Aisee.......leo umeamkia wapi?1. Sipindishi maneno Mudryk is not better than Felix na uzuri Arsenal imekubali Hilo ndio maana wameingia kwenye race ya Felix.
2. Danilo ni level ya Lokonga so msitegemee ana impact yoyote msimu huu hili nazidi kurudia rudia na nitarudi hapa kuquote post zenu baada ya reality kuwa wazi. Na NATABIRI hapa Aaron uta suggest apelekwe mkopo maana hayupo tayari!!!
3. Felix Mlimponda sana Hilo liko wazi mlidai hafiti mkasema mchezaji wa mfukoni na kejeli kama hizo. Kama ambavyo nilisema tuongeze beki mkanikejeli ila Leo hii mnashabikia ujio wa Ndicka!!
Ningeshauri mpunguze ujuaji maana ipo wazi Sasa nani hajui Mpira.
I dissaproved you kwa Felix
I dissaproved you kwa issue ya LCB
And still I'll dissaprove you kwa Danilo
Ndio nilikwambia hivo, maana unadai Mudrky hafai anafaa FelixHii hapa post ukimponda Felix kwamba mfumo wa Arsenal atafeli!! Ndio nakuuliza unajiskiaje baada ya experts wa recruitment hapo Arsenal kusema ana fit?
Wewe Ni mkurupukaji Sana ,habari za Ndicka zipo humu na nimekuwa nikizileta kitambo ,Ndicka hajaanza kufatiliwa juzi kwa taarifa yakoHii hapa post ukiniponda nilipo suggest kwamba we need to cover LCB ukadai sijui Mpira.
Cha kushangaza ukawa wa kwanza kusifia rumours za Ndicka kusajiliwa next summer!!
Ndio maana nilikwambia Muda ndio huwa mwalimu mzuri.
Sasa mbona unajizima data ,uli suggest Felix ,Lakini hapo hapo unamkandia Arteta na Edu kumtaka Mudrky na Danilo kuwa hawafaiI suggested Felix long way kabla rumours hazijaanza ukanishushua weeeee mara sijui mchezaji wa mfukoni.
Hili liwe fundisho, tupunguze ujuaji. Kucomment Kila dakika humu kusikufanye ujione unajua Kila kitu kuhusu Mpira kuzidi wengine.
Hakuna sehemu tulimponda Felix ,usitafute sympathy humu1. Sipindishi maneno Mudryk is not better than Felix na uzuri Arsenal imekubali Hilo ndio maana wameingia kwenye race ya Felix.
2. Danilo ni level ya Lokonga so msitegemee ana impact yoyote msimu huu hili nazidi kurudia rudia na nitarudi hapa kuquote post zenu baada ya reality kuwa wazi. Na NATABIRI hapa Aaron uta suggest apelekwe mkopo maana hayupo tayari!!!
3. Felix Mlimponda sana Hilo liko wazi mlidai hafiti mkasema mchezaji wa mfukoni na kejeli kama hizo. Kama ambavyo nilisema tuongeze beki mkanikejeli ila Leo hii mnashabikia ujio wa Ndicka!!
Ningeshauri mpunguze ujuaji maana ipo wazi Sasa nani hajui Mpira.
I dissaproved you kwa Felix
I dissaproved you kwa issue ya LCB
And still I'll dissaprove you kwa Danilo
Huyu Ni shabiki anayeibuka kipind Cha rahaAisee.......leo umeamkia wapi?
1. .
I dissaproved you kwa Felix
I dissaproved you kwa issue ya LCB
And still I'll dissaprove you kwa Danilo
Muache tukamkaange ,kusikia Arsenal imepewa ofa ya kumsajiri Felix anadai yeye yupo sahihi sawa na Arteta , ila Arteta Huyo Huyo kumtaka Mudrky na Danilo Ni mjinga [emoji1787][emoji1787]Aisee.......leo umeamkia wapi?
Felix Mlimponda sana Hilo liko wazi mlidai hafiti mkasema mchezaji wa mfukoni na kejeli kama hizo. Kama ambavyo nilisema tuongeze beki mkanikejeli ila Leo hii mnashabikia ujio wa Ndicka!!
Pre contract agreement ya Ndicka imejadiliwa na Sky Sports ambao ni Tier 2 at worse!! Na husajiliwa January ila mchezaji anakuja Summer.Hakuna narudia Tena hakuna shabiki wa Arsenal humu mwenye akili timamu atamkataa mchezaji ambaye kocha amemtaka kwa nguvu zote, Mashabiki walishamtaka Buendia over Øde, onana over Ramsdale, n.k mwisho walikubaliana na kocha na anaungwa mkono,
Na Ni Nani kakudanganya Arsenal inasajiri LCB hii January ? Tupe hizo habari
Ulisema Felix hafai why Tena ukawa wa kwanza kushabikia rumours zilipokuja?? Huo unafiki na ujuaji ndio naopinga humu.Acha ujuaji hujani prove chochote
Habari za Arteta kutaka LCB zipo toka summer ,habari za kutaka mbadala wa Partey zipo toka summer
Habar za Evan Ndicka nimezileta humu sio juzi ,
Unachodai Arsenal isajiri LCB dirisha hili nilikwambia hakuna Kitu Kama hicho sababu Kuna option nyingi
Kinachofanyika Ni mipango ya kusajiri LCB dirisha lijalo , Sasa hapo Nani muongo au mjuaji Kama sio wewe?
Kwa akili yako unadhan Arsenal hii iwekeze pesa kusajiri LCB dirisha hili ,wakati Ina upungufu maeneo ya ushambuliaji LW & CF?
