Sasa inaathiri nini kwenye mazoezi hapo?sasa kamtindio gani ndugu yangu, picha hio nimekuwekea hapo au basi ngoja niizoome uone vizuri picha ya jorginho jinsi ilivyopendeza ndani ya Gym ya Arsenyani. View attachment 2443745
Hazidi 50 huyo dogo.Arsenal priority for January window is Mykhaylo Mudryk. No agreements but conversations happening & 21yo Shakhtar Donetsk winger keen. Sources say deal can be done for lower than €100m public valuation
Latest of future of many others
@TheAthleticFC
Wewe jamaa bange Sana ,Arsenal makao makuu yao Ni Dubai?sasa kamtindio gani ndugu yangu, picha hio nimekuwekea hapo au basi ngoja niizoome uone vizuri picha ya jorginho jinsi ilivyopendeza ndani ya Gym ya Arsenyani. View attachment 2443745
Management ya Felix ndio hiyo hiyo ya cr7 ,kwa akili yako tu unaona Felix akienda man u?"Atleti watamruhusu aende kwa kile wanachohisi ni ofa nzuri"
mbele ya PSG na Man United je Arsenal mnaweza kutoa offer nzuri?
Hapo Atletico Madrid na wakala wa Joao Felix wanawatumia nyie Arsenyani kuongeza thamani ya mchezaji wao.
AsaniWali nyie wachezaji wenu ni wale wa mafungu, mnanunua fungu la wachezaji 5 halafu mnapewa Lukonga kama nyongeza.
Arsenal Ina mataji mengi kuliko Huyo ChelKengeOllaChuga Oc Cash Money Forever lembu kumbe Chelsea ndio role model wa Arsenyani.
Kwenye kuta zote ndani ya gym ya Arsenal zimebandikwa picha za wachezaji wa chelsea na maneno ya kuwahamasisha ili siku moja na wao wawe na timu bora kama chelsea.
"A WINNER NEVER STOP TRYING"View attachment 2443727
sasa kamtindio gani ndugu yangu, picha hio nimekuwekea hapo au basi ngoja niizoome uone vizuri picha ya jorginho jinsi ilivyopendeza ndani ya Gym ya Arsenyani. View attachment 2443745
hiyo siyo Gym ya Arsenal Mzee, hao wapo kambi Dubai na hiyo Gym wamekodi tu kutumia pamoja
Kwahiyo hawana Authority ya kuondoa picha yoyote ile hapo ata kama ingekuwa ya Totenham
Na humo Gym sio tu hiyo picha ya Chelsea naamini zitakuwepo na zenu Manure pia kwahiyo hakuna Mbayaaaa
hata kama hio Gym mmekodi ndio muwekewe picha za wachezaji wa timu pinzani makusudi?
Kwa taarifa yako Arteta ndio ameamrisha hizo picha za Chelkenge ziwepo ukutani, lengo ni kuhamasisha hao wa watoto wa Academy wajitume ili siku moja na wao kabati lao liwe na makombe mengi kama kabati la Chelsea ambalo kwa sasa limejaa mpaka milango inashindwa kufungika.
Hapo kina kitchen partey kila wakinyonga baiskeli akiangalia nyuma anamuona Jorginho huyu hapa inabidi aongeze speed.