Sawa sawa....usiogope sana.[emoji23][emoji23][emoji23] nizoee tu mkuu, mimi ndio nipo hivihivi tokea nipo ndani ya tumbo la bimkubwa.
Ukiona nakukera sana unani ignore tu kiroho safi.
Tokea kufutwa kwa jukwaa la Jokes nimeamua rasmi kutia kambi humu kama mbadala wa lile jukwaa la utani.
Takwimu za Eddie ni hatari sanaArsenal’s top scorers in all competitions under Mikel Arteta in the three years he’s been in charge…[emoji408][emoji1377]View attachment 2453361
Dah mwamba unakeraaaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ila ukikosekana tunakumiss[emoji23][emoji23][emoji23] nizoee tu mkuu, mimi ndio nipo hivihivi tokea nipo ndani ya tumbo la bimkubwa.
Ukiona nakukera sana unani ignore tu kiroho safi.
Tokea kufutwa kwa jukwaa la Jokes nimeamua rasmi kutia kambi humu kama mbadala wa lile jukwaa la utani.
[emoji23][emoji23][emoji23] Arteta anaziandaa mbuzi zake kisaikolojia mapema kabisaaaa.Kwa mujibu wa Edu alisema Arsenal kugombea ubingwa malengo yalikuwa yawe msimu ujao
Arteta Jana kasema Tupo mbele ya Project
Mikel [emoji860] "Nimeweka mpango wa awamu tano tofauti kwa klabu, ambapo tunalinganisha na timu zingine, ratiba ya matukio, na kila kitu tunachopaswa kufikia katika kila awamu."
Carra [emoji860]"Uko mbele au nyuma?" [emoji28]
Mikel [emoji860]"Tuko mbele."
[emoji1][emoji1][emoji1] Mkuu mpira ni burudani na raha yake ni zile tambo, kejeli na dhihaka baina ya mashabiki wa timu moja na timu nyingine.Dah mwamba unakeraaaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ila ukikosekana tunakumiss
Tunawa zoom tu[emoji23][emoji23][emoji23] Arteta anaziandaa mbuzi zake kisaikolojia mapema kabisaaaa.
Mateka anajua kabisa msimu huu hakuna kombe lolote Arsenyani wanapata, hivyo sitarajii kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati kusikia Nyani yoyote imejinyonga kisa Arsenyani imeshindwa kuingia kwenye top 4 mwishoni mwa msimu.
Kwa hiyo baadhi ya mechi Arteta alikua anamsaidia pep kushinda?Unaambiwa Mikel Arteta alikuwa anatafutwa na Pep Guardiola tangu kipindi Pep yupo Barca & Bayern kudiscuss tactics baadhi ya mechi. Arteta the master tactician.View attachment 2455093
Unauliza makofi polisiKwa hiyo baadhi ya mechi Arteta alikua anamsaidia pep kushinda?
Anakaanga samakiEdu Gasper getting ready for the January transfer window [emoji23][emoji23]View attachment 2455321
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huko mnakoelekea sasa mashabiki wa Arsenyani muda sio mrefu itabidi tuanze kuwafunga kamba mikononi na miguuni.Unaambiwa Mikel Arteta alikuwa anatafutwa na Pep Guardiola tangu kipindi Pep yupo Barca & Bayern kudiscuss tactics baadhi ya mechi. Arteta the master tactician.View attachment 2455093
Sasa Flano si uwe unabisha kwa data na sio porojo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huko mnakoelekea sasa mashabiki wa Arsenyani muda sio mrefu itabidi tuanze kuwafunga kamba mikononi na miguuni.
Mwenzako Aaron Arsenal alituambia Kocha wa morocco Walid Regragui ni mwanafunzi wa Arteta halafu na wewe leo unakuja na hii hekaya ya Pep.
Kesho atakuja mwingine atudanganye kua Carlo Ancelotti, Zinedine Zidane, Vicent Del Bosque, Manuel Pellegrini, Lionel Scaloni, Stefano Pioli, Ronald Coeman, Luis Enrique, Luis Van Gaal pamoja na Julian Nagelsmann wote hao ni wanafunzi wa Michael Arteta.
Huko mnakoelekea nyie Nyani tutawanyang'anya hizo smart phone halafu tuwarudishe kwenye ile Hotel yenu ya Dodoma. View attachment 2455519
Kuna mda unakurupuka braza flano[emoji16][emoji16] ila safi sisi mashabiki kindaki ndaki wa arsenal nikiwep mimi,, hatuna baya na wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huko mnakoelekea sasa mashabiki wa Arsenyani muda sio mrefu itabidi tuanze kuwafunga kamba mikononi na miguuni.
Mwenzako Aaron Arsenal alituambia Kocha wa morocco Walid Regragui ni mwanafunzi wa Arteta halafu na wewe leo unakuja na hii hekaya ya Pep.
Kesho atakuja mwingine atudanganye kua Carlo Ancelotti, Zinedine Zidane, Vicent Del Bosque, Manuel Pellegrini, Lionel Scaloni, Stefano Pioli, Ronald Coeman, Luis Enrique, Luis Van Gaal pamoja na Julian Nagelsmann wote hao ni wanafunzi wa Michael Arteta.
Huko mnakoelekea nyie Nyani tutawanyang'anya hizo smart phone halafu tuwarudishe kwenye ile Hotel yenu ya Dodoma. View attachment 2455519
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakuna cha data wala Wi-fiSasa Flano si uwe unabisha kwa data na sio porojo
Interview ya video ipo kabisa
Humu Jukwaa la Arsenal, mzee baba unategemea tumzungumzie Ten hag au Klopp ? Wanatuhusu humu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakuna cha data wala Wi-fi
Mnatuletea mapicha ya watu wako kwenye dialogue halafu mnatudanganya kua wapo darasani wanakula pindi la Teta boy.
Huyo Mateka ashawageuza kua misukule yake, sasa hivi nyie ni mwendo wa kusifu na kuabudu tu.