zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 22,880
- 36,756
Duh we jamaa hivi kwanini ni mbish I hivi? Hiyo hapo official page ya Wikipedia inasema alipewa tuzo ya mchezaji Bora was vijana na akawa kwenya kikosi Bora Cha msimu Sasa mtu huyo utasemaje sio maarufu? Yaani best player kwenye top flight asijulikane mpaka asubiri scouts was Arsenal? Ukiwa mbishi jitahidi kuwa ma facts otherwise watu makini watakuona hujitambui.Martinell hakuwahi kujulikana zaidi, acha kutudanganya hapa kacheza Seria D
kafeli Majaribio Man u, Barcelona ,n.k karudi Brazil ,hajulikani
Ofa ikaja ya Arsenal pekee
Wewe leo unatudanganya alikuwa anajulikana
Yes ulete ushahidi msimu ukiwa unaanza kuwa target sio UCL ila top 6. Maana naona umekua board member!!Acha mipasho Leta hoja wapi Arsenal walitamka malengo ilikuwa top 4
Mimi nitakuletea Ushahidi wa Edu ,malengo yalikuwa top 6
Hakuna aliyejimirikisha ,unaambiwa Ukweli, unatuletea data za UZUSHI nyingiAfu hii tabia ya kujimilikisha ndio inatuua, kwanini ujione weee ni Arsenal kuliko Kila mtu? Yaani mie nimeanza shabikia Arsenal tokea 90s eti Sina details? Tuweni serious. Mimi ni subscriber wa r/gunners kule Reddit so hakuna taarifa ya arsenal siijui na ndio maana nakosoa hiyo strategy ya "we won't panic.... Sijui we'll buy when the right opportunity comes" ndio nachokosoa hiko maana kimetu-cost sana huko nyuma.
Jibu hoja sio unatuletea Ngonjera hapaYes ulete ushahidi msimu ukiwa unaanza kuwa target sio UCL ila top 6. Maana naona umekua board member!!
Hujaelewa hoja? Yaani kama hamtaki panic buys why mlitaka kumsajili Douglas Luiz deadline day?! Maana hapa nimesema Jesus, Partey, na Gabriel need cover watu mnadai hatuwezi panic buy kisa injury ya Jesus ndio nauliza Sasa Douglas Luiz ikawaje mkapanic buy sema tu bei ikawa kubwa!!!Wewe huna details zozote ,zaidi Ni muongo muongo tu
Arsenal walimfata Luiz Baada ya Elneny kuumia ,Hakuwa kwenye mipango Huyo Luiz
Martinell kafeli Majaribio Man u Barcelona,Duh we jamaa hivi kwanini ni mbish I hivi? Hiyo hapo official page ya Wikipedia inasema alipewa tuzo ya mchezaji Bora was vijana na akawa kwenya kikosi Bora Cha msimu Sasa mtu huyo utasemaje sio maarufu? Yaani best player kwenye top flight asijulikane mpaka asubiri scouts was Arsenal? Ukiwa mbishi jitahidi kuwa ma facts otherwise watu makini watakuona hujitambui. View attachment 2436786
Leta ushahidi unaodai Malengo ilikuwa ucl ,sio mipashoYes ulete ushahidi msimu ukiwa unaanza kuwa target sio UCL ila top 6. Maana naona umekua board member!!
HUWEZI kudanganya ,humu sio Siasa za CHADEMA na ccmDuh we jamaa hivi kwanini ni mbish I hivi? Hiyo hapo official page ya Wikipedia inasema alipewa tuzo ya mchezaji Bora was vijana na akawa kwenya kikosi Bora Cha msimu Sasa mtu huyo utasemaje sio maarufu? Yaani best player kwenye top flight asijulikane mpaka asubiri scouts was Arsenal? Ukiwa mbishi jitahidi kuwa ma facts otherwise watu makini watakuona hujitambui. View attachment 2436786
@zitto junior yeye alitoa tu maoni yake na matamanio yake kuona Joao Felix anakuja kuisaidia timu yake, yeye Zitto wala nyinyi humu hamna mamlaka yoyote ya usajili wa Arsenal.Arteta tayari ana plani , sio Huyo Zitto
Upo sahihi, Shida imeanza hataki wachezaji ambao wanatajwa kuja ambao inaonekana Ni machaguo ya Kocha .@zitto junior yeye alitoa tu maoni yake na matamanio yake kuona Joao Felix anakuja kuisaidia timu yake, yeye Zitto wala nyinyi humu hamna mamlaka yoyote ya usajili wa Arsenal.
Badala ya kuongea nae kistaarabu tu na kumuelewesha kwa kiasi gani Joao hawezi kuisaidia timu mnaanza kumshambulia kwa maneno makali mpaka mnafikia kumdhihaki na kumtolea maneno ya hovyo.
Nje ya wachezaji anaowataka Arteta humu jukwaani hamna uhuru hata wa mtu kutamani tu mchezaji gani amuone kwenye timu yake.
