Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
HAKUNA ALIYEWAHI KUMJUA MARTINELL KASEMA LIJENDI WA BRAZILHakuna mahali nimesema alikua mchezaji Bora wa Serie D kwanini unanilisha maneno?
Jamani google basi walau upate taarifa, kwanini tubishane kitu ambacho kina facts? He was the best young players in Campeonato Paulista huko Brazil watu wanacheza ligi zaidi ya Moja msikariri EPL
Starts zilikua ngapi hapo?! Maana appearances sio starts mkuu.Ulidai Alikuwa hapati nafasi ,nimekuwekea alicheza mechi 35 laliga
Umebadili Tena Gia ,unadai aliondoka sababu ya Kukosa namba
Huu Uongo kadanganye wanasiasa ,Partey aondoke ATM kwakukosa namba ,
Partey anaondoka , Someone hafurahii .
Sasa tuzo ya mchezaji Bora wa vijana watu wasimjue? How do you justify this.HAKUNA ALIYEWAHI KUMJUA MARTINELL KASEMA LIJENDI WA BRAZIL
WEWE KUTOKA SUMBAWANGA ULIMJULIA WAPI?
Ulimjulia wapi ikiwa hata Ulaya alishafeli ,na Ni Arsenal tu walimfataSasa tuzo ya mchezaji Bora wa vijana watu wasimjue? How do you justify this.
Umejibiwa ila unakaza fuvuStarts zilikua ngapi hapo?! Maana appearances sio starts mkuu.
Then nilikua clear Toka mwanzo kuwa mjadala ulianzia hoja ya kuwa Felix hawezi kitu maana Atletico inapaki basi.
Ndio hoja ikawa mbona alibeba la Liga? Mkadai Suarez ndio alichukua sio Felix?
Nikaleta hoja kuwa Atleti haikua defensive ilikua Ina attack na formation ikabadilika from 442 to 3142 na nikasema walifunga magoli sawa na Madrid.
Cha kushangaza mkaleta stats za msimu huu, mara sijui wanapaki basi n.k ndani ya hoja ndio mkadai Atleti ilikua na Rodri/Partey ila wakapaki basi
Nikaeleza hata Partey mfumo ulipobadilika alikua sio STARTER maana hatukua defensive Tena so only Koke played as a DM
Kumbuka mzizi wote wa hoja ulikua kama Felix delivered the la Liga as a comparison to Murdyk's form.
Sasa mtu mnakuja na stats za 2018 mara 2022 mnakuja mnaenda nje ya mtiririko.
Let's argue kujifunza sio kutafuta shari

Sasa 2022 world cup selection ya Martinelli na usajili wake 3 years ago inahusiani Nini? Hvi kweli sasa hivi hakuna anayemjua??? Obviously its a dig.HUWEZI kudanganya ,humu sio Siasa za CHADEMA na ccm
Wabrazil wenyewe wanasema walikuwa hawamjui
Wewe upo Tandale kwa tumbo unasema ulikuwa unamjua View attachment 2436798
Sasa 2022 world cup selection ya Martinelli na usajili wake 3 years ago inahusiani Nini? Hvi kweli sasa hivi hakuna anayemjua??? Obviously its a dig.Ulimjulia wapi ikiwa hata Ulaya alishafeli ,na Ni Arsenal tu walimfata
Wewe uliopo Sumbawanga ulimjua kuliko wabrazil wenyewe ? Acha ujuaji , usichanganye Siasa na mpiraView attachment 2436853
Wewe muongo muongo , hukuwahi kumjua , ndio maana hata Baada ya kufeli ulaya alirudi kwao , hakukaa Sana ofa ya arsenal ikajaSasa 2022 world cup selection ya Martinelli na usajili wake 3 years ago inahusiani Nini? Hvi kweli sasa hivi hakuna anayemjua??? Obviously its a dig.
Mtu hawezi kushinda best player wa vijana asijulikane huku Rodrygo ajulikane?
Kejeli za Mzee mmoja haiwezi kugeuzwa ndio conclusion ya nchi nzima.
Acha mipasho Leta hoja wapi Arsenal walitamka malengo ilikuwa top 4
Mimi nitakuletea Ushahidi wa Edu ,malengo yalikuwa top 6
Yes, mfumo ulibadilika hata Saul, na Torreira wenu alikosa namba kabisa sielewi mnachoshtuka ni kipi? Hata arsenal White amekosa namba RCB sababu Saliba kasajiliwa mbona inaeleweka tu.Kwamba Partey alikuja sababu ya Kukosa namba ?
Sasa hiki ndio nilikua nasema, DEPTH kwenye Kila namba inahitajika sio eti combinations sijui priorities!!"Evan Ndicka used to share agents with Pepe and there are reliable reports linking him to Arsenal. He can play left back as well"
LCB sio January ,huo mpango Ni SummerSasa hiki ndio nilikua nasema, DEPTH kwenye Kila namba inahitajika sio eti combinations sijui priorities!!
Unatudanganya ,Toreira alienda mkopo Ni average player ,Partey kaja Arsenal kwa kukosa namba Ni UZUSHI ,msimu anaondoka alikuwa kacheza mechi 35 out of 38 , Partey anakuja Arsenal , Toreira anaenda LOAN , Hawakuwahi kucheza pamojaYes, mfumo ulibadilika hata Saul, na Torreira wenu alikosa namba kabisa sielewi mnachoshtuka ni kipi? Hata arsenal White amekosa namba RCB sababu Saliba kasajiliwa mbona inaeleweka tu.