Bwege[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huko mnakoelekea sasa mashabiki wa Arsenyani muda sio mrefu itabidi tuanze kuwafunga kamba mikononi na miguuni.
Mwenzako Aaron Arsenal alituambia Kocha wa morocco Walid Regragui ni mwanafunzi wa Arteta halafu na wewe leo unakuja na hii hekaya ya Pep.
Kesho atakuja mwingine atudanganye kua Carlo Ancelotti, Zinedine Zidane, Vicent Del Bosque, Manuel Pellegrini, Lionel Scaloni, Stefano Pioli, Ronald Coeman, Luis Enrique, Luis Van Gaal pamoja na Julian Nagelsmann wote hao ni wanafunzi wa Michael Arteta.
Huko mnakoelekea nyie Nyani tutawanyang'anya hizo smart phone halafu tuwarudishe kwenye ile Hotel yenu ya Dodoma. View attachment 2455519
Hili Linkingwa kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakuna cha data wala Wi-fi
Mnatuletea mapicha ya watu wako kwenye dialogue halafu mnatudanganya kua wapo darasani wanakula pindi la Teta boy.
Huyo Mateka ashawageuza kua misukule yake, sasa hivi nyie ni mwendo wa kusifu na kuabudu tu.
Yaan leo hii Pep asadiwe na huyo mbugila kushinda games! Mmerogwa nyie.Unauliza makofi polisi
Kasikilize interview ya Cara na Arteta Sky sport kwenye MONDAY NIGHT FOOTBALL
[emoji2788]| Mikel Arteta on Pep Guardiola: “We met when I was 15 years old. He was my idol.
“He was a Barcelona manager and Bayern Munich manager, he used to call me to ask me about English teams, and how would you play against that?” [@SkySportsPL] #afc
Wewe akili zako fupi, Kwanza niliacha kukujibu, sijui Nan kakwambia uni quoteYaan leo hii Pep asadiwe na huyo mbugila kushinda games! Mmerogwa nyie.
Ndio maana Kuna watu Wana chuki humu na Arteta kuirejesha Arsenal icheze Sex footballMykhailo Mudryk / Rafa Leao which is which? Wote moto mkali ila kuna watu wanaumia, alaumiwe Arteta kwa kuirudisha Arsenal
Rafa Leão:
“I watch many games. This year, I like Arsenal — they’re playing very well”. https://t.co/1a5Snatpnr
Arsenal and City have the furthest forward defensive lines in the PL. United have the deepestMykhailo Mudryk / Rafa Leao which is which? Wote moto mkali ila kuna watu wanaumia, alaumiwe Arteta kwa kuirudisha Arsenal
Rafa Leão:
“I watch many games. This year, I like Arsenal — they’re playing very well”. https://t.co/1a5Snatpnr
Ajabu ni pale mtu anacompare Varane+Martinez dhidi ya Saliba + Gabriel ikiwa stats zinaonesha timu linaongoza kwa kupaki bus kwenye ligi, timu linapaki bus kuzidi Everton & Wolverhampton, yaani Tanzania prisons la ulaya, wajelajela original.[emoji1787][emoji1787]Arsenal and City have the furthest forward defensive lines in the PL. United have the deepest
(via @markrstats ,View attachment 2457176
Haha 🤣😂 wajela jela gwaa...Ajabu ni pale mtu anacompare Varane+Martinez dhidi ya Saliba + Gabriel ikiwa stats zinaonesha timu linaongoza kwa kupaki bus kwenye ligi, timu linapaki bus kuzidi Everton & Wolverhampton, yaani Tanzania prisons la ulaya, wajelajela original.[emoji1787][emoji1787]
Our project now inajiuza yenyewe haihitaji kutumia nguvu kubwa kumshawishi mchezaji ajeMykhailo Mudryk / Rafa Leao which is which? Wote moto mkali ila kuna watu wanaumia, alaumiwe Arteta kwa kuirudisha Arsenal
Rafa Leão:
“I watch many games. This year, I like Arsenal — they’re playing very well”. https://t.co/1a5Snatpnr
Huyu Leao moto wake mkali weweeeeeeee.....dah hiii ni mashine ya kazi namchagua huyu mbele ya hao wengineMykhailo Mudryk / Rafa Leao which is which? Wote moto mkali ila kuna watu wanaumia, alaumiwe Arteta kwa kuirudisha Arsenal
Rafa Leão:
“I watch many games. This year, I like Arsenal — they’re playing very well”. https://t.co/1a5Snatpnr