Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hiki unachosema wewe , Arteta na Edu walisema hadharan hawawezi kufanya kamwe, walisema wamepata kazi kubwa Sana kuwaondoa Deadwoods, hivo Kama wanakosa mtu sahihi sokon Ni Bora wasisajiri kabisa ,wakatoa mfano

Walimuhitaji Raphina Kama backup ya Saka na Martinell ,Lakini aka opt kwenda Barca ,wakaenda kwa Neto ,ikapandishwa Bei, wakasema hawatasajiri ilimradi,

Hata Bid ya Douglas Luiz ,ilikuja Baada ya Elneny kuumia ,

Kilichopo Sasa Anatafutwa Winger ambaye ataweza kucheza flanks zote mbili ,Awali walimlenga Raphina ,kwasasa Ni Murdky kutoka Shaktar donesk ,

Kiungo kutoka Palmerais Brazil anacheza no.8 na no.6 miaka 22 ,

Ni rahisi kusema atafutwe backup ya Partey ,lakin sokoni sio rahisi kumpata ,inahitaji skauti kutulia ,Kama unakumbuka hata Partey huyu sio yule aliyekuja

Ilifika hatua akawa na performance mbovu Sana akajipa 4/10

Lakini akaja kusema Sasa ameshamuelewa kocha anataka Nini ,ndipo unampata huyu Partey

Uchezaji wa Partey anapokea pasi kutoka back 4 anafanya turn moja , Kisha atapiga pass moja tu inayovunja mstari wa pinzani .

So hata backup ya Partey akija lazima aingie taratibu

Kwa sokoni labda uvunje benk ubebe De jong,
 
[emoji779]️[emoji2788] "Arsenal are relatively safe (FFP) .UEFA is moving towards a new form of FFP called ‘Financial & Sustainability’. In that system, clubs are assessed on wages as % of revenue.Arsenal’s wages went down hugely in 21-22, the club is now well within the limits"
 
Arsenal lost 4-2 to Watford at London Colney today.

Goals from Marquinhos and Nketiah had Arsenal leading 2-1 at the break. Arteta then replaced the entire outfield XI at half-time with U21s players and they ended up losing 4-2. View attachment 2434701
 
Mkuu tupo hapa, tusiposajili 6,9, na 7/11 hata top 4 hatugusi. Na hao uliotaja hawatosaini wanasikilizia trend ya timu mwisho wa msimu waone ambition ipoje. Na tukiwapoteza hao sababu ya lack of UCL na makombe tegemea msimu ujao vipigo tu na Arteta atafukuzwa tutaanza Tena A.

Hivi hamjifunzi kwa Solskjaer au Emery? Walienda unbeaten ngapi? Mpaka UEL final ila wakafukuzwa kama panya!!
 
Kama Arteta kufukuzwa bas angefukuzwa mwaka Jana

Inaonekana taarifa za arsenal hasa za miakataba ya Hawa wachezaji hufatilii au huna, hao Wana miakataba wanachofanya Ni kuwafunga iwe mirefu Zaid,

Reliable sources zinasema wapo mwishoni kusaini

Usajiri upo wazi ,Arteta amesema anahitaji Winger na CM na beki LCB,

Ndio maana Kuna concrete news za Murdky,Danilo, Tielemans huyu inaonesha Ni summer
 
Usitegemee Arsenal itasajiri hao wachezaji Wanne

LW huwa wanacheza Martinell na Smith Rowe, Upande wa Saka ndio anatajwa Murdky ambaye pia anacheza LW na CF, kumbuka pia Jesus anacheza flanks zote ,

Ndio maana January watasajiri mchezaji mmoja au wawili tu

Winger (play both flanks) na CM play both #8 & #6
 
Shida kubwa kwa mashabiki wa AsaniWali ni kupenda kujitoa ufahamu.
Hizi mechi walizoshinda mzunguko wa kwanza wanajiona tayari wameshamaliza kila kitu wanachosubiri ni mwezi May ufike tu wakabidhiwe kombe.
Wasichokijua msimu huu kwao ni ngumu hata kuwepo kwenye top4.
 
Akili zako zipo matakoni,wewe msimu huu ni rahisi kwako??
 
Akili zako zipo matakoni,wewe msimu huu ni rahisi kwako??
Mimi nashuka daraja kabisa ila nyinyi Arsenyani kwa jinsi mlivyojiwekea matumaini ya kuchukua kombe msimu huu halafu mnakuja kuishia kwenye top6 nategemea kutakua na vifo vingi vya kujinyonga kwa mashabiki wa Arsenyani mwisho wa msimu.
 
[emoji599] Thomas Partey will travel directly to Dubai tomorrow to join up with the rest of the Arsenal squad for their warm-weather training camp. [@Blaqqkoffi] #afc
 
nakuchukulia kama MACHOKO wengine waliojazana mitaani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Punguza hasira Mkuu, hii ni burudani tu, unazi ukikukolea sana unaweza ukajitundika kambani mwisho wa msimu.
Kwa afya yako nakushauri usijipe matumaini makubwa sana kwenye hizi timu za Academy.
 
[emoji599] Thomas Partey will travel directly to Dubai tomorrow to join up with the rest of the Arsenal squad for their warm-weather training camp. [@Blaqqkoffi] #afc
Hamis77 vipi leo Watford waliubonda mwingi kwenye kipigo cha mbwa mwizi 4-2?
 
Watu wa siri sana kumbe wamepigwa huko na mpo kimya[emoji1787][emoji1787]
 
Labda wewe unatamani awe shoga Kwa sababu zako binafsi/ matamanio ya moyo wako. Jokes aside, pamoja na utani wa kimichezo, ni vema mashabiki mkjifunza kuwa na utu, mambo serious na machungu yanayohusu familia za watu, hata kama hamuwajui, siyo ya kuletea matani ya kimasikhara.
Hakuna cha miscarriage, miscarriage ndio wafiche fiche. hilo jamaa shoga limekimbizwa inch y kiislam. Shoga tangu lini likawa na mke.
 
Gabriel Jesus will be analysed by the Arsenal doctors when he returns to London Colney next week. If they decide he needs surgery then he’ll be out for around three months.

If he doesn’t need surgery it’ll be a matter of weeks, not months. #afc
It all depends on whether Gabriel Jesus needs surgery, however he has been dealing with this right knee problem since before the World Cup, so it’s not something new to the Arsenal doctors.

Next week will decide the time frame, so let’s wait and see… #afc
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…