Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Hii hapaQuarter-finalists. Haya na nyie wekeni wachezaji wenu...
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2440289
Definition halisi ya manyumbu ndio hii[emoji3][emoji3][emoji3]
Hizi ubwa zina wachezaji wawili wa benchi.Quarter-finalists. Haya na nyie wekeni wachezaji wenu...
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2440289
Arsenal walishawahi mtaka???????Arsenyeto mna nn View attachment 2440698
Ulitakiwa kuwa shabiki wa man city maana hizi ndio tabia zao.3. Arsenal ndio thread inayoongoza kwa Matusi na lugha chafu, mashabiki wao wengi ni wale watoto waliokosa malezi ya pande mbili, members wake wengi ni wale watoto waliolelewa na single mother bila kusahau pia wengi wao ni madereva wa bodaboda hali inayopelekea bomba la matusi muda wote kua wazi, tena zilivyo Nyani hua zinatukanana zenyewe kwa zenyewe.
Hamna kocha humo siku hizi.Arsenyeto mna nn View attachment 2440698
Daily Mail limeripoti hivyo.