Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna mtu alikuwa mbishi kuliko wewe?

Ifike mahala wachezaji wetu wa mifukoni waishie huko huko
mimi ni mmojawapo ya watu wabishi sana nasimamia nachokiamini kwa sasa tupo kwenye direction nzuri sana since 2009 so sina cha kusema kwa sasa sina wa kumlaumu ili mradi next season tupo champions league na Mungu akipenda angalau nafasi ya 1 tuipate tukianguka nafasi ya 2
 
Huyo jamaa anataka kuleta ujuaji halafu Hana details zozote kuhusu Arsenal ,Kuna watu Arsenal Ni part time job yetu .


Project ya Arsenal Ni ya miaka mitano ,sio fluke , kipind kigumu Cha awali ,Arteta alitukanwa na kubezwa

Kaondoa mizogo mingi, karudisha heshima Emirates , mpira Sasa Ni sex football had cr7 kakubali


Watu wanasajiri sio kwa kukurupuka

Anamtaka Joao Felix ,anamponda Murdky ,Vieira


Hajui Murdky watu wamemfanyia skauti sio Kama yeye kuona clips YouTube ,

Unaweza kumleta Huyo Felix akaishia kuwa Mzigo, mifano ipo mingi Sana

Kwani Pepe Ni mbaya? Ni zao la Sajiri za kutozingatia play style ya timu .
 
Kuumia Jesus tayari kelele kibao, Ina maana Hawa 10 Ni ovyo?

Hapo hapo Arteta alikuwa na Bodi nzima kujadili Usajiri January ,

Bado mtu anaponda sababu wanaotajwa kuja hawataki
 
Mimi nafuatilia sana ligi ndogo Partey Hakuwa starter mkuu miaka mingi sana alikua anacheza nyuma ya koke, Saul, Augusto, Gabi, Rodri etc na formation ilikua 4-4-2 so akianza basi either Saul acheze LM or RM ila pale kati alikua Hana namba.

Na nimekueleza sio Partey tu mpaka Torreira maana formation ilihitaji mtu mmoja pekee.

Kingine hakuna sehemu nilisema Atletico inacheza possession nilichosema ni kwamba hawapaki basi Bali they're attacking oriented La Liga sababu wanacheza na vitimu vidogo. Nimekuuliza hapa formation ya 3-1-4-2 unapakije basi? Nimekwambia walifunga magoli sawa na Rea Madrid aliyemaliza wa pili Sasa unawezaje funga magoli sawa na Real ukipaki basi?

3. Martinelli alikua proven Maana alishinda mchezaji Bora wa vijana 2019 alafu hakucheza per se kwenye low tiers za Brazil maana kule ligi kubwa ni mbili (Najua Hujui) so Moja ndio Campeonato Paulista (Oldest league in Brazil) na hiyo nyingine ndio Serie D (Walikua promoted same season). Ni sawa tu na format ya Argentina au Mexico you have clausura and apertura seasons so unaweza kuwa top kwenye ligi Moja ukawa minor ligi ingine so USIPOTOSHE.

Nilichogundua hufuatilii Mpira unasubiri feeds za The Athletic, Gunnerblog na Ornstein kupata habari. Ituano ipo top league ya Paulista ambayo Ina timu zote kubwa za Brazil kuanzia Santos mpaka Sao Paulo na ndio alipata umaarufu na kuwa best young players 2019!!
 
Afu hii tabia ya kujimilikisha ndio inatuua, kwanini ujione weee ni Arsenal kuliko Kila mtu? Yaani mie nimeanza shabikia Arsenal tokea 90s eti Sina details? Tuweni serious. Mimi ni subscriber wa r/gunners kule Reddit so hakuna taarifa ya arsenal siijui na ndio maana nakosoa hiyo strategy ya "we won't panic.... Sijui we'll buy when the right opportunity comes" ndio nachokosoa hiko maana kimetu-cost sana huko nyuma.
 
Kuumia Jesus tayari kelele kibao, Ina maana Hawa 10 Ni ovyo?

Hapo hapo Arteta alikuwa na Bodi nzima kujadili Usajiri January ,

Bado mtu anaponda sababu wanaotajwa kuja hawataki
Hamna issue ya Jesus watu wameongea Toka August kuwa kucheza Kila mechi sio Sustainable anahitaji rotation watu mkaja na makelele ya "play style... Sijui rotation ya Nini kama kikosi kipo fiti" na hapa tunakazia tu maana tulikua tu hawezi kuwa fit miezi yote 9 ni sawa tu na Tomas tulisema awe na backup maana ana kesi mkakejeli. Nikashangaa deadline day tunakimbizana na yule jamaa wa Aston Villa!! Sasa ndio Nini? Yaani mnakuwa wabishi Maji yakifika shingoni ndio mkagundua Douglas Silva was a solution??

Tutakubaliana tu ligi ikichanganya
 
Wewe muongo muongo Sana , Toreira alienda Atletico kwa Mkopo na hakucheza Sana ,lakini sio Partey


Ituano kwa Sasa ndio wamepanda wapo SERIA B
 
Wewe huna details zozote ,zaidi Ni muongo muongo tu

Arsenal walimfata Luiz Baada ya Elneny kuumia ,Hakuwa kwenye mipango Huyo Luiz
 
Malengo ya top 6 uliyajua wapi kama tu ulishindwa kujua Lokonga originally aliletwa kumreplace Partey!!!

Then argue with facts sio uswahili uswahili, mbona jukwaa la Liverpool watu Wana argue Kistaarabu. Umekaa kishari Shari as if you know everything lol!!

Wasabato mna character ya ubishi badala ya kuelewa au kujifunza.
 
Acha kupotosha umma ,Martinell hakuwahi kucheza madaraja ya juu Brazili

Just over three years since he left the country's fourth tier behind, Gabriel Martinelli is heading to the World Cup as one of Brazil's brightest hopes this month following a rapid rise in the Premier League.

While his countrymen were contesting the last tournament in Russia four years ago - where they were eventually dumped out in the quarter-final by Belgium - Martinelli was busy plying his trade as a 17-year-old prospect for Sao Paulo club Ituano, who operated in Brazil's Serie D at the time.
 
Wewe muongo muongo Sana , Toreira alienda Atletico kwa Mkopo na hakucheza Sana ,lakini sio Partey


Ituano kwa Sasa ndio wamepanda wapo SERIA B
Kwani wapi nimesema Torreira alinunuliwa? Nimesema hakucheza maana hakupata namba formation ilihitaji DM mmoja tu basi so Saul, Kondogbia, Herrera, Na Torreira wote benchi so hata Partey alivokuwepo hakupata namba baada ya formation kubadilika

Kuhusu Ituano nimesema inacheza Campeonato Paulista ambayo ndio oldest league Brazil na huko wapo ligi kuu yake na ndiko alipata umaarufu. Sasa mtu akawa best youth player kumzidi kura hata Rodrygo utasemaje sio proven? So umaarufu hakuupata Serie D kama jamaa anavyodanganya
 
Martinell hakuwahi kujulikana zaidi, acha kutudanganya hapa kacheza Seria D

kafeli Majaribio Man u, Barcelona ,n.k karudi Brazil ,hajulikani

Ofa ikaja ya Arsenal pekee

Wewe leo unatudanganya alikuwa anajulikana
 
kwa sasa nakaa kimya malengo naona yanaenda tu vizuri kwa kweli ya Arsenal
 
Mkuu just Google Campeonato Paulista then urudi hapa. Why tubishane na google ipo??

 
Kuumia Jesus tayari kelele kibao, Ina maana Hawa 10 Ni ovyo?

Hapo hapo Arteta alikuwa na Bodi nzima kujadili Usajiri January ,

Bado mtu anaponda sababu wanaotajwa kuja hawataki
acheni mikelele mingi fateni ushauri wa zitto junior mchukueni Joao Felix kisha mtakuja kumshukuru Zitto baadae.
Kuna uwezekano mkubwa dirisha hili la January mkawakosa wachezaji anaowataka Arteta halafu mzunguko wa pili timu ikaanza kupoteana.
Joao Felix ni striker mwenye future nzuri ila kumtoa Atletico Madrid sio kazi rahisi.
 

Najua huna hoja ,hivo unaleta mipasho, tutakuelekeza kwa fact

Lokonga alisajiriwa Kama Future player


Backup ya Partey mpaka kesho Ni Elneny ,

Lokonga hakuja limited Ni DM,. alikuja anacheza 8 na 6 ,hata yeye alisema


Mwaka huu Arteta kwenye pre season akasema anamuona atakuwa Bora zaidi Kama advanced 8,

No.6 amekuwa akicheza pale inapotokea Partey na Elneny hawapo .


Njoo udanganye tena
 
Arteta tayari ana plani , sio Huyo Zitto
 
Wewe huna details zozote ,zaidi Ni muongo muongo tu

Arsenal walimfata Luiz Baada ya Elneny kuumia ,Hakuwa kwenye mipango Huyo Luiz
Anadanganya umma kweupe


Luiz alitakiwa Baada ya Elneny kuumia , hata Danilo Sasa atakuja awe mbadala wa Partey au XHAKA maana anacheza no.6 na 8 , akija watamuona anafit wapi zaidi
 
Acha mipasho Leta hoja wapi Arsenal walitamka malengo ilikuwa top 4

Mimi nitakuletea Ushahidi wa Edu ,malengo yalikuwa top 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…