Hakuna aliyejimirikisha ,unaambiwa Ukweli, unatuletea data za UZUSHI nyingi
Unataka kudanganya umma humu eti Partey Hakuwa starter pale ATM, wakati hata kumuuza waligoma had Arsenal Waka activate
Acha Uongo ,tutakukaanga vizuri humuDuh we jamaa hivi kwanini ni mbish I hivi? Hiyo hapo official page ya Wikipedia inasema alipewa tuzo ya mchezaji Bora was vijana na akawa kwenya kikosi Bora Cha msimu Sasa mtu huyo utasemaje sio maarufu? Yaani best player kwenye top flight asijulikane mpaka asubiri scouts was Arsenal? Ukiwa mbishi jitahidi kuwa ma facts otherwise watu makini watakuona hujitambui. View attachment 2436786
Wewe Ni muongo full stopRelease clause ni Kila mchezaji anayo La Liga Wala sio Partey tu kila mchezaji top wa atletico aliuzwa Kwa release clause.
Hata Felix sio starter msimu huu sababu ya Griezmann kuwa favored ila Atletico haikuumuza last summer licha ya offer kutoka Man Utd! So Kukataa kuuza mchezaji sio lazima awe starter inaweza kuwa strategic.
Nimeshakuambia Atleti ilibadili mfumo 2020-21 ambao ulihitaji DM mmoja tu ndio maana hata Torreira alikua analialia hapati namba!! Sababu mfumo ulibadilika so Tomas hakua starter in fact Kulikua na wachezaji 6 wagombea hiyo namba "6", anyway hujui kitu nje ya EPL so let's just chill this topic ya Atletico
Nimeweka ushahidi alikua mchezaji Bora wa vijana huko Brazil naomba uonyeshe ushahidi kuwa alikua hajulikani.Acha Uongo ,tutakukaanga vizuri humu
Martinell katoka Ligi za chini , Wabrazili wenyewe wanasema walikuwa hawamjui
Hivo usituongopee hapa
Ana wachezaji wake wa mfukoni ,anaowataka kocha hawataki ,mzima kichwani kweli huyu? Washabiki wa Siasa wanaleta upuuzi wao kwenye soka@zitto junior yeye alitoa tu maoni yake na matamanio yake kuona Joao Felix anakuja kuisaidia timu yake, yeye Zitto wala nyinyi humu hamna mamlaka yoyote ya usajili wa Arsenal.
Badala ya kuongea nae kistaarabu tu na kumuelewesha kwa kiasi gani Joao hawezi kuisaidia timu mnaanza kumshambulia kwa maneno makali mpaka mnafikia kumdhihaki na kumtolea maneno ya hovyo.
Nje ya wachezaji anaowataka Arteta humu jukwaani hamna uhuru hata wa mtu kutamani tu mchezaji gani amuone kwenye timu yake.
@zitto junior punguza kugongelea misumari ya moto kwenye kidonda,Yes ulete ushahidi msimu ukiwa unaanza kuwa target sio UCL ila top 6. Maana naona umekua board member!!
Kuwa na akili wewe kuwa mchezaji Bora sio kujulikana ,Nimeweka ushahidi alikua mchezaji Bora wa vijana huko Brazil naomba uonyeshe ushahidi kuwa alikua hajulikani.
Na pia hao Wabrazil ulikutana nao wapi wakasema hawamjui? Guy lets be serious na tuongozwe na facts mbona Mimi naweza details wazi kabisa.
Embu soma post yangu about 2020/21 msimu aliohama maana nishaeleza hata sijui mnachobisha ni Nini. Nshasema FORMATION CHANGED from 4-4-2 to 3-1-4-2 that was the end of Partey as a starter (not appearances from the bench) maana Koke alikua DM so Partey akawa Sub yake then Lemar na Llorente wakawa AM that was Atleti. So DM akawepo Koke, Tomas, Saul, Herrera, later Torreira na Kondogbia (Replacement ya Tomas) Sasa hapo namba angepataje??Wewe Ni muongo full stop
Partey kacheza mechi 35 laliga msimu kabla hajaja Arsenal
Tutakukaanga humu huwezi kuongopea watu wazima
Hakuna mahali nimesema alikua mchezaji Bora wa Serie D kwanini unanilisha maneno?Kuwa na akili wewe kuwa mchezaji Bora sio kujulikana ,
Lejend wa Brazil anasema hawajawahi kumjua Martinell ,wewe kutoka Sumbawanga ulimjulia wapi?
Ukiulizwa hata mchezaji Bora wa Seria D Brazil Sasa hivi labda uka google , humjui
Watu wapo bize na kina Endrick ,Danilo wanatajwa kuja ulaya
Ulidai Alikuwa hapati nafasi ,nimekuwekea alicheza mechi 35 laligaEmbu soma post yangu about 2020/21 msimu aliohama maana nishaeleza hata sijui mnachobisha ni Nini. Nshasema FORMATION CHANGED from 4-4-2 to 3-1-4-2 that was the end of Partey as a starter (not appearances from the bench) maana Koke alikua DM so Partey akawa Sub yake then Lemar na Llorente wakawa AM that was Atleti. So DM akawepo Koke, Tomas, Saul, Herrera, later Torreira na Kondogbia (Replacement ya Tomas) Sasa hapo namba angepataje??