Nadhani unaona Liverpool inavyotaka kununuliwa na Msaudia.... Hapo Bado Man UTD naye Kuna rumours ikauzwa. Remember Newcastle nao wanazidi kupanda let alone Spurs, Chelsea na man City wanazidi kuimarika.
Hii ndio chance pekee ya kuingia UCL na kushinda ligi tukikosa hii nafasi tutajutia milele. It's a now or never situation hiki kiburi Cha kuepuka "panic buy" kilitukosesha UCL msimu uliopita na mentality hii ikiendelea tutakosa sio tu ligi ila hata top 4!!
Then msimu ujao kikosi kitakua exhausted, kina Saka na Martinelli hawatasaini mkataba mpya, na itakua downfall ya Arteta na Arsenal kwa ujumla. Sijui kwanini hamuelewi huu msimu ndio make or break!!
Jesus anahitaji sub pia Saka na Partey wanahitaji sub hata kama ni mizigo ila we need depth. Mara kumi hata tusajili kwa mkopo ilimradi kuwepo na kikosi kipana kutuvusha top 4 ama ubingwa kabisa.
Arsenal msimu uliopita hawakuwa na malengo ya kuingia top 4 elewa Hilo Kwanza,
Project ya Arsenal chin ya Edu na Arteta wanayoiita The Arsenal way ,Ni ya miaka mitano , ndio maana hata usajiri ulilenga hasa umri miaka 20-24
Msimu uliopita wanasema ilikuwa Ni kucement Style ya uchezaji ,na timu iingie top 6 tu, ndio maana hata usajiri ulilenga wachezaji wanaoingia kwenye mfumo na ku trim kikosi kuondoa Deadwoods kitu ambacho kwa 90% wamefanya ,
Arteta alipoingia top 5 tu, huku ametoka kupoteza Mechi 3 mfululizo, Asubuhi aliitwa ofisini kwa Josh Kroenke akapewa mkataba mpya .
Msimu uliopita ndio msimu ambao Arteta Ali establish mfumo wa 4-3-3 wenye namba 8 wawili ambao alisema anataka Arsenal iucheze huo, ila Hana wachezaji wakucheza karibu 6.
Msimu uliopita Hatukuwa na backup upande wa LB,RB na DM ambaye Ni Partey type.,kumbuka alikuwepo Elneny ambaye alifanya vizuri TU
Mapengo yaligharimu mwishoni yalikuwa LB kuumia kwa Tierney ,RB kuumia kwa Tomiyasu, ikabid White arudi RB na CB acheze holding ambaye Ni average player
Nafasi ya Partey alicheza Elneny ambaye kwa Arteta anaaminika hata Sasa hawana mpango wakumuuza
Martinel,Saka, Saliba , Ramsdale wote mikataba ipo mezani na taarifa Reliable zinasema muda wowote watasaini, Martinel alitamka hadharan APEWE PENI ASAINI