No Wilshere? Wenger ana njama zake za kutaka tufungwe. Mie siku nzima natangaza ubabe leo najua kati nina Wilshere na Song kaenda kukieka kitoto chake cha alicho ki-adopt?
Hakuna mechi inaitaji english blood ya Wilshere kama hii.
Anyway Asalam aleykum wakuu wenzangu wa gunners, tuko pamoja.

Asa ndugu zangu, kati yenu, AW, mbu, Wacha1, Michelle au hata BBK atakayewai aniwekee siti ya mbele kabisa....leo siwaachi nyie.
...duhh, leo hata kabla mshaanza kelele,...msijeficha tu hizo vuvuzela zenu!
teh tehe tehe! mkuu si mnamwita proffesor wenger? have faith on him
umeme umekatika naenda kulala mimi....l.o.l:alien::nerd:
teh tehe tehe! mkuu si mnamwita proffesor wenger? have faith on him
No Wilshere? Wenger ana njama zake za kutaka tufungwe. Mie siku nzima natangaza ubabe leo najua kati nina Wilshere na Song kaenda kukieka kitoto chake cha alicho ki-adopt?
Hakuna mechi inaitaji english blood ya Wilshere kama hii.
Anyway Asalam aleykum wakuu wenzangu wa gunners, tuko pamoja.
:director::director::director: :director: eeeeehhhh kidedea :director::director::director::director: eeeeh kidedeaa.