verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,121
- 6,184
Kivipi Kuna siku ulisema hivoJackwillpower
Hamis77
Aaron
Multiple IDs
Jiheshimu ,Kuna siku ulisema hivo nikakupotezea sikutaka malumbanoJackwillpower
Hamis77
Aaron
Multiple IDs
Ana matatizoKivipi Kuna siku ulisema hivo
Wewe mbwa jiheshimuHizi ng'ombe zinabishana, huyo Martinell mbona bado ni Average player!! mana mnavyomsifia kama ameshaprove chochote wakati mimavi mitupu, nyie Arse88 nani kawaroga.
Kwa posts zao no way.Jackwillpower
Hamis77
Aaron
Multiple IDs
We jamaa ni bonge la genius ......Jackwillpower
Hamis77
Aaron
Multiple IDs
Kweli nyie mtakua mapacha, hiyo hivo badala ya hivyo mmeandika kama mapacha.Jiheshimu ,Kuna siku ulisema hivo nikakupotezea sikutaka malumbano
Kivipi Kuna siku ulisema hivo
Unaamini huo upuuzi?ili iwejeKwa posts zao no way.
Sio mara 1 anasema hivo tulimuuliza ,ndio maana Genta anawatukanaga nimeelewa SasaKweli nyie mtakua mapacha, hiyo hivo badala ya hivyo mmeandika kama mapacha.
Siamini hivyo.Unaamini huo upuuzi?ili iweje
Bas sawa muda wakulumbana sinaKwa posts zao no way.
Haina haja kumtukana ,acha aongee yupo huruSio mara 1 anasema hivo tulimuuliza ,ndio maana Genta anawatukanaga nimeelewa Sasa
Hongera sana Aaron Arsenal siku hizi tokea umeanza kushinda mda mrefu kwenye jukwaa la Manchester United umeanza kubadilika, umekua na hekima pamoja na busara nyingi katika majadiliano, yaani kwa kifupi umeanza kuonyesha ukomavu katika kukabiliana na watu wanaokupinga hata wakitumia lugha mbofu.Haina haja kumtukana ,acha aongee yupo huru
Hongera sana Aaron Arsenal siku hizi tokea umeanza kushinda mda mrefu kwenye jukwaa la Manchester United umeanza kubadilika, umekua na hekima pamoja na busara nyingi katika majadiliano, yaani kwa kifupi umeanza kuonyesha ukomavu katika kukabiliana na watu wanaokupinga hata wakitumia lugha mbofu.
Natamani mashabiki wote wa Arsenal wangeiga mfano wako hakika hili jukwaa lingeheshimika sana.