Kuwatangaza sana kumekuja kuback fire kwa akina Jeffers, Owen, Walcott, Wilshire etc and of the recently ni Sancho, atafuata huyu Bellingham na wenzie.Sikupingi kabisa, Kuna mtu nilimwambia alinipinga Sana, mechi na USA alinielewa , Ni Overrated , waingereza wanajua Sana kutumia media kutangaza wachezaji wao
Uitwe mara ngapi!!!!? Wivu wa kitoto huoArsenyeto arsenyonyo presha fc Muda wenu wa kurud nafasi ya uropa umekaribia ukimuona shabiki wa arsenyeto ana Kilo 60 mje mniite mbwa
Flano mwenzio huyo yuko huku anatusumbua njoo faster.....Arsenyeto arsenyonyo presha fc Muda wenu wa kurud nafasi ya uropa umekaribia ukimuona shabiki wa arsenyeto ana Kilo 60 mje mniite mbwa
Media za Uingereza zinampa promo sana kama bonge la player na katwaa mataji kibao ,eti sasa kapewa jukwaa kwenye uwanja wa timu yake ya Birmingham alipoenda kutembelea juzi.Na huyo Bellingham ni overated tu, makelele ya waingereza.
Sahv wanazuga na story za BellinghamWatu wa siri sana yani mpo kimya kama amna kilichotokea.View attachment 2450312
Tumepunguza point ngapi?Watu wa siri sana yani mpo kimya kama amna kilichotokea.View attachment 2450312
Wewe timu lako bovu, unapata wapi muda wakuja humu ?Sahv wanazuga na story za Bellingham
Swala n umefungwa hizo zingine mbwembwe TuWewe timu lako bovu, unapata wapi muda wakuja humu ?
Mechi za kujipima umeshinda mechi gani?
Ndio Jana tumefungwa Tena kwa kujifunga ,Lakini tulioangalia mpira Tunajua Ni kawaida maana muda wote tuliwaelemea , hakuwataka kutoka nyuma
Ndio maana hata magoli Yao Ni yakujifunga
Full-time: Arsenal 0-2 Juventus
Shots: 19-3
Shots on target: 2-1
Possession: 75% - 25%
Passes: 772 - 276
Unapoangalia mpira Angalia madhaifu,
Sidhani Kama kwasasa timu yako mbovu inaweza kumiliki mpira kiasi hiki ....
View attachment 2450483
Messi mbali chama tu angezaliwa uingereza aloooo!! Acha tu 😂 au mimi ningezaliwa Uingereza, kwenye wimbo wa taifa wangeweka jina langu 😂Media za Uingereza zinampa promo sana kama bonge la player na katwaa mataji kibao ,eti sasa kapewa jukwaa kwenye uwanja wa timu yake ya Birmingham alipoenda kutembelea juzi.
Apambane asijekuwa kama Sancho ,imagine waingereza wangekuwa na mchezaji kama Messi kelele zao sijui zingekuwaje..