndio maana mashabiki wa Arsenyani hua tunawaita misukule.
Hata ukiambiwa Arsenal 5 - 0 Newcastle unatakiwa useme Tawireeeee.
Dah MkuuHizi kauli za kukata tamaa baada ya kuona uhalisia wa mambo ulivyo Arsenyani wenzako hawapendi kuzisikia, sasa hivi utaanza kuporomoshewa matusi na kuitwa mamluki.
Jukwaa hili kila kitu kinachoongelewa humu hata kama ni cha kufikirika unatakiwa ukisupport kwa nguvu zote, ndio maana mashabiki wa Arsenyani hua tunawaita misukule.
Hata ukiambiwa Arsenal 5 - 0 Newcastle unatakiwa useme Tawireeeee.
Let's wait and see bro but narudia kusema Newcastle ya sasa sio ya kubahatisha hata kidogo tena katika 3 games to come hyo ndio tough game kwetuSijaipuuzia ,ila game zao naangalia , Arsenal unayoisema ilikuwa na Nuno tavares, Cedric ,beki holding mbele nketiah
Huyu huyu Newcastle pamoja anavyoshinda ,jitahid kufatilia na wanavyocheza angalia na Arsenal tunachezaje
Hawa hawa Newcastle walipelekewa moto na man u ,why sisi tushindwe na tutakuwa Emirates
Naipa Arsenal 70% za kushinda
Dah unatakiwa umuwazie Man City tunamuachaje point za kutoshaDah Mkuu
Sijakataa kuwa Ni tough game ,kwani Kuna mechi gani epl Ni nyepesiLet's wait and see bro but narudia kusema Newcastle ya sasa sio ya kubahatisha hata kidogo tena katika 3 games to come hyo ndio tough game kwetu
Sawa Mkuu tusubiri tuone game itakuwaje hyo sikuDah unatakiwa umuwazie Man City tunamuachaje point za kutosha
Tuliambiwa Spurs Ni title contender ,yupo wapi Sasa hivi?
Leo clear points 13 tunamuacha
Sasa Newcastle huyu anakuja Emirates ,sio Arsenal ile aliikuta ya Cedric ,Tavares ,holding, nketiah CF , Partey injury
Najua atajifanya abishane kutaka kucheza mpira ,ndipo ataelewa vzr
Hivi Kuna timu iliyobeba points kwa hao big 6 Kama Brentford?
Arsenal tulimfanya Nini ?
Oya Tuangalie mancity tunatanua vipi gepu la points
Kwa hiyo Arsenal imeimarika msimu huu, na Newcastle ipo kama msimu ulopita???Dah unatakiwa umuwazie Man City tunamuachaje point za kutosha
Tuliambiwa Spurs Ni title contender ,yupo wapi Sasa hivi?
Leo clear points 13 tunamuacha
Sasa Newcastle huyu anakuja Emirates ,sio Arsenal ile aliikuta ya Cedric ,Tavares ,holding, nketiah CF , Partey injury
Najua atajifanya abishane kutaka kucheza mpira ,ndipo ataelewa vzr
Hivi Kuna timu iliyobeba points kwa hao big 6 Kama Brentford?
Arsenal tulimfanya Nini ?
Oya Tuangalie mancity tunatanua vipi gepu la points
Una umia ukiwa wapi?Kwa hiyo Arsenal imeimarika msimu huu, na Newcastle ipo kama msimu ulopita???
Arsenyege bhana!!!!!
Una uhakika mtatoboa mbele ya sisi watu wa unyumbuni kwa kumwaga mkwanjwa.Atletico wamekubali kumtoa Felix kwa Mkopo Hadi mwisho wa msimu
Vita inaenda Sasa Kati ya man u na Arsenal
Atletico now open to loaning Felix till the end of the season
(@partidazocopetier1)
Kwa hiyo Arsenal imeimarika msimu huu, na Newcastle ipo kama msimu ulopita???
Arsenyege bhana!!!!!
Kwangu hao bado hawakupi anachotoa parteyYupo Elneny, lokonga chaguo la 3
Hapo ni loan tuUna uhakika mtatoboa mbele ya sisi watu wa unyumbuni kwa kumwaga mkwanjwa.
Na hata sokon huwez kupata kwasasa Kama Partey ,ila Elneny anaweza kutimiza majukumu vzrKw
Kwangu hao bado hawakupi anachotoa partey