Kuhusu Felix umeniprove kipi? Nilikwambia narudia Arteta akimtaka mchezaji heshimu, asipomtaka heshimu pia ,
1. Ndio hivo mkuu ulisema Felix mchezaji wa mfukoni na post zako nimekuweka hapo..... mara hafiti kwa mfumo... mara Hana namba.... ila umeumbuliwa na wenye timu.Hakuna sehemu tulimponda Felix ,usitafute sympathy humu
Hakuna asiyemkubali Felix , ila tunaheshimu Mahitaji ya mwalimu
Arsenal kuingia race ya Felix haithibitishi uhalali wako kuwa upo sahihi kuponda Sajiri za Arteta
Hakuna mwana Arsenal humu asiyemkubali Felix ,ila hatuwez kulazimisha aje wakati mwalimu hamuhitaji akimuhitaji sawa
Kama mchezaji unamkubali na mwalimu hamtaki tafuta Timu mmepeleke
Unakuja kutamba humu baada ya Arsenal kuhusishwa na Felix , hapo hapo unampinga Arteta na bench la ufundi kuwataka Danilo na Mudrky
Huo Ni ujuaji wakijinga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] humu shida yenu moja, shabiki wa Arsenyani haruhusiwi kutoa mawazo yake binafsi, yaani wafuasi wa AsaniWali wanatakiwa kuishi kama Marobot.Acha ujuaji Flano,huyu tulimkatalia na tutampinga kwa nguvu zote ,kutaka wachezaji wake ndio wasajiriwe huku wale anaowataka mwalimu kuwa Ni wabovu
Hakuna sehemu tulisema Felix mbovu,
Ila tulimwambia Felix anayemtaka kuja anaweza kumtaka na akaja akafeli vile vile
Muulize mbona aliongoza mashambulizi kumpinga Mudrky ambaye anaonekana ndio Top target na Dili lake linaweza kufanikiwa kuliko la Felix
Nimeweka hapo post Yako ukisema LCB hahitajiki maana tuna combinations za kutosha. Hadi ukasema sijui Mpira kisa tuna players wengi who can play multiple positions!!Wewe Ni mkurupukaji Sana ,habari za Ndicka zipo humu na nimekuwa nikizileta kitambo ,Ndicka hajaanza kufatiliwa juzi kwa taarifa yako
Nilikwambia kwasasa usitegemee Arsenal watamsajiri LCB sio target sawa na Mbadala wa muda mrefu wa Partey sio target kwasasa had summer
Shida wewe umeibuka humu juzi,
[emoji122][emoji122][emoji122] huo ndio ukomavu ambao shabiki anaejielewa anatakiwa kua nao.Mimi ngoja nikae kimya maana anataka kushindana aonekane Bora
Anarudia kile kile ambacho nimemueleza huko juu
Mtu Kama huyu nikukaa nae mbali ,Kuna Mambo mengi yakufanya
Wewe umetumwa kuja kuvuruga humuNimeweka hapo post Yako ukisema LCB hahitajiki maana tuna combinations za kutosha. Hadi ukasema sijui Mpira kisa tuna players wengi who can play multiple positions!!
Sasa Leo umesikia taarifa za usajili wa LCB ukaja spidi kufurahia humu ilihali ulipinga ukasema sio priority. Sasa Kama sio priority wangeanza mazungumzo Hadi kusainisha kabla hata ya kupata winger na DM??
Najua inaumiza kuumbuka ila it should be a lesson kuwa upunguze ujuaji. Na kwa taarifa tu Nimekuwepo jukwaa la arsenal la Reddit lenye members zaidi ya million 2 miaka na miaka so I guess Nina taarifa nyingi kuliko wewe. Maana kwa akili Yako unadhani jukwaa la arsenal JF ndio platform pekee ya habari za arsenal hapa Tz??
Sitokujibu Tena maana so far you've proved you know nothing about soccer zaidi ya kusubiri anachosema Arteta!! nitarudi hapa kucomment baada ya Danilo kuflop Ili iwe hat trick of shame!!
Unatafuta umaarufu humu, tulikwambia humu arsenal haina muda na haitasajiri LCB hii JanuaryPre contract agreement ya Ndicka imejadiliwa na Sky Sports ambao ni Tier 2 at worse!! Na husajiliwa January ila mchezaji anakuja Summer.
Nyie mlisema hakuna haja ya centre Back kuwa sub ya Gabriel maana Kuna "combinations" kadhaa ukasema mpaka Tomiyasu na Tierney wanacheza hapo.
Mie nikahoji depth in terms of numbers nyie mkanisema kuwa hakuna haja ya kujaza wachezaji mara sijui quality over quantity.
Sasa Leo unajiskiaje pale arsenal inafukuzia sub ya Gabriel?? Iweje mie niliona haja ya LCB wewe expert hukuona? Sasa Leo arsenal wamefanya Kile kile nilichoongelea humu?
Kibaya zaidi na bila aibu wewe ukawa wa kwanza kufurahia ujio wa Ndicka ilihali ulishasema hatuhitaji LCB maana tuna focus kwa DM na Wide player?? Sasa hapo nani hajui Mpira??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi kujichetua kwangu hua ni kwa ajili tu ya kuchangamsha jukwaa kwa utani wa hapa na pale, na sio kwenye hili jukwaa peke yake, ukitembelea jukwaa la Chelsea utanikuta nawachokoza kenge huko, ukienda kwenye jukwaa la Liverpool utanikuta pia huko nawatia moto, ila ikifikia hatua ya kutoleana lugha chafu na matusi huo napotea zangu tu kimya kimya.Umeongea hekima Sana Flano japo Kuna muda unajichetuaga ,
Huyo jamaa mijadala mingi kaiungia juu kwa juu
Sasa kwakuwa sisi wengine hatutaki mabishano tunakaa pembeni aendelee kubwabwaja