Kuna Kenge la ChelKenge litanunaIla Saka Analitesa Sana Hili Shati La Chelsea Aisee Afu Analitungua Magoli Matam Vibaya Mnoo
Me Sikujal Kama Senegal ni Team Kutoka Afrika wala nin Me Nafurahi Mchezaji wa Arsenal Akifanya Vizur Popote Pale…
Saka Saiv Hana Mjadala Tena Yan ni Mojawapo ya Winger Ambazo zinafanya Maamuzi Sahihi Mda mwingi na Hapotezi Potezi Mipira Hovyo na Amebalance Game Yake Kwenye Kushambulia Na Kuzuia
Nataman Na Game Ya France Aweke Chuma Mbili Afike Goli 5 Awe Sawa na Mbappe Awanie Golden Boot na Mchezaji Bora na Mchezaji Bora Kijana
Wale Saka na Martinell Hata Nipewe Winger Gan Kwa Sasa Sibadilishani Yan me Kwangu wale ndo Wachezaji Bora wanaocheza Pembeni Kwa Sasa ..Period…View attachment 2436401
Atletico ipi inapaki basi? Labda unaona UCL peke yake ila kwenye La Liga formation ni 3-1-4-2 meaning mabeki ni 3 pekee wengine wote ni attack minded so ni tofauti na mitazamo ya wengi mnaoangalia UCL pekee na kujudge vilabu.Aliyeibeba Atletico Ni Luis Suarez
Joao Felix hapo Atletico amepoteana ,huwezi kwenda timu yenye mentality ya Kuzuia tu.
Hiyo Atletico ilikuwa na Rodri & Partey lakini inapaki Basi
Angalia umri mkuu tukisema haya haya kwa wilshere na Ramsey kuwa kucheza dakika nyingi umri mdogo utaleta majanga huko mbeleni.Hayo mawazo yako , wachezaji Bora wote wanachafua mechi 50+
Saka sio injury prone ndugu , jack since day one ,
Hivi uliwahi Sikia lini Saka kakaa nje hata wiki 2,?
But even with that injury risk, Arteta insisted he had no issue with selecting Saka whenever he can.
He said:
“Look at the top players in the world, they play 70 matches, every three days and make the difference and win the game.
“You want to be at the top, you have to be able to do that
Arteta kashathibitisha kuwamanage hao watoto ,Angalia umri mkuu tukisema haya haya kwa wilshere na Ramsey kuwa kucheza dakika nyingi umri mdogo utaleta majanga huko mbeleni.
Tuombe uzima ila tutarudi hapa after 2 years kuongelea how Saka ruined his knees due to exhaustion and overruns!! Alafu mtakua wa kwanza kumshambulia Arteta kwa poor management of young players.
Atletico Ni timu ya kupaki Basi ,sio possession team ,usitudanganyeAtletico ipi inapaki basi? Labda unaona UCL peke yake ila kwenye La Liga formation ni 3-1-4-2 meaning mabeki ni 3 pekee wengine wote ni attack minded so ni tofauti na mitazamo ya wengi mnaoangalia UCL pekee na kujudge vilabu.
Kingine, Suarez ni mfungaji tu alibebwa na Felix, Lemar and Llorente in terms of assists na kufungua defence Ili Suarez apewe mipira kwenye box.
Anyway Murdyk is nothing compared to Felix kwa Kila kitu. so wakiamua kumsajili kwa hizo 70M ni BS yatajirudia ya Pepe
Hizi unazopiga hapa Ni ramli, Saka ameanza lini kucheza? Kaanza 2019 Kama Beki LB, kila Siku anazidi kukua ,Hana Rekodi za Injury Kama hao unaodai Saka atakuwa hivo, hizo unazofanya Ni ramli.Angalia umri mkuu tukisema haya haya kwa wilshere na Ramsey kuwa kucheza dakika nyingi umri mdogo utaleta majanga huko mbeleni.
Tuombe uzima ila tutarudi hapa after 2 years kuongelea how Saka ruined his knees due to exhaustion and overruns!! Alafu mtakua wa kwanza kumshambulia Arteta kwa poor management of young players.
Toka lini Simeone awekeze kwenye possession game? [emoji1787][emoji1787] Mimi nakushauri kakomae na siasa ,habari nyingi za Mpira Hasa Arsenal zimekupitaAtletico ipi inapaki basi? Labda unaona UCL peke yake ila kwenye La Liga formation ni 3-1-4-2 meaning mabeki ni 3 pekee wengine wote ni attack minded so ni tofauti na mitazamo ya wengi mnaoangalia UCL pekee na kujudge vilabu.
Kingine, Suarez ni mfungaji tu alibebwa na Felix, Lemar and Llorente in terms of assists na kufungua defence Ili Suarez apewe mipira kwenye box.
Anyway Murdyk is nothing compared to Felix kwa Kila kitu. so wakiamua kumsajili kwa hizo 70M ni BS yatajirudia ya Pepe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mashabiki wa AsaniWali hua mpaka mchana wa jua kali wanapata njozi.
Cr7 hakukoseaMashabiki wa AsaniWali hua mpaka mchana wa jua kali wanapata njozi.
Endeleeni kuota hivyohivyo ila Kroenke's family wanawachora tu huku wanacheka mpaka wanashikilia mbavu.
Hili dirisha dogo hakuna mchezaji yoyote wa maana atakaesajiliwa Arsenyeto.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani we kwa akili yako unawaza kabisa Sane aache kucheza na Mane aje Arsenyani kukimbizana na kina Nketia?Cr7 hakukoseaView attachment 2436599
Man u hii miaka Sita bila taji lolote?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani we kwa akili yako unawaza kabisa Sane aache kucheza na Mane aje Arsenyani kukimbizana na kina Nketia?
Watu wenye akili zao walishashtukiaga mapema kua Arsenal ni timu ya kwenda kupatia uzoefu ili waweze kucheza kwenye timu kubwa. View attachment 2436606