Arsenal (The Gunners) | Special Thread

RVP kascore mno kwa team yetu ya Arsenal but nahisi big problem ni jinsi alivyoondoka Arsenal na kushangilia kwa dharau alivyotutoboa hapo watu wakafunga vioo kwake
 
Mkuu unaota!!!!! Yaani McAllister aje Arsenane!!!!! Toka lini mkaweza kununua mchezaji aliyeshinda world cup!!! Nyie endeleeni kusajili vitoto vya form four B failure.
 
RVP kascore mno kwa team yetu ya Arsenal but nahisi big problem ni jinsi alivyoondoka Arsenal na kushangilia kwa dharau alivyotutoboa hapo watu wakafunga vioo kwake
Sio tu alivyowatoboa, na msimu wake wa kwanza united akabeba ndoo. Hata kama ni wewe lazima ungeona kule kwa wenger ulikuwa unapoteza muda.
 
RVP kascore mno kwa team yetu ya Arsenal but nahisi big problem ni jinsi alivyoondoka Arsenal na kushangilia kwa dharau alivyotutoboa hapo watu wakafunga vioo kwake
Jamaa aliwaheshimu sana,msimu wa kwanza aliwapiga nje ndani kama sikosei na wala hakushangilia hata kidogo.

Msimu uliofuata baada ya kubeba ndoo mkawa mnamshambulia mitandao hata tulipokutana mkawa mnamzomea kila akigusa mpira mpaka akatoka mchezoni mkasahau magoli yote aliyowafungia ,jamaa alivyopata chance Moja ya kuscore alishangilia kwa hisia sana mimi nilifurahi mno kibanda umiza jinsi alivyolipiza kisasi.

 
Nakumbuka siku hiyo alivyoshangilia baada kufunga, mashabiki ya Arsenyani yalivunja tv kwenye kibanda umiza tukashindwa kumalizia kuangalia mechi.
RVP alikua anawaheshimu sana Arsenyani, ila baada tu ya kujua mashabiki wake wengi wamekosa malezi ya pande mbili mpaka kufikia kumshambulia kwenye mitandao na kumzomea uwanjani, akaona hizi mbuzi za mzee Wenger hazina fadhila wala shukran, hamna umuhimu wa kuendelea kuwaheshimu watu wasio jiheshimu na kuamua kushangilia kwa nguvu zote kila anapowatia bao.
 
Pia tungepata mtu kama Kola Muani kama mbadala wa Jesus
 
Ornstein told HaytersTV:

“Mudryk is the player they want to sign. They followed him for a long time, he was on their list of potential candidates during the summer transfer window. They looked at Pedro Neto as the priority then, but now they’ve turned their focus to Mudryk.

“They are in talks with Shakhtar and the player’s representatives. Arsenal are trying to do the deal.

“There are some people you speak to in the industry who think they will get it done. The Kroenkes are backing Edu as technical director and Mikel Arteta as manager to make this big final push to try and win the title.”
 
Kiungo wa zamani wa England na kocha wa vijana Arsenal Jack Wilshere ameeleza kuwa alishikwa na hisia kubwa wakati akiangalia mechi ya fainali za kombe la dunia .

”Nilitaka sana Messi ashinde, nilikuwa nikipiga kelele kwa furaha kila wakati Argentina wakipata goli, na nilikuwa napayuka kwa hasira wapinzani wao wakipata magoli. Filimbi ya mwisho ilipopigwa, nililia”

”Nimeshasema, Messi ni mchezaji bora kuwahi kutokea, na kwa yoyote aliyekuwa anabisha kwenye hili naamini sasa mjadala umekwisha”

”Ndio, Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji bora sana, lakini ninarudia Messi ametokea kwenye sayari nyingine”

”Ninawaambieni, huyu yupo juu ya wengine wote kwenye mchezo huu, hatutompata tena mchezaji wa aina hii- haitotokea”.
 
Mikel Arteta joined Arsenal as head coach #OnThisDay in 2019.

Since then, he has played
games and won
of them.

He also has two titles
to his name.

Genius

View attachment 2452622
Huyu Mateka alijiunga kuichezea Arsenyani mwaka 2011-2016.
Katika miaka yake yote 6 aliyoichezea Arsenyani kaambulia kushinda makombe mawili tu ya FA Cup mwaka 2014 na mwaka 2016


Mwaka 2019 akasajiliwa kama kocha wa Arsenyani, ndani ya miaka 3 ya kufundisha Nyani za Emirates ameishia kushinda kombe moja tu la FA Cup mwaka 2020



Nyinyi mashabiki wa Arsenyani wenye ndoto za kubeba Epl shtukeni mapema, huyo Mateka wenu ni mzee wa makombe ya FA tu, tena wastani wake ni kila baada ya miaka 3 anapata kombe moja, hivyo tegemeeni kupata kombe lingine la FA baada ya miaka miwili mbele.

Nyie Nyani nawakumbusha tu msijifanye mmesahau, ngao ya hisani sio kombe.

Povu ruksaaaaaa
 
Huyu anahesabika Kama nyoka ,hata yeye analijua Hilo , hawezi kujisogeza Arsenal ,
Hakuna cha nyoka wala nini, Arsenal wachezaji wengi wakitoka wanapachukia mana hapana mafanikio. Hata leo hii ukiwauliza akina Fabrigus, A.cole, Giroud,Nasri nyumbani ni wapi, hawatakutajia Arsenal.
 
Hakuna cha nyoka wala nini, Arsenal wachezaji wengi wakitoka wanapachukia mana hapana mafanikio. Hata leo hii ukiwauliza akina Fabrigus, A.cole, Giroud,Nasri nyumbani ni wapi, hawatakutajia Arsenal.
Dogo una chuki na Arsenal paka inakupa uchizi, so Edu Gaspar, Pires, Adams, Arteta, Henry, Viera wanaichukia Arsenal? au unadhani Arsenal ni Nasri, Adebayor na Van persie tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…