Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji460]️ [emoji460]️ BREAKING HABARI [emoji993]: Uongozi wa Arsenal upo katika harakati za kumuongeza kandarasi ya muda mrefu kocha wao Mkuu “Mikel Arteta” [emoji633]
.
Huku Manchester City anahitaji “Mikel Arteta” kua m’badala wa “Pep” hapo 2025 kandarasi yake inapoisha .
 
Partey wiki ijayo anaenda kuungana na wenzake kule Dubai

Movement ya goal la tatu lilivyoanza
Partey anatoa pass kwenye dimba, mtu anashindwa kuipokea mali inaenda kupelekea goal la 3
Partey hiki kitu kilimchosha na kumnyongonyesha sana
 
Partey ndio katoa boko, boya kweli. michezaji ya arsenal wangeifungia kwenda World Cup.
 
Naomba kwenye mechi ya Brazil vs Serbia tumuangalia huyu fundi wa kiserbia, Sergej Milinkovic-Savic.. tunaweza jifunza kitu.

Jamaa anao mwingi mguuni. Stay tuned!
 
Enrique fundi kabla ya emery nilitamani saana timu apewe yeye.
 
Partey wiki ijayo anaenda kuungana na wenzake kule Dubai

Movement ya goal la tatu lilivyoanza
Partey anatoa pass kwenye dimba, mtu anashindwa kuipokea mali inaenda kupelekea goal la 3
Partey hiki kitu kilimchosha na kumnyongonyesha sana
Anacheza na wachezaji average Sana eneo la kiungo

Partey mwenyewe anakiri ilibidi achukue muda Kwanza kurekebishwa na Arteta ,awali alisema kabisa najipa 4/10

Baada ya hapo akiwa fiti sionagi timu yakutufunga kirahisi

Gabriel #Martinelli, Bukayo #Saka and William #Saliba feature in the most valuable under 21 XI at the #FIFAWorldCup

( @Transfermarkt)
 
“We’re looking forward to hosting Juventus at the Emirates. Our supporters have been magnificent this season. They’ve created such a strong connection with the team and it’ll be fantastic to rekindle that spirit before competitive action starts up again."

- Arteta (Arsenal)
 
ARSENANE WATABISHA...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
So.what? Acha upimbi ARV zimeharibu ubongo wako. Saka, Turner, Tomi, Xhaka ni wanamuziki wa kikundi chako cha taarab Magomeni?
HONGERENI KUMBE MNA WANNE [emoji23][emoji23][emoji23] SISI ILE YA BRAZIL PEKEE TULIKUWA NA WATATU UKIACHANA NA URENO.